NDOA: Zamani vs Siku hizi

NDOA: Zamani vs Siku hizi

Mkuu, kwa uzoefu wangu..."system" zote nzuri za usasa zinalenga
kumkandamiza mwanaume. System inayokulazimsha utoe child maintenace kwa kila mtoto uliyemzaa bila kujali ex-wife wako anaishi na ka boyfriend tu tena jobless..., hili ni jaka moyo bana!

...swadaktaa neno juu ya msitari!
women empowerment ndo inawatetea na kutukandamiza sisi wanaume
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hata hivyo, sheria ya ndoa ya Tanzania inatoa nafasi ya mzazi mwenye uwezo kuwachukua watoto endapo wamepita umri ambao ni lazima wake na mama tu (sina hakika ila nadhani ni hadi miaka 10)!!

Ila kama mke wangu kaolewa na mume mwingine siwezi kukubali aende na mtoto wangu hata kama ana mwezi 1!!

...mkuu, narudia tena...sheria zote za kisasa zina lengo la kumkandamiza mwanaume...huko tunakoelekea, madhali tumeamua kuacha mila na desturi zetu...vitabu na miongozo ya kidini tunaikiuka...tunakumbana na sheria na haki zinazompa nguvu mwanamke kukuamulia maisha yako baada ya kukudai talaka!....

...unakumbuka uligusia wale wanaume wa scandinavia wanavyosaga meno?
aisee mimi maishani mwangu sikujua kwanini hawa watu wanaishia homeless mpaka nimekuja ughaibuni ndio
akili imeniingia...no wonder hata makanisa yao hayajai watu hawa....wanawake wanategemea nguvu za kisheria ajabu! Nasi ndiko tunakoelekea huko!

....Temea mate chini DA...unakumbuka ile thread yako uliyokuwa umeudhiwa na mtu mzima!? ila usiwe na wasiwasi sitaifukunyua lol!

....yule aliyekuwa anamnunia DA?...lol...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata hivyo, sheria ya ndoa ya Tanzania inatoa nafasi ya mzazi mwenye uwezo kuwachukua watoto endapo wamepita umri ambao ni lazima wake na mama tu (sina hakika ila nadhani ni hadi miaka 10)!!

Ila kama mke wangu kaolewa na mume mwingine siwezi kukubali aende na mtoto wangu hata kama ana mwezi 1!!

Hahahahaha lol! Mkuu DC una ubavu lakini wa kumpa malezi bora mtoto wa mwezi 1? 🙂🙂

Back
Top Bottom