Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Mr right wako every whereeee 😍 ngoja nikae vizuri hapa naweza patamo ka HB kamoja 😂

Fungueni PM hizo my zanguu jamani tushonae sareee
Darlin
Lenie
Joanah
Carleen

Mkuu Makaveli, mimi na my zangu tunakutakia kila la Kheri katika familia yako.. anko wetu akuzwe katika kimo na afya njema na ampendeze Mungu na wanadamu.
Haha..!
My wangu huku kupatamo kahechiibi ni muujiza kabisa labda ufunge na kuomba..!
 
🤣🤣🤣 Labdwa ulikuwa my skulimeti.. nikiwa la kwanza inamaliza la saba..
Upo Kaka, mke wako humu.. yupo wapi siku hizi?
Ah yule alinifumania na kamchepuko akakasirika naye akaenda kuchepuka.... Sasa yaelekea kanogewa kwa mchepuko kaniacha mazima.... Wakati mimi mchepuko wangu ulishaniacha hivi sasa natafuta mke mwingine na kamchepuko kengine....
 
Mimi nikiwa nimempakia Babe wangu wa JF tukiwa tunaelekea kanisani Jumapili hii😁😁😁
1668915288695.jpg
 
Ah yule alinifumania na kamchepuko akakasirika naye akaenda kuchepuka.... Sasa yaelekea kanogewa kwa mchepuko kaniacha mazima.... Wakati mimi mchepuko wangu ulishaniacha hivi sasa natafuta mke mwingine na kamchepuko kengine....

Yaani huu mzunguko umeniacha mataa.. kaa mwenyewe hivyo hivyo 😂
 
Ningeweza hivyo hivi sasa ningeshakuwa Paroko wa Parokia kuu...

Haka kajamaa huku chini ni kasumbufu sana.... Kana njaa kali mno

Acha nikape kitu kanataka....

Maneno yako siku hizi 🤭🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️
Acha kumuumiza.. atasoma humu..
🤣🤣🤣🤣
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto wako salama.

Kuna ndugu zangu walinipa support (kunipa moyo) kwenye jambo hili (kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote.

AKILI IKO HOVAS![emoji23][emoji1787]

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Kwamba ulipata mke jamii forums
 
Back
Top Bottom