Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Miaka nane mkuu with two kids,kwa jinsi nilivyo-set mambo ni imani yangu kama ni migogoro itatokana na mambo mengine ila siyo kwenye issue za kufichiana siri.Ndoa ina muda gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka nane mkuu with two kids,kwa jinsi nilivyo-set mambo ni imani yangu kama ni migogoro itatokana na mambo mengine ila siyo kwenye issue za kufichiana siri.Ndoa ina muda gani?
Bila kusahau ushirikina na uchawi,ndg ni hatari nimemwacha mke nimezaa nae watoto 6 ni mshirikina na mchawi hata shetani hamfikii,nimekula malimbwata ya kila namna ila mungu ni mkubwa mwisho wa siku nikagundua na kumuacha kwa talaka3 ila moto wake si wa nchi hii.Mbona mnajiuliza maswali mengi wakati jibu ni rahisi tu?
Ndoa inahitaji “kujitoa” ili umpende mtu kwa mapungufu yake, sio kwa ukamilifu wake. Ili mradi tu mapungufu hayo isiwe ni zinaa au uasherati. Maana haya hata Biblia (kwa wanaoamini imani ya Kikrito) imerudu ndoa ivunjike. Hii ni kuthibitisha yote yanavumilika na kusameheka ila hilo unaruhusiwa kutosamehe na kuvunja ndoa.
Mtu ukiweza kumpenda mkeo au mumeo kupitia udhaifu wake unaouona, na ikawa hivyo kwa pande zote mbili, amini kuwa mtaishi muda mrefu pamoja.
MmhKm wewe ni mwanamke usijaribu kusema maneno haya kwake, ni dalili ya kiburi, jeuri & likes dhidi ya mwanaume....
Sisi wanaume ni natural hunters, simu zetu zina siri nyingi ambazo mwanamke anayeyapenda mahusiano yake anatakiwa kukaa mbali nayo.,
Hakuna mwanaume kamili, mwenye uchumi imara, afya nzuri asiyechepuka...hajazaliwa bado.
Aliambiwa bikra huyo mwishowe kakuta shimoHabari zenu wana jf?
Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini? Embu twende moja kwa moja kwenye mada.
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)
Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki wamechanga sana michango, harusi yake ilikuwa na bajeti ya 27 ml. Harusi ilifanyika diamond Jubilee hall
Baada ya harusi wakapaa zao uk kwenda kunyanduana huko, kinachonisikitisa ndoa yao ina miezi miwili tu na hakuna ndoa tena.
Wote ni wakristo, Roman Catholic mpaka sasa ivi hatujajua tatizo ni nini? Kipindi cha uchumba wao walikuwa vizuri sana.
Vijana wenzangu tatizo nini? Mbona siku hizi tunaacha kirahisi sana? Nilicho kigundua siku hizi kumekuwa na ndoa za show off, utayari wa kuishi kwenye ndoa hatuna.
Watu tunajitutimua kuwachangia alafu mnaishia njiani?