Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Hii hoja yako haina mashiko. Wahindi wanaona ndugu kwa ndugu siku zote. Waarabu hivyo hivyo tangu enzi. Wayahudi pia wanaoana ndugu kwa ndugu tangu enzi za Ibrahimu. Sara mke wa Ibrahimu alikuwa dada yake wa baba moja ila mama tofauti. Yakobo (mjukuu wa Ibrahimu) aliona mabinti wawili wa mjomba wake Laban. Unataka kutuambia Sisi wabongo kwa akili na IQ tunawazidi Jews, Arabs na Indian wenye kumiliki hadi Nyuklia na wanarusha Satelite zao katika anga la juu??Matokeo yake mnazaa watoto wadumavu wa akili
Cha msingi cha kuangalia wakati wa kuoana ni kuhakikisha waoaji hawana magonjwa ya kurithi kama vile Albinism, sickel cell na kuhakikisha unaoa ktk familia yenye uwezo mkubwa wa kiakili n.k. lakini habari za kwamba huyu ni ndg haina mashiko sana tofauti na sayansi kwamba mnapaswa kuepuka magonjwa ya kurithi kwa kuchukua vipimo kabla hamjaoana.