Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ameshakuzalia mtoto, tayari una ndugu na msaidizi wako na mrithi wako.
Rudi bachelor. Mtoto aking'ang'ania mwachie mtoto mwenyewe atakujaga kutaka kuonana na babaake na yeye atajirudi tu.
USIKOMALIE kuendelea kuwa wote
Ni suala la muda tu utasikia zitaanza zile za mtoto anataka kumsalimia babaake mara utasikia oooh kwahyo ndio umekasirika
 
Hakuna kitu inauma kama, mishe haziendi na mtu anakuletea stress ndani. Nje ntiti, ndani ntiti yani kichwa kinaweza kuzima data kabisa.
 
Ila wanaume mnalizwa siku hizi kila siku ni vilio tu vya kupigwa matukio,, kweli mambo yamebadilika,,
We acha tu dada dunia ya sasa sio kama ya zamani huku bunda Mara wake zetu wanatupiga kweli kweli kama watoto wadogo wanatuchapa na magongo inabidi tuwe tunakimbilia kwa wakwe au mpkani Kenya kuokoa maisha yetu
 
😂😂Kina Eva wamekaza kinoma vilio ni vingi mno, mpaka sasa ubao unasoma Adam 0-Eva 10000000000..... Msipotumia akili mtalia sana ndo kwanza mchezo umeanza

Akili 90% + nguvu 10%

Ukishaona Mwanamke anaanza Kubadilika usisubiri mpaka awe tishio kwako, Fukuza.
Mambo ya kuanza kumbembeleza au kutaka kumbadilisha Sisi wengine hizo tabia hatuna
 
Mwache hakupendi uyo
 
Akili 90% + nguvu 10%

Ukishaona Mwanamke anaanza Kubadilika usisubiri mpaka awe tishio kwako, Fukuza.
Mambo ya kuanza kumbembeleza au kutaka kumbadilisha Sisi wengine hizo tabia hatuna
Bahati nzuri au mbaya misimamo ya hivi na mkamaanisha mpo wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…