Yani mi ningetoka kwanza talaka itanikuta njiani😂💔Bado hujachoka wewe,......
Na siku ukichoka hutakaa hivyo vikao.
Ndoa yenye kelele isiyo na maelewano isiyo kupa furaha hiyo siyo ndoa.
Usiogope kutoka, usiogope kuanza upya.
Taraka ipo nenda mahakamani mtakuja kuuana bureNina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.
Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila ikawa ugomvi mkubwa sana hadi nimeshindwa kukitaftia hati naogopa…
Mwaka 2022 nikanunua gari nikiwa na malengo ya kufanya tax baadae. Ila akaja na shida nimsaidie kadi ya gari achukulie mkopo bank nikampa kwa maandishi.
Mpaka sasa 2026 sijawai kuiona hio kadi ya gari kila nikiongelea ananiambia nifanye ninalotaka… Nimeshirikisha wazazi na kanisa hakuna matokeo zaidi ya usuluishi kila siku, Natamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Umefungwa njia pekee ni kuondoka bila kuaga na usirudi tena sahau kila kitu na hio ni big risk kwako na kwake, ukipata huo upeenyo ondoka nenda kaanze upya pahala pengine kanisa halikatazi kufanya hivyoNatamani kuwa single, nataman kuanza moja ila nazungushwa na usuluishi kila siku.
Kabisa,, huu uvumilivu wa kuvumilia ndoa isiyovumilika Mimi siuhitaji kabisa.Yani mi ningetoka kwanza talaka itanikuta njiani😂💔
Ndio nimemwambia mimi hapo option ni kuseparate mwenyewe bila kulazimishwa unasahau kila kitu nyuma ukiweza unaondoka wewe km wewe hubebi hata mapochi yako na siku unayeya unafanya km unaenda sehemu fulani ndio imetoka hio hurudi tena kimojaYani mi ningetoka kwanza talaka itanikuta njiani😂💔
Kabisa,, huu uvumilivu wa kuvumilia ndoa isiyovumilika Mimi siuhitaji kabisa.Yani mi ningetoka kwanza talaka itanikuta njiani😂💔
Uvumilivu una kipimo, hiyo level ya kukoseshana amani ndio sitaiweza!Kabisa,, huu uvumilivu wa kuvumilia ndoa isiyovumilika Mimi siuhitaji kabisa.
Unaondoka kama upo sio😅Ndio nimemwambia mimi hapo option ni kuseparate mwenyewe bila kulazimishwa unasahau kila kitu nyuma ukiweza unaondoka wewe km wewe hubebi hata mapochi yako na siku unayeya unafanya km unaenda sehemu fulani ndio imetoka hio hurudi tena kimoja
Yaani ndoa haieleweki nishindwe kupiga chini kisa eti mkristoNina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba.