Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Huyu jamaa unakuta kashasema ndani mpaka kachoka, hapo ni ile hali yaku changanyikiwa anahisi akifanya ivyo mbele za watu kuna relief atapata...... na pengine anahisi akifika ndani mwanamke labda ataomba msamaha, kuna wanawake kwenye ndoa hata akosee vipi samahani hasemi,

Unaweza usimuelewe huyo jamaa na wengi tutasema kakosea!!! Ila vipi kuhusu izo calls zote alizopiga wife alikuwa haoni???
Duh ndoa changamoto Kwa kweli
 
Back
Top Bottom