'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Mkuu

Naona husemi kweli

Nadhani wewe undergrad umesoma Russia

Nadhani hujasoma bongo

Na nikukumbushe tu,sekondari tulizosoma elimu ni hovyo....

Ameingia kila waziri wameharibu kwa sababu ya maamuzi ya kisiasa,ugomvi mtupu....

Mkuu,wazazi wanakwepa shule zetu za kayumba there is a reason for that.

Na tunavyoenda vyuo vya bongo vitaanza kukwepwa maana ni nonsense

Mimi sitakaa nipitishe wanangu kwenye mfumo unaoitwa NECTA au Chuo kinachosimamiwa na kitu kinaitwa TCU....useless kabisa

Mimi nitapiga mtu panga niue kabisa nipate hela nisomeshe nje hasa Western countries,short of that najipiga kibiriti!
Angalia usije kuwa 'asiyejulikana' mkuu!
 
Wala haina shida

Waliwe wasiliwe wala sina tatizo

Mimi nina tatizo na mtoto hana real skills na ethics za kazi mpaka kazi zifanikiwe

Ukitaka kujua watu wanafanyakazi seriously na hawana utani njoo nchi za West uone

Sasa ukimleta mtoto huku chuoni mwaka wa kwanza labda ana 16 au 17 1u 18 years old akae na hizi human competition huku a-survive mpaka anamaliza Masters 6 or 7 years later,then ataondoka na culture ya msingi sana ya kujituma hapa duniani

Eti mtu ameishi the most competitive place on earth kama New York City downtown,halafu eti aje Dar es Salaam ataona hii lightweight kabisa
Upo sawa mkuu katika hilo, lazima tukubali ukweli elimu yetu inasua sua sana.
 
Hapo Mlimani wengi wameshaungua. Nawapataga kwa lift na pesa kabla ya kuwala Lazima niwapime wengi majibu huja +
Kwani lazima mfanye kavu kavu? Magnum c zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na majibu yakishakuja + huwa kinafuata nn? [emoji849][emoji849]
 
Ndoa huvunjika baada ya bumu kwisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nacheka hapa km chizi, c nyie vibopa na sponsors mnawavunjia ndoa vujana wenu, kwa hizo lift, I4n, pesa, na out za KFC, lol.
 
Back
Top Bottom