Ndoa za siku hizi ni majanga

Ndoa za siku hizi ni majanga

Huenda walizingatia sana mafundisho ya dini yao, Nina maana tunda linaliwa baada ya ndoa, linaitwa tendo la ndoa, labda mwanaume jojoo haliwiki.
 
Ila dalili huwa zinaonekana mapema
Screenshot_20210528-165300_Twitter.jpg
 
Sikuhizi wanandoa tunajiona ni wakubwa kuliko taasisi ya Ndoa.

Hao wote bado hawakuwa wamekomaa kuingia ndoani. Ili ndoa idumu ni lazima kuwe na mwanandoa mmoja mkomavu anaeweza kujishusha, kuvumilia au kubeba tatizo la mwenza kuwa ni lake.

kama ni hivo kama sitampata mwanamke wa kujifanya fara (kujishusha) Automatically ndoa siiwezi maana kujishusha siwezagi hata ½ sekunde
 
Yupo bint mmoja kaniletea card ya mchango ilikuwa Feb na ndoa yake ni mwezi wa sita ila nikamkataa macho makavu kwamba “sikuchangii”,akaniuliza hata wewe??!!nikamjibu ndiyo maana nina sababu zangu za msingi kwamba najua hamna cha ndoa wala chochote!!!

Ni mtu tumezoeana kiasi so kabla hapo nyuma alikuwa ananieleza (bila mimi kumuuliza) mapungufu ya mchumba wake mara ni mshamba sometimes akiongea kitu mimi kama mwanaume namsahihisha “hiyo mbona kwetu sisi wanaume ni kawaida sana” hapo atasema aah wapi yule ms*ng€ hawezi kama wengine na blah blah blah kibao,ila nilichogundua umri wake umesogea yupo 32 na anayetaka kumuowa ana hela ya kula ndo maana anamng'ang'ania na ipo siku aliniambia alimfumania but nikiangalia kwa uzoefu wangu wa kuishi kwenye ndoa huyu hafuati ndoa anataka kutoa gundu la kutoolewa na anafuata vijisent vya mwamba.

Hii ni aina ya wanawake waliojaa mtaani sasa hivi,wanataka kuingia kwenye ndoa ili kutoa gundu hawaingii ili kuiishi misingi ya ndoa.
 
muulize vizuri rafiki yako,asilimia kubwa ya mizozo kwenye ndoa kwa sasa ni utandawazi...hizi simu zimekuwa shida kubwa sana kwenye mahusiano ni wachache sana watakaosalimika watakapokagua simu za wenzi wao,ukitaka salama,amani na kudumu kwenye mahusiano zama hizi usiguse wala kudukua simu ya mwenzi wako

Huo ujinga wa kuishi na mtu ambae simu yake ina mapaswed kila kona siji kuufanya.

Ina nini mpaka nisiiguse?
 
Ndoa ni maisha sio minyanduano, bata wala kupostiana mitandaono kama mlivyokuwa wapenzi, andaa nafsi kabisa unavyoingia ujue unaenda kujenga maisha na mtoto wa mwenzio.
 
Habari zenu wana jf?

Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini?
Embu twende moja kwa moja kwenye mada
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)

Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki wamechanga sana michango, harusi yake ilikuwa na bajeti ya 27 ml. Harusi ilifanyika diamond Jubilee hall

Baada ya harusi wakapaa zao uk kwenda kunyanduana huko, kinachonisikitisa ndoa yao ina miezi miwili tu na hakuna ndoa tena.

Wote ni wakristo, Roman Catholic mpaka sasa ivi hatujajua tatizo ni nini? Kipindi cha uchumba wao walikuwa vizuri sana.

Vijana wenzangu tatizo nini? Mbona siku hizi tunaacha kirahisi sana? Nilicho kigundua siku hizi kumekuwa na ndoa za show off, utayari wa kuishi kwenye ndoa hatuna.

Watu tunajitutimua kuwachangia alafu mnaishia njiani?
Nina wasiwasi demu kamuambia bikra halafu jamaa kakuta tobo lipo wazi.......
 
Nakumbuka jamaa yangu alimdai jamaa yetu peaa yake ya mchango, kama masihara vile na akamrudishia..

Ndoa haijakaa hata miezi mi3, mwana kaisha piga talaka 3.
 
Huo ujinga wa kuishi na mtu ambae simu yake ina mapaswed kila kona siji kuufanya.

Ina nini mpaka nisiiguse?
Km wewe ni mwanamke usijaribu kusema maneno haya kwake, ni dalili ya kiburi, jeuri & likes dhidi ya mwanaume....

Sisi wanaume ni natural hunters, simu zetu zina siri nyingi ambazo mwanamke anayeyapenda mahusiano yake anatakiwa kukaa mbali nayo.,

Hakuna mwanaume kamili, mwenye uchumi imara, afya nzuri asiyechepuka...hajazaliwa bado.
 
Huo ujinga wa kuishi na mtu ambae simu yake ina mapaswed kila kona siji kuufanya.

Ina nini mpaka nisiiguse?
Na ukiona mwanaume anaiogopa sim ya mpenz wake ujue ..teyar keshamshindwa huyo mwanamke.yaan mwanamke anamtawala...mim kum.anina nikulipie mahar halaf ulete use.nge wa et kila mtu na sim yake ..ma.mae. Nakufukuza siku hyo hyo. Ndomana mi nilichoamua kwasasa nakijua mwenyew...yaan nikuwazalisha tu hawa ma slay queen..ila ndoa ..no no no..yaan nawazalisha ma slay queen kama wa 3 hiv..kila m1 watoto wawil wawil....na sioi
 
Harusi imegharimu Mil 27 hao watu wana akili sawa sawa kweli
any way mwana mfalme atakuwa na tatizo
 
Habari zenu wana jf?

Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini?
Embu twende moja kwa moja kwenye mada
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)

Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki wamechanga sana michango, harusi yake ilikuwa na bajeti ya 27 ml. Harusi ilifanyika diamond Jubilee hall

Baada ya harusi wakapaa zao uk kwenda kunyanduana huko, kinachonisikitisa ndoa yao ina miezi miwili tu na hakuna ndoa tena.

Wote ni wakristo, Roman Catholic mpaka sasa ivi hatujajua tatizo ni nini? Kipindi cha uchumba wao walikuwa vizuri sana.

Vijana wenzangu tatizo nini? Mbona siku hizi tunaacha kirahisi sana? Nilicho kigundua siku hizi kumekuwa na ndoa za show off, utayari wa kuishi kwenye ndoa hatuna.

Watu tunajitutimua kuwachangia alafu mnaishia njiani?
Mnaangaika bure tuu tatizo moja tuu. Watu wanakuwa walishagegedana.
Bikra muhimu ila kwa ujuanji wetu tanaipuuzja kumbe ndio kitu muhimu sana ili ndoa idumu
 
Habari zenu wana jf?

Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini?
Embu twende moja kwa moja kwenye mada
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)

Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki wamechanga sana michango, harusi yake ilikuwa na bajeti ya 27 ml. Harusi ilifanyika diamond Jubilee hall

Baada ya harusi wakapaa zao uk kwenda kunyanduana huko, kinachonisikitisa ndoa yao ina miezi miwili tu na hakuna ndoa tena.

Wote ni wakristo, Roman Catholic mpaka sasa ivi hatujajua tatizo ni nini? Kipindi cha uchumba wao walikuwa vizuri sana.

Vijana wenzangu tatizo nini? Mbona siku hizi tunaacha kirahisi sana? Nilicho kigundua siku hizi kumekuwa na ndoa za show off, utayari wa kuishi kwenye ndoa hatuna.

Watu tunajitutimua kuwachangia alafu mnaishia njiani?
Huna uhakika wa ulichoandika, maana unajiuliza maswali badala ya kueleza tatizo. Je nia ni kumwaga ubuyu hapa?
 
Unafikiri shida ni ndoa? Ndoa is just an institution.

The problem is me and you. We do not know the true meaning of marriage. We only focus on the moment. Just because we can have a lavish wedding and be featured on tabloids across the country and on social media then let's go for it.

As soon as the excitement wears off and reality sinks in then hard truth hits us in the face and we realize how wrong we are.

Maisha ya ku date ni tofauti sana na ya kwenye ndoa. Makucha hufichuliwana tabia zetu halisi hujionyesha. Mengine tunaweza kuvumilia mengine hatuwezi. Uvumilivu wetu nao unatofautiana.

Sasa kuna sababu ya ku retrace footsteps zetu na kuangalia ni wapi tunakosea Ili watoto wetu wasifate nyayo zetu.
makofiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom