Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Wanawake wana kero sanaa..mwanaume mpaka afikie hatuabya kukupiga ujue umevuka mstariMume wa kupiga hivi Mungu naomba asinipe
Halafu wanaume mnakuwaga wepesi sana kupiga kwani nyie mnapigwaga na nanii
Dada naye katulia me ningemng'ata hata pum*u nijiteteeSi alijua kati kati ya barabara watatokea watu wawaamue..aliona akifika nae home anaweza akamuua..
Kwanza hata huko home wasingeweza fika kwa hasira hizo wangeweza hata kupata ajal
Ila huyu mwanamke kazingua,japo kwe kwenye kupiga nae kazidishaMume wa kupiga hivi Mungu naomba asinipe
Halafu wanaume mnakuwaga wepesi sana kupiga kwani nyie mnapigwaga na nanii
Kwahiyo na nyie mkivuka mstari tuwapigeWanawake wana kero sanaa..mwanaume mpaka afikie hatuabya kukupiga ujue umevuka mstari
Ahahahahahah...Dada naye katulia me ningemng'ata hata pum*u nijitetee
Unless dada anajua Ana makosa
Huyu anajua alichofanya ndo maana katuliaDada naye katulia me ningemng'ata hata pum*u nijitetee
Unless dada anajua Ana makosa
Wao mbona wanashea na hatuwapigiIla huyu mwanamke kazingua,japo kwe kwenye kupiga nae kazidisha
Shouga kushare kunauma jmn!
Huyu mwanamke naye mzembe unakaaje hadi saa nneAhahahahahah...
Ujue ukifumaniwa unakua akil kama hazifanyi kazi
Wake zao Wana moyo Mimi siweziiiiiπππWao mbona wanashea na hatuwapigi
Duh ndoa changamoto Kwa kweliHuyu jamaa unakuta kashasema ndani mpaka kachoka, hapo ni ile hali yaku changanyikiwa anahisi akifanya ivyo mbele za watu kuna relief atapata...... na pengine anahisi akifika ndani mwanamke labda ataomba msamaha, kuna wanawake kwenye ndoa hata akosee vipi samahani hasemi,
Unaweza usimuelewe huyo jamaa na wengi tutasema kakosea!!! Ila vipi kuhusu izo calls zote alizopiga wife alikuwa haoni???
Itakuwa pia ni mpya kwenye gameHuyu anajua alichofanya ndo maana katulia
Nyie tena mnavyojuabkutupiga na viru vizito!!!! Kwamfani hapo, imagine jamaa alivyopigwa na kitu kizito mpaka kaona gari imemshinda acha amkunje barabarani.Kwahiyo na nyie mkivuka mstari tuwapige
ππLabdaItakuwa pia ni mpya kwenye game
Hapo mwanaume ukimsachi kwenye simu hukosi chats za wanawake kama wanne hiviNyie tena mnavyojuabkutupiga na viru vizito!!!! Kwamfani hapo, imagine jamaa alivyopigwa na kitu kizito mpaka kaona gari imemshinda acha amkunje barabarani.
Adhabu zenu mnazotupa ni vere saikolojiko bora hata sis tunawapiga makofi
Boloyangi mchezo!!?!!?!Huyu mwanamke naye mzembe unakaaje hadi saa nne
Mi Niko upande wa mwanaume,huyu mwenzetu kazingua!Mbona huelewek mtumishi..chagua uoande mmoja basi ππ
Mpigaji mpaka hapo kaonyesha umakini wa hali ya juu sana..angekua na nia ovu angefika nae chimbo ficho akambinya hasaa..sasa hapo hadharan alijua tu watatokea wasamaria wa kuamuaMi Niko upande wa mwanaume,huyu mwenzetu kazingua!
Ss huyu mpigaji awe makini anaweza uaπ
ππππMpigaji mpaka hapo kaonyesha umakini wa hali ya juu sana..angekua na nia ovu angefika nae chimbo ficho akambinya hasaa..sasa hapo hadharan alijua tu watatokea wasamaria wa kuamua