Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Jitahidi upate hata chumba uwachukue...mengine yatajipa. Usikubali kupoteza wanao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
Jitahidi upate hata chumba uwachukue...mengine yatajipa. Usikubali kupoteza wanao
Ni kwel siko tayari kabisa kwa hilo maana hao ndo furaha yangu,pia suala la makazi halikua changamoto sana.ila nivyopata msiba na maradhi ndo hapo mambo yalivurugika.Jitahidi upate hata chumba uwachukue...mengine yatajipa. Usikubali kupoteza wanao
Ni mke wa ndoa hasaaPole sana mkuu. Ni mke wa ndoa kabisa au sogea tuishi..!?
Mahari ulitoa!?
Yani ulifuata michakato yote ya Ndoa!?
Tatizo waganga nao wezi, hawaaminiki.Pole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...
Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.
Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.
Kila la kheri...
Mkuu hakuna dawa rahisi kama ya kumrudisha mke ama mume, labda huyo Mganga awe tapeli kwelikweli.Tatizo waganga nao wezi, hawaaminiki.
Wengi wao ni matapeli. Bora amuachie Mungu, Karma itafanya kazi yake.Mkuu hakuna dawa rahisi kama ya kumrudisha mke ama mume, labda huyo Mganga awe tapeli kwelikweli.
Ndugu yangu umri wa miaka 30 kuoa bado ni mdogo???Tatizo lilianzia hapo ulipooa ukiwa na miaka30 tu,,! huo umri bado sana kuwa na mke
Hapana mkuuNi mchaga?
Una akili sana.Ukaratibu akirudi akae kwao !!?? Na mfanyakazi umeoa !!? Kwa nini asikae kwenu !!?? .