Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu.
Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Ugomvi wa ndoa siyo wa kuingilia namna Hiyo, ni kuwaamulia kuzuia kuzuia madhara, kisha kusuluhisha kwa busara.
 
Siku hizi za kikristo wanaachana kila kukicha. Hayo ya sijui mpaka kifo kiwatenganishe huku mnaishi vyumba tofauti au mnachomana na magunia ya mjaa ni ujuha.
Tanzania ni jamii moja haijalishi mkristo au muislamu ,athari kama hizo ni kwa wote ...linapokuja suala la maadili ni mtihani kwa malezi yetu hasw watoto wanakuwa pamoja huko shule wanakuwa pamoja wa dini zote hata makabila yote.

Sasa hivi tabia zinafanana karibia mikoa yote hamna kipya sio kama zamani ,watu wa jamii fulani nao wanapoteza sifa zao za asili kutokana na mchanganyiko..


Hili ni suala la kitaifa ,tukae tufanye overhaul ya malezi yetu hali sio nzuri huko mbele..
 
Hii video ime nifikirisha sana
Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwann asingesubiri mpk wafike nyumbani
Huoui kama ni afadhari wamefanyia hapo ,hao watu watazuia yasitokee madhara zaidi,kuliko nyumbani wangekuwa wenyewe tu.
 
Unajijua kabisa wewe kibamia, tangazo la dawa ya kukuza kibamia linapita halafu unajifanya huchukui namba ya mganga kisha unakimbilia kuoa. Kwanini usigongewe.


# kibamia huwa kinamuondolea mwanaume hali ya kujiamini na kuona kama anachitiwa na mpenzi wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
jamani mwenzio na umia

Kwani mwenzako alivyo kua anapiga mara 16 alikua aumii

Alafu kuna kiumbe kenzie dhaifu sana kinamwambia mwamba eti huyo ni mkeo wa ndoa.

Mwamba kilia hiyo kifua nyofoa na hizo nywele mpaka aseme alikua wapi huyo malayer


Mimi kwa upande wangu nikipigia mara tatu mpenzi wangu kwa mpishano wa dakika 10 apokei atakuta tuu meseji kwamba mahusiano na yeye basi awe huru tuu.
 
Wanawake+Wanaume, tujifunze kuishi na wenza wetu kwa akili, huwezi kudeal na mtu ambaye keshapaniki kwa kumuelewesha, uyo mtu anakua refers as chizi, anaweza fanya lolote hata kama akiwa ke, kumjibu ama kujitetea ni kama unaongeza tatizo.

*Kwenye mahusiano ya ndoa usije ukachukulia poa vimakosa vidogo vidogo huwezi kujua mwenza wako anaviwaza kwa ukubwa gani.

*Ukijua umezingua usione tabu kuandaa mapema mazingira ya kumuweka sawa mwenza wako, jaribu kuwaza mapema kitu ambacho atakua kinampa mashaka alafu kitafutie ufumbuzi mapema kabla hamjakutana ili akifika tuu unampa maelezo yote vizuri sio mpaka mtu akuhoji au akuelezee kosa lako.

*Zitambue akili za mwenza wako, kila mtu anaufahamu wa tofauti, hayupo mtu aliyekamilika, kila mtu hua anakitu chake anachokhofia, ukikipenda sana kitu lazima ukikhofie, mfano kwa uyo mtu hapo (video) utagundua kawekeza sana kwa mke wake (familia), anakhofia sana kumpoteza mke ila hataki kuatreated kama bwege kisa upendo wake kwa mke so ni simple tu kwa mke kama atazielewa akili za mme wake.

Mwisho wa siku UPENDO ndo huzalisha MAPENZI, bila upendo hamfiki popote, mpende mwenza wako mpaka wenzako wakuone bwege. Kuna wale wadada saloon utawasikia asee naona nachelewa ntasuka kesho ngoja niwahi kumpikia baba changa wangu, na kuna baadhi ya wanaume pia utawasikia asee leo sijui kama ntacheki mpira maana huu muda nikizidisha wife atanuna kichizi. So unapata jawabu kabla ya mapenzi kuna upendo, hamuwezi kuenjoy mapenzi kama hamna upendo kwa wenza wenu, msichanganye vitu.
 
Back
Top Bottom