Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

57ac2aacfa8d440dfa683a36b16c5ef6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana Kuna suala la talaka. Mkiona mnapoelekea mnashindwana basi kiutaratibu tu mnaachana na sio kuanza kutaka kutafutiana kifo na mwingine kufungwa maisha.! Talaka Ina maana pana sana

Ndio maana hata mke akioa mume wake sio anaweza kudai talaka na sio mume tu ndio anaweza kutoa talaka peke yake !
 
Mi naona watu mnapiga kelele hapa hamuelewi wanawake wanavooperate na akili zao

Usikute jamaa alitaka wafike nyumbani ila majibu ya kijinga ya mke wake yakafanya apaki kwanza 😁

Nasema hivii hata wanawake wangekua wanaume halafu wangepata wanawake wanaojibu shit vizuri wangeelewa kwann mtu anapigwa bastola hivi hivi
Ukweli wanao wenyewe.
 
Ni utoto na mental health

Bora wagombanie vitu vingine Lakini sio mapenzi

Jamaa Hana chake
Ni rahisi sana kuyaongea tu, kuyaishi ni ngumu sana mkuu. Hata ingekuwa kuachana bado hakuna wanandoa wanaoachana kwa kukata keki na kulishana. Its anger, exasperation, crossness na ghadhabu kama zote. Hata waislam ambao kwao kuachana ni rahisi, bado kunakuwa na hasira, ghadhabu nk.
 
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu.
Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Mbaya zaidi polisi walivyokuja huyo mwanamke kakataa kata kata kuwa hakupigwa wakati video watu wanayo.
 
Ni rahisi sana kuyaongea tu, kuyaishi ni ngumu sana mkuu. Hata ingekuwa kuachana bado hakuna wanandoa wanaoachana kwa kukata keki na kulishana. Its anger, exasperation, crossness na ghadhabu kama zote. Hata waislam ambao kwao kuachana ni rahisi, bado kunakuwa na hasira, ghadhabu nk.
Ni bora kuliko kuishi maisha ya uchungu. Mbona watu wanaacha kila siku na maisha yanaendelea. Kumbuka kwamba hakuna spare ya uhai lakini wake kwa waume wamejaa kibao.
 
😂😂 nachekaaa ila kwa uchungu.
Nashindwa kuelewa hao wanandoa jamani, kwani wanakuwaga bado kumaliza heka heka za dunia au vipi?

Missed call 16 dada nae alishindwa nn kusema kapita saloon?
Kabla ya kwenda huko alikoenda alienda saloon na wakati wa kurudi tena apitie saloon yaani wewe ungetundikwa kabisa maana hata kudanganya hujui 😄
 
Huyu jamaa unakuta kashasema ndani mpaka kachoka, hapo ni ile hali yaku changanyikiwa anahisi akifanya ivyo mbele za watu kuna relief atapata...... na pengine anahisi akifika ndani mwanamke labda ataomba msamaha, kuna wanawake kwenye ndoa hata akosee vipi samahani hasemi,

Unaweza usimuelewe huyo jamaa na wengi tutasema kakosea!!! Ila vipi kuhusu izo calls zote alizopiga wife alikuwa haoni???
Nakazia!.. Tusimlaumu tu et kisa mwanamke ndo anapigwa!.. hao ni watu wazima wanaojielewa
 
Ni swalha
View attachment 2865896View attachment 2865898
Hii story ilinisikitisha sana. Hamna faida yoyote waliyopata zaidi ya kuacha huzuni kwenye familia zao. Hivi watu kama hawawezani kwa nini wasiachane huwa najiuliza sana
 
Ndoa tamuu (upande wa kwanza wa shilingi) hahaaaa ...... kataaa ndoaaa (upande wa pili wa shilingi).....

haya maisha kila mtu na matabia yakeee mwaja kutana ukubwaniii ... Mola atusaidie tuu
 
Back
Top Bottom