Alafu wewe mwana coet una maliza lini? Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Joshua_ok naona bado unaendeleza harakati zako!Hapo Mlimani wengi wameshaungua. Nawapataga kwa lift na pesa kabla ya kuwala Lazima niwapime wengi majibu huja +
hahahahahha Joshua kama Joshuawengi majibu huja +
Angalia usije kuwa 'asiyejulikana' mkuu!Mkuu
Naona husemi kweli
Nadhani wewe undergrad umesoma Russia
Nadhani hujasoma bongo
Na nikukumbushe tu,sekondari tulizosoma elimu ni hovyo....
Ameingia kila waziri wameharibu kwa sababu ya maamuzi ya kisiasa,ugomvi mtupu....
Mkuu,wazazi wanakwepa shule zetu za kayumba there is a reason for that.
Na tunavyoenda vyuo vya bongo vitaanza kukwepwa maana ni nonsense
Mimi sitakaa nipitishe wanangu kwenye mfumo unaoitwa NECTA au Chuo kinachosimamiwa na kitu kinaitwa TCU....useless kabisa
Mimi nitapiga mtu panga niue kabisa nipate hela nisomeshe nje hasa Western countries,short of that najipiga kibiriti!
Upo sawa mkuu katika hilo, lazima tukubali ukweli elimu yetu inasua sua sana.Wala haina shida
Waliwe wasiliwe wala sina tatizo
Mimi nina tatizo na mtoto hana real skills na ethics za kazi mpaka kazi zifanikiwe
Ukitaka kujua watu wanafanyakazi seriously na hawana utani njoo nchi za West uone
Sasa ukimleta mtoto huku chuoni mwaka wa kwanza labda ana 16 au 17 1u 18 years old akae na hizi human competition huku a-survive mpaka anamaliza Masters 6 or 7 years later,then ataondoka na culture ya msingi sana ya kujituma hapa duniani
Eti mtu ameishi the most competitive place on earth kama New York City downtown,halafu eti aje Dar es Salaam ataona hii lightweight kabisa
Ooh my God, mkuu ya kweli haya? Kumbe hawa dada zetu wana mazito kiasi hiki?Hapo Mlimani wengi wameshaungua. Nawapataga kwa lift na pesa kabla ya kuwala Lazima niwapime wengi majibu huja +
kwelii, videmu vinataka iphone msela hana hela, afanyeje?Ndoa huvunjika baada ya bumu kwisha
Wanachoma sindano sikuhizi sio kumezaSasa mkuu si uwaache wakinywa arv ni wao, wakipata gono watajua wao. Kikubwa haikupunguzi pesa zako mfukoni.
Au mkuu unawaonea wivu unanyimwa uroda
Wanachoma sindano sikuhizi sio kumeza
Kwani lazima mfanye kavu kavu? Magnum c zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Mlimani wengi wameshaungua. Nawapataga kwa lift na pesa kabla ya kuwala Lazima niwapime wengi majibu huja +
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kakuambia nipo Coet mie? Bado bado kidogo. Hahahah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nacheka hapa km chizi, c nyie vibopa na sponsors mnawavunjia ndoa vujana wenu, kwa hizo lift, I4n, pesa, na out za KFC, lol.Ndoa huvunjika baada ya bumu kwisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanachoma sindano sikuhizi sio kumeza
Sindano moja kwamwezi 3 mdundo mdondoni habari yakubeba vikoba Zama zinabadilika vikoba kukosa soko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndoa huvunjika baada ya bumu kwisha