Ndoa za ndugu kwa ndugu kama hii ya Waarabu wa Tanga, ni sahihi ama si sahihi?

Matokeo yake mnazaa watoto wadumavu wa akili
Hii hoja yako haina mashiko. Wahindi wanaona ndugu kwa ndugu siku zote. Waarabu hivyo hivyo tangu enzi. Wayahudi pia wanaoana ndugu kwa ndugu tangu enzi za Ibrahimu. Sara mke wa Ibrahimu alikuwa dada yake wa baba moja ila mama tofauti. Yakobo (mjukuu wa Ibrahimu) aliona mabinti wawili wa mjomba wake Laban. Unataka kutuambia Sisi wabongo kwa akili na IQ tunawazidi Jews, Arabs na Indian wenye kumiliki hadi Nyuklia na wanarusha Satelite zao katika anga la juu??

Cha msingi cha kuangalia wakati wa kuoana ni kuhakikisha waoaji hawana magonjwa ya kurithi kama vile Albinism, sickel cell na kuhakikisha unaoa ktk familia yenye uwezo mkubwa wa kiakili n.k. lakini habari za kwamba huyu ni ndg haina mashiko sana tofauti na sayansi kwamba mnapaswa kuepuka magonjwa ya kurithi kwa kuchukua vipimo kabla hamjaoana.
 
Duuh
 
Mbona fresh tu mi mwenyewe nataka nimpelekee mahari mjomba wangu nipite na binamu
 
Waarabu kama wapare .
Wapare nao huchukua ubini ktoka eneo wanalotoka.Mfano Msangi ninwanaotokea Usangi,Mgweno anayetokea Ugweno, Mchome anayetokea Chome nk

Hivyo waweza shangaa kijana wa kiume Msangi anao binti meenye la ukoo Msangi pia

Kifupi Waarabu na wapare akili kichwani hamna
Fala weee
 
Ujinga ulionao no kuamini kuwa watu wote walitokana na Adam na Hawa,na kama ni hivyo basi wote waliooana ni ndugu
 
Hilo sio swala la waarabu bali ni UISLAM ndio umeelekeza hivyo.

Haramu ni mama yako, watoto wa dada/kaka yako, shangazi zako,bibi yako, mama zako wadogo na wakubwa.

Nje ya hapo ni halali, watoto wa baba mkubwa na mdogo unaoa bila ya shida yoyote, mtoto wa mjomba ako (binamu) unaoa vizuri tu.
Mkuu sio uisilamu, Uisilamu unaruhusu Ndoa za Binamu ila una Discourage na unaongeza possibility ya kuzaa mtoto asie na akili vizuri, uisilamu unasema haya hata kabla ya Sayansi kugundua hilo. Baadhi ya fatwa

Al-Shafi’i reports Umar ibn al Khattab (RA) to have said, “Whenever the people of a household do not allow their women to marry men outside of their line, there will be fools among their children.”

Source: al-Talkhīṣ al-Ḥabīr 1371

“There is not a group of people who do not bring forth their women to marry men other than their own men, nor do their men go forth to marry women other than their own, except their children will be fools (i.e. born with a mental defect)” [Adaab ash-Shaafi’ee wa Manaaqibuhu (pg. 99)

So ikitokea ume fall kwa cousin yako umempenda huoni kitu we oa/olewa ila isiwe ndio tabia, Unaona cousin, mwanao naye cousin, mjukuu cousin etc inaongeza possibility.
 
Kila mtu ashinde mechi zake,,huo utamaduni wao wachwe waendelee nao sawa na baadhi ya makabila hawataki mtu wa kabila tofauti na lao kwenye uko wao.
 
Mkuu sio uisilamu, Uisilamu unaruhusu Ndoa za Binamu ila una Discourage na unaongeza possibility ya kuzaa mtoto asie na akili vizuri, uisilamu unasema haya hata kabla ya Sayansi kugundua hilo. Baadhi ya fatwa

Al-Shafi’i reports Umar ibn al Khattab (RA) to have said, “Whenever the people of a household do not allow their women to marry men outside of their line, there will be fools among their children.”

Source: al-Talkhīṣ al-Ḥabīr 1371

“There is not a group of people who do not bring forth their women to marry men other than their own men, nor do their men go forth to marry women other than their own, except their children will be fools (i.e. born with a mental defect)” [Adaab ash-Shaafi’ee wa Manaaqibuhu (pg. 99)

So ikitokea ume fall kwa cousin yako umempenda huoni kitu we oa/olewa ila isiwe ndio tabia, Unaona cousin, mwanao naye cousin, mjukuu cousin etc inaongeza possibility.
Uislam ni Quran na Sunnah( hadith sahih za Mtume Muhammad (s.a.w))

Kipimo chetu cha jambo lolote ni Quran na Sunnah...je vimesemaje? Suala la kuzaliwa watoto wasio na akili halina basis yoyote katika Dini.
 
unaamini hilo likitabu..? sawa kasome kaini baada yakufukuzwa kwa wazazi wake alienda kuoa wapi.
We Jamaa unazingua, eti unaamini Hilo likitabu! Kwanini likitabu Yani, Kila mtu inabidi aamini kutabu chake na sio kuona ukiaminicho wewe ndo Bora,
 
uzuri sijatukana "likitabu" ni neno rasmi kabisa lakiswahili nimekubwalisha pia ningeweza kudogolisha pia.
 
Back
Top Bottom