Ndoa za Kikristo: Mke anapoamua muwe na mtoto 1 tu, hataki kukupa unyumba, yupo mkoa wa mbali kikazi - suluhisho ni lipi?

Ndoa za Kikristo: Mke anapoamua muwe na mtoto 1 tu, hataki kukupa unyumba, yupo mkoa wa mbali kikazi - suluhisho ni lipi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa.

Haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa halafu anaenda kukutana vitu hivi kwenye ndoa.
  • Mke kaamua awe na mtoto mmoja tu baada ya hapo atatumia kinga za kuzuia mimba
  • Mke hana uwezo wa kuzaa (tasa)
  • Mke hana hamu tena ya tendo, labda mara 1 kwa mwaka.
  • Kapatwa na ugonjwa ama ajali isiyomruhusu kufanya tendo.
  • Mke kapandishwa cheo anahamishiwa bukoba kikazi wakati mme wake yupo dar na kukutana ni mara 1 kwa mwezi.
Yaani hapo hakuna kuongeza mke na ndoa kuvunjika ni mpaka kifo ama umfumanie anachepuka (kitu ambacho ni aibu kwetu wanaume).

Suluhisho ni lipi hapo kwa hizi sheria za viongozi wa makanisa (sio maandiko) waliombana mwanaume awe na mke mmoja?
 
Weka angalizo ma bachelor wapite kushoto, ng'ambo ya Mama Samia huko.
Hapa tuna deal na seriously issue.

Same problem mkuu,navuta mkeka kusubiri suluhisho.
 
Mimi sio bachelor, ninachosema ni hivi muache ujinga. Yaani mwanamke anipangie siku za kulala nae nimuvumilie?

Nyie wanaume wa dar acheni ujinga

hicho cha mtoto, anaweza akawa kapata hali ya kiafya ambayo haimruhusu tena kushiriki tendo, hapo vp?
 
"Yuko mkoa wa mbali halafu hataki kukupa unyumba". Ulitaka huo unyumba akutumie kwa WhatsApp?
ni mpaka kifo kiwatenganishe, si mchezo aisee.

-yeye kaamua muwe na mtoto mmoja tu baada ya hapo atatumia kinga za mimba
-hana hamu tena ya tendo, labda akupe mara 1 kwa mwaka.
-kapandishwa cheo anahamishiwa bukoba kikazi wewe upo dar kikazi na kukutana ni mara 1 kwa mwezi.

na hurusiwi kuongeza mke

suluhisho ni lipi
 
Mimi sio bachelor, ninachosema ni hivi muache ujinga. Yaani mwanamke anipangie siku za kulala nae nimuvumilie?

Nyie wanaume wa dar acheni ujinga
Mdogo wangu,sawa sisi tumeoa wasomi,
Nyie mlioa wa LY (Standard seven)
Na nyie mtuache kidogo hatutaki majungu japo ni wana ndoa wenzetu.
Tunawaheshimu sana,mbaki reserve kwanza.
 
Vumilia tuu mkuu,hapo hamna namna😁😁,ukichepuka utaungua Moto siku ya mwisho!ukioa mwingine ni dhambi pia😁.KWANI WATOTO WENGI WEWE HUONI KAZI KUSOMESHA?!
 
ni mpaka kifo kiwatenganishe, si mchezo aisee.

-yeye kaamua muwe na mtoto mmoja tu baada ya hapo atatumia kinga za mimba
-hana hamu tena ya tendo, labda akupe mara 1 kwa mwaka.
-kapandishwa cheo anahamishiwa bukoba kikazi wewe upo dar kikazi na kukutana ni mara 1 kwa mwezi.

na hurusiwi kuongeza mke

suluhisho ni lipi
Oa mke wa pili
Ndoa ya Serikali

Usichepuke ovyo ovyo
 
Kama amepita chuo hapo nakupa pole mara tatu.
Mdogo wangu,sawa sisi tumeoa wasomi,
Nyie mlioa wa LY (Standard seven)
Na nyie mtuache kidogo hatutaki majungu japo ni wana ndoa wenzetu.
Tunawaheshimu sana,mbaki reserve kwanza.
 
hicho cha mtoto, anaweza akawa kapata hali ya kiafya ambayo haimruhusu tena kushiriki tendo, hapo vp?
Nipo mkoa x na wife mkoa y ...wote watumishi nilivyoona vimelea vya uzinzi vitanipata nikajiongeza kuoa mke.....

Kinachokera Sana Ni muda was malezi...aisee unaboa Sana kubembelezana ule mzigo ....

Halafu sisi hatuna habari za misindano kumkinga mke....

I enjoy two wives......
 
dini ?
 
Back
Top Bottom