Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

"Wewe ndo ulimwambia mkeo pale kijiweni kuwa ana meno kama ngiri..... Eti bwawa la mtera"
 

Ulimshika tako rafiki yake kwenye sherehe baada ya kulewa konyagi?
 
kosa ni kama umemcheat tu ! nje na usalit hamna kosa la kuua ndoa labda awe amekuchoka c nje na hapo.
 
Huyo mkewe anapenda kujiamulia mambo
 
Umeandika vitu vya maana sana mkuu,
 
Hujanyoosha maelekezo kipi ulimfanyia mpaka ahisi umemdhalilisha, ulibaka? Au ulitembea na mfanyakazi mwenzake?? Maana mpaka mwanamke akublock si jambo dogo!!

Au ni deko tu? Ndo tatizo la kuwalea wanawake kama mayai,, huyo ilitakiwa unampiga VIBAO mara mojamoja akuheshimu
 
Shida vijana mkishaoa au kuwa kwenye mahusiano yakiwa stable kidogo mnaacha kuishi kwa CODE!!!

Skia bwana mdogo for whatever reason NEVER EVER CHASE A WOMAN!!! Unavyoendelea kumbembelea unzidi kumchosha,fanya maamuzi magumu. Hapo kwenye scenario yako its quite sure huyo mwanamke anajua hufurukuti πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ NAMBA ONE GRAVE MISTAKE!!!

πŸ“ŒUKIWA KWENYE MAHUSIANO AU NDOA MWANAUME HUTAKIWI KUINGIA KWENYE CONFORT ZONE. KWENYE AKILI YAKO KILA UKIWA BADO UNAZURURA KWENYE HII DUNIA KAA UKIJUA MWANAMKE HATAKAA AKUACHE UTULIZE FUVU NI ATAHAKIKISHA ANAKUVURUGE TUU ILI HII PRINCIPLE ITIMIE.

KAA UKIJUA ALWAYS;

πŸ“Œ"MAPENZI NI GAME,KAMA GAME NYINGINE TU.NI WEWE KUCHEZEWA HISIA ZAKO AU KUCHEZEA HISIA ZAKE".
 
Kupenda upofu,hapo lazima ujikane kudadeki, umenasa mtego mbaya sana.

πŸ“ŒROHO INAPENDA NAFSI INAUMIA,TULIA HIVYOHIVYO UKICHOMOKA HUMO GEREZANI UTAKUWA AIDHA MAITI AU MASKINI ZAIDI YA HAPO ULIPOπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Huenda yeye ana makosa makubwa kuliko wewe unayelialia hapa. Mkeo anaanzaje kukublock ili awasiliane na Nani. Angalia isijekuwa alikuwa anatafuta ukosee kidogo atimize Mambo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…