Nikitaka kuongeza mke wa tatu, nitakuja kula madini mkuu. Una experience yenye hekima sana kuhusu ndoa na mahusiano, nimeona comments zako kwenye mambo yahusuyo haya mambo zipo too deep, kwa mwenye akili akizitumia anatoboa. 🙏1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.
2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.
3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.
4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
Ulimwambia ananuka kwapa?Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.Umemdhalilishaje mkuu? Nini kilitokea? Embu elezea
Kaka mkubwa Asante sana Mungu akupe miaka ya kobe1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.
2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.
3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.
4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
jipe likizo ya kuonana nae ama kuwasiliana nae kwa muda kidogo gentleman,Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Oya bro. Hujafanya kosa lolote. Atakuumiza kichwa uyo..Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Ni hayo tu? Sasa mbona hapo hauna kosa lolote?.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Yaani kuingia wasiwasi eti ndio kosa. Huyo mwanamke alikua anamtafutia kisa uyo.Ni hayo tu? Sasa mbona hapo hauna kosa lolote?
Thanks big broo I will dojipe likizo ya kuonana nae ama kuwasiliana nae kwa muda kidogo gentleman,
na itapendeza zaidi ukija na comeback ya heshima na ya kibabe zaidi in love yenye focus ya solution, na bilashaka yoyote atakuelewa na mtasort tofauti zenu kwa upendo, na hatimae mtasonga mbele vizuri tu na kwa amani .
usipanic wala kubabaika sana 🐒
kumbe wewe mdhalilishaji kweli , unasema apewe miaka ya kobe tena ? 😎Kaka mkubwa Asante sana Mungu akupe miaka ya kobe
Kaishajaa kwenye mfumo, unakuta kuna kajamaa sasa hivi kana jimanulia tu mke wa mshakajiYaani kuingia wasiwasi eti ndio kosa. Huyo mwanamke alikua anamtafutia kisa uyo.
nimejikuta nacheka kwa hako kaneno @atakublockluwa umetisha kamandaAtakublockluwa badae, akipunguza ghadhabu na hasira. Isije kuwa alikuwa anakutafutia gape akunyooshe maana dunia ya siku hizi ngumu sana kuwaelewa watu. Pole sana mkuu, kaza moyo ( hakuna mambo yasiyo soviwa labda mke awe hakutaki )
Hii story tumeipata upande mmoja. Ngoja na mkewe apost tutaangalia nani mkosefuYaani kuingia wasiwasi eti ndio kosa. Huyo mwanamke alikua anamtafutia kisa uyo.
Ni hivi tuu au kuna part umeruka? Maana hapo hakuna kosa la mke kudhalilika hadi kukublock..Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.