Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Inaw
Hongera sana kiongozi, ngoja na sisi wengine tuendelee kusubiri wakati wa bwana anaweza tenda. Mi nilishaanza kukata tamaa, lakin post yako imenipa matumaini, kumbe inawezekana
Inawezekana kikubwa ni kumuomba mungu tu.
 
Weka na namba ya kutuma pesa ya supu na mtori kwa shemeji yetu tunataka akimaliza mwezi mmoja awe amebawiri haswa muanze tena kunyanduana mpate mtoto wa pili haraka nchi ijae chap chap.
Onyo, usivutie karibu na choo.

πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
nilotoka mara 1.....huyo mtoto napendekezwa aitwe verified member
 
Kaka umenifundisha kwamba ukiwa na jambo lako ukaweka nia ya dhati na maelezo mazuri basi litapokelewa vizuri.

Uzi wako wa kutafuta mke uliuandika vizuri sana na haukua na chembe ya ubabaishaji.

Na ndiyo maana ulipata jumbe nyingi sana kutoka kwa wanawake mbalimbali wakitaka stara.

Nikutakie kila la kheri katika maisha yako ya ndoa mkuu.
 
Amin kwa dua zako njema 🀲
 
Hahaha
 
Mashaallah,
Furaha yako ya kupata mtoto isiwe kichocheo cha usahaulifu wa majukumu na wajibu kama mkuu wa familia.

Mtunze mwanao, mtunze mke wako, watunze wazazi wako kama bado wapo hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…