Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ni rahisi sana kuyaongea tu, kuyaishi ni ngumu sana mkuu. Hata ingekuwa kuachana bado hakuna wanandoa wanaoachana kwa kukata keki na kulishana. Its anger, exasperation, crossness na ghadhabu kama zote. Hata waislam ambao kwao kuachana ni rahisi, bado kunakuwa na hasira, ghadhabu nk.
Kupigana namna ile? Uchizi
 
Habarini Wakuu!
Naomba kuchangia mada!
Kwanza kabsa naomba nibainishe kitu, hakuna watu wenye ushauri mzuri wa masuala ya ndoa kama watu ambao bado hawajaingia kwenye ndoa! Yaani wanazungumzia nadharia za ndoa utadhani ni kitu rahisi! Kwenye uchuba tu missed call tano tayari mtu ameshapata sonona ya kutosha! Halafu mke wako unampigia simu mara 16 na hapokei!
Halafu ukimkia mwanaume anavyoongea inaonesha sio ara ya kwanza kwa ke wake kufanya makosa haya! Inawezekana kabsa hajaenda kugawa tunda au kuchepuka ila kuna kitu heshima kwa mume au mke wako!
Bila kuwa na mipaka na heshima kwenye uhusiano wowote mtakabana sana na kutoana uhai!
 
Kupigana namna ile? Uchizi
Huenda labda bado hujaingia kwa ndoa, inaweza kuwa rahisi kuyaongea. Au upo kwa ndoa na mtu sahihi so hayajakukuta.

Mkuu, huyu jamaa hatujui kwa nini wameanzia kwenye gari, sometimes majibu ya wenzetu ni karaha, kama huna kifua utashindwa.
 
Hiyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Acha upumbavu , mnaleta umalaya mkipigwa eti mnanyanyaswa, mwanamke ni kama mtoto kwa mume anastaili kichapo akifanya ujinga

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi za kikristo wanaachana kila kukicha. Hayo ya sijui mpaka kifo kiwatenganishe huku mnaishi vyumba tofauti au mnachomana na magunia ya mjaa ni ujuha.
Sio tu Wakristo Mkuu karibia kila sampuli wanaachana! Kwa ufupi rate ya divorce imepanda kwa zaidi ya 39% duniani! Single parent families ndo zimekuwa nyingi.
 
Hii story ilinisikitisha sana. Hamna faida yoyote waliyopata zaidi ya kuacha huzuni kwenye familia zao. Hivi watu kama hawawezani kwa nini wasiachane huwa najiuliza sana
Tatizo mmoja anakuwa tayari kashaingia kwenye stage nyingine ya ukichaa kwahiyo kwenye kufanya maamuzi ya busara inakuwa ngumu. Ilikuwa mbaya sana kwakweli.
 
Back
Top Bottom