NDOA: Zamani vs Siku hizi

women empowerment ndo inawatetea na kutukandamiza sisi wanaume
 
Reactions: Mbu

...mkuu, narudia tena...sheria zote za kisasa zina lengo la kumkandamiza mwanaume...huko tunakoelekea, madhali tumeamua kuacha mila na desturi zetu...vitabu na miongozo ya kidini tunaikiuka...tunakumbana na sheria na haki zinazompa nguvu mwanamke kukuamulia maisha yako baada ya kukudai talaka!....

...unakumbuka uligusia wale wanaume wa scandinavia wanavyosaga meno?
aisee mimi maishani mwangu sikujua kwanini hawa watu wanaishia homeless mpaka nimekuja ughaibuni ndio
akili imeniingia...no wonder hata makanisa yao hayajai watu hawa....wanawake wanategemea nguvu za kisheria ajabu! Nasi ndiko tunakoelekea huko!

 
....Temea mate chini DA...unakumbuka ile thread yako uliyokuwa umeudhiwa na mtu mzima!? ila usiwe na wasiwasi sitaifukunyua lol!

....yule aliyekuwa anamnunia DA?...lol...
 
Reactions: BAK


Hahahahaha lol! Mkuu DC una ubavu lakini wa kumpa malezi bora mtoto wa mwezi 1? 🙂🙂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…