Ndoa za siku hizi ni majanga

Ndoa za siku hizi ni majanga

Km wewe ni mwanamke usijaribu kusema maneno haya kwake, ni dalili ya kiburi, jeuri & likes dhidi ya mwanaume....

Sisi wanaume ni natural hunters, simu zetu zina siri nyingi ambazo mwanamke anayeyapenda mahusiano yake anatakiwa kukaa mbali nayo.,

Hakuna mwanaume kamili, mwenye uchumi imara, afya nzuri asiyechepuka...hajazaliwa bado.
Wapo wanaume ambao wako na afya nzuri, pesa, na rijali haswaah, ila hawachepuki, acha kudanganya umma hapa.
 
Na ukiona mwanaume anaiogopa sim ya mpenz wake ujue ..teyar keshamshindwa huyo mwanamke.yaan mwanamke anamtawala...mim kum.anina nikulipie mahar halaf ulete use.nge wa et kila mtu na sim yake ..ma.mae. Nakufukuza siku hyo hyo. Ndomana mi nilichoamua kwasasa nakijua mwenyew...yaan nikuwazalisha tu hawa ma slay queen..ila ndoa ..no no no..yaan nawazalisha ma slay queen kama wa 3 hiv..kila m1 watoto wawil wawil....na sioi
Unahisi ni vizuri hivyo unavofanya? Inashangaza kwa kweli lol.
 
Unafikiri shida ni ndoa? Ndoa is just an institution.

The problem is me and you. We do not know the true meaning of marriage. We only focus on the moment. Just because we can have a lavish wedding and be featured on tabloids across the country and on social media then let's go for it.

As soon as the excitement wears off and reality sinks in then hard truth hits us in the face and we realize how wrong we are.

Maisha ya ku date ni tofauti sana na ya kwenye ndoa. Makucha hufichuliwana tabia zetu halisi hujionyesha. Mengine tunaweza kuvumilia mengine hatuwezi. Uvumilivu wetu nao unatofautiana.

Sasa kuna sababu ya ku retrace footsteps zetu na kuangalia ni wapi tunakosea Ili watoto wetu wasifate nyayo zetu.
Kwa mara ya kwanza umeongea point tokea nikujue jina lako......, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Km wewe ni mwanamke usijaribu kusema maneno haya kwake, ni dalili ya kiburi, jeuri & likes dhidi ya mwanaume....

Sisi wanaume ni natural hunters, simu zetu zina siri nyingi ambazo mwanamke anayeyapenda mahusiano yake anatakiwa kukaa mbali nayo.,

Hakuna mwanaume kamili, mwenye uchumi imara, afya nzuri asiyechepuka...hajazaliwa bado.

Mkuu igwee frm anambra nataka nikuulize!

Unadhani kwanini watu huamua kuingia kwenye ndoa?maana kama ni starehe za kwenye ndoa wanaweza kuzipata nje ya ndoa lakini kwanini waishie kwenye viapo?huoni kama kuna la ziada hapo?

Personally,simu yangu na ya mke wangu password tumeweka zinazofanana muda wowote nikitaka kushika simu yake au akitaka kushika simu yangu hakuna simile nashika/anashika nimempa hadi uhuru kama simu ikapigwa nipo mbali pokea elekeza anitafute kwa namba nyengine au ajibu atakavyoona inafaa.ukishaamua kuowa amua kweli kuowa unapotaka mkeo awe muwazi kwako na wewe vaa uhusika kuwa muwazi kwake hii theory imenisaidia sana kwenye maisha yangu ya ndoa.

Na huu ndo umekuwa mtego mbaya kwa ndoa za kisasa,mume kuanzia dialing,msg,w'app kajaza passwords tofauti tofauti mke nae hayupo nyuma naye kafanya hivyo hivyo simu ikiita mnatizamana kwanza unadhani kutakuwa na ndoa hapo!hayo ni maigizo.
 
Sir wewe "............. umeonyesha una mapungufu mengi ya kiumeni, pole sana... wewe si mwenzetu?
 
Nimewaza tu.....tunahitaji somo juu ya maisha ya ndoa mashuleni/vyuoni....mtihani wake....ni Ndoa yako....ukifeli...rudia somo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilivyokua Advance mwalimu wetu wa biology alitenga siku moja kwa week kutufundisha kuhusu mahusiano na ndoa, na mara nyingi alitumia ndoa yake kama mfano.Walikua wanapendana sana na mke wake.
 
Nilivyokua Advance mwalimu wetu wa biology alitenga siku moja kwa week kutufundisha kuhusu mahusiano na ndoa, na mara nyingi alitumia ndoa yake kama mfano.Walikua wanapendana sana na mke wake.
Natumaini na wewe umefuatilia/utafuatilia nyayo zake.
 
Sir wewe "............. umeonyesha una mapungufu mengi ya kiumeni, pole sana... wewe si mwenzetu?
Kwa dhambi ya uzinzi acha nisiwe kama nyie ila kwengine kote naamini nimefit vizuri!

Umehalalisha uzinzi kuwa sehemu ya ndoa yako siku mkeo akiiga na kukuletea maradhi ndani usimtafute mchawi,obviously utasema nitaachana naye ila ukitaka kujenga familia bora lazima uanze na msingi mama wa familia ambao ni ndoa baba na mama!

Mkuu unisemehe sikufundishi,ila mimi ndivyo navyoamini.
 
Mbona mnajiuliza maswali mengi wakati jibu ni rahisi tu?
Ndoa inahitaji “kujitoa” ili umpende mtu kwa mapungufu yake, sio kwa ukamilifu wake. Ili mradi tu mapungufu hayo isiwe ni zinaa au uasherati. Maana haya hata Biblia (kwa wanaoamini imani ya Kikrito) imerudu ndoa ivunjike. Hii ni kuthibitisha yote yanavumilika na kusameheka ila hilo unaruhusiwa kutosamehe na kuvunja ndoa.

Mtu ukiweza kumpenda mkeo au mumeo kupitia udhaifu wake unaouona, na ikawa hivyo kwa pande zote mbili, amini kuwa mtaishi muda mrefu pamoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu much know
Iyo much know ndo inamfanya mtu ang'atwe na nyigu ,sipendi majibu ya hovyo mkuu basi tuu.Ila kuhusu ndoa simshauri mtu achague mwenyew kumeza bomu
 
Back
Top Bottom