Ndoa za siku hizi ni majanga

Ndoa za siku hizi ni majanga

Unafikiri shida ni ndoa? Ndoa is just an institution.

The problem is me and you. We do not know the true meaning of marriage. We only focus on the moment. Just because we can have a lavish wedding and be featured on tabloids across the country and on social media then let's go for it.

As soon as the excitement wears off and reality sinks in then hard truth hits us in the face and we realize how wrong we are.

Maisha ya ku date ni tofauti sana na ya kwenye ndoa. Makucha hufichuliwana tabia zetu halisi hujionyesha. Mengine tunaweza kuvumilia mengine hatuwezi. Uvumilivu wetu nao unatofautiana.

Sasa kuna sababu ya ku retrace footsteps zetu na kuangalia ni wapi tunakosea Ili watoto wetu wasifate nyayo zetu.
Jamani mbona tunabaguana humu ndani si uandike kiswahili 🙁
 
What is marriage
"I am gonna stay with u no matter what anomalies behavior you will manifest"

"Most of us tunaoa expecting to change the other person,, we want the good side,, but the bad side naaaaah we are like "no thanks! we are good"

What is marriage to most of us
"Sex+kids+show off"
This kind won't last a round[emoji41][emoji41]
 
Ubaguzi 😠
 
Mdogo wangu kafunga ndoa vizur kisha wakat wanarud kwao ..wakaachana ndan ya bas..dogo alifuma sms za hatar wakat mke amesinzia safarini..akapekua sim yake..had leo hajaoa tena
 
Unafikiri shida ni ndoa? Ndoa is just an institution.

The problem is me and you. We do not know the true meaning of marriage. We only focus on the moment. Just because we can have a lavish wedding and be featured on tabloids across the country and on social media then let's go for it.

As soon as the excitement wears off and reality sinks in then hard truth hits us in the face and we realize how wrong we are.

Maisha ya ku date ni tofauti sana na ya kwenye ndoa. Makucha hufichuliwana tabia zetu halisi hujionyesha. Mengine tunaweza kuvumilia mengine hatuwezi. Uvumilivu wetu nao unatofautiana.

Sasa kuna sababu ya ku retrace footsteps zetu na kuangalia ni wapi tunakosea Ili watoto wetu wasifate nyayo zetu.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Habari zenu wana jf?

Ndoa za sisi vijana wa siku hizi tatizo nini?
Embu twende moja kwa moja kwenye mada
Nina rafiki yangu sana tumekuwa kama ndugu, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda kidogo (BONGE MOJA LA HARUSI)

Kiufupi kwao pesa zipo na kwa binti pia zipo, ndugu jamaa na marafiki wamechanga sana michango, harusi yake ilikuwa na bajeti ya 27 ml. Harusi ilifanyika diamond Jubilee hall

Baada ya harusi wakapaa zao uk kwenda kunyanduana huko, kinachonisikitisa ndoa yao ina miezi miwili tu na hakuna ndoa tena.

Wote ni wakristo, Roman Catholic mpaka sasa ivi hatujajua tatizo ni nini? Kipindi cha uchumba wao walikuwa vizuri sana.

Vijana wenzangu tatizo nini? Mbona siku hizi tunaacha kirahisi sana? Nilicho kigundua siku hizi kumekuwa na ndoa za show off, utayari wa kuishi kwenye ndoa hatuna.

Watu tunajitutimua kuwachangia alafu mnaishia njiani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanaachana, hata hawajazaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona umetoa jibu kabisa.show off wakati utayari wa kuitumikia ndoa hakuna
 
Ma Ex- ndio maadui wa ndoa nyingi- jamaa atakuwa kagundua wahuni bado wanamkula wife- zamani ya kale- jamii ilikataa mapenzi kabla ya ndoa- lengo ni kukwepa hawa ma-ex- na ni kweli wanandoa wengi- wanakulana na ma-ex wao.
 
Mkuu igwee frm anambra nataka nikuulize!

Unadhani kwanini watu huamua kuingia kwenye ndoa?maana kama ni starehe za kwenye ndoa wanaweza kuzipata nje ya ndoa lakini kwanini waishie kwenye viapo?huoni kama kuna la ziada hapo?

Personally,simu yangu na ya mke wangu password tumeweka zinazofanana muda wowote nikitaka kushika simu yake au akitaka kushika simu yangu hakuna simile nashika/anashika nimempa hadi uhuru kama simu ikapigwa nipo mbali pokea elekeza anitafute kwa namba nyengine au ajibu atakavyoona inafaa.ukishaamua kuowa amua kweli kuowa unapotaka mkeo awe muwazi kwako na wewe vaa uhusika kuwa muwazi kwake hii theory imenisaidia sana kwenye maisha yangu ya ndoa.

Na huu ndo umekuwa mtego mbaya kwa ndoa za kisasa,mume kuanzia dialing,msg,w'app kajaza passwords tofauti tofauti mke nae hayupo nyuma naye kafanya hivyo hivyo simu ikiita mnatizamana kwanza unadhani kutakuwa na ndoa hapo!hayo ni maigizo.
Ndoa ina muda gani?
 
Kwahiyo....sisi wadada/wanawake ndio wakulaumiwa?
Kwa mtu aliyekomaa anashindwaje kutambua hapa napendwa na kuamua kutulia?
Mpaka uje kukomaa akili unakuta sehemu za Siri zilishakomaa kitambo tuu
 
The more expensive the wedding ceremony is, the shorter a marriage is bound to last.....
Ndio maana wajanja tunavuta geto. Unajaza mimba akijifungua unaenda kwa mkuu wa wilaya mnafunga ndoa kibabe tu kwa sh 40000
 
Ma Ex- ndio maadui wa ndoa nyingi- jamaa atakuwa kagundua wahuni bado wanamkula wife- zamani ya kale- jamii ilikataa mapenzi kabla ya ndoa- lengo ni kukwepa hawa ma-ex- na ni kweli wanandoa wengi- wanakulana na ma-ex wao.
Ma ex ndio shida. Wanawake wa kiafrika wanashindwa kabisa kumuacha X. Akidanganywa anaenda kupigwa mbupu
 
Back
Top Bottom