Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Jamani...hata wewe Blackcornshman ? 😆😆
Yaani Lizzy una Power banker,salio la kutosha hata kurudisha na kusema nipe nusu saa nasuka ya kuzuga si dharau hizo.Mimi kuna siku Baby mama alitoka na Dada zangu out nikamwambia saa fulani awe amerudi.Kwa kuwa alikuwa na sisters zangu wakamrudisha kachelewa kapoteza na funguo,kagonga sikufungua mlango wakarudi pamoja kwa sister na nikamchimba mkwara sister asilete ujinga kwenye mahusiano yangu.
 
Pendekezo la Kwanza: Tunza heshima yako, usipigane na mkeo barabarani, mfukuzilie mbali akafanye umalaya wake huko kwao.

Pendekezo la Pili
: Usiache hasira ikutawale. Inaweza kukupelekea ukafanya kitendo kibaya ukaishia jela na mkeo akaendelea kupelekewa 🔥🔥🔥 na wahuni

Wanawake wako wengi sana humu duniani na maisha yetu ni mafupi sana ukae unahangaika na mwanamke mmoja mpuuzi malaya asiye na shukrani wala asiye na thamani na mwili wake.​
 
Ndyo maana nikasema huyo mama atakuwa ni underground kwenye kuchepuka
 
Kibongo bongo mtu anaweza kupiga hata zikafika miss call milioni moja🤣. Trust me, sisi wabongo, ni wachache ambao akipiga simu moja usipopokea ataacha. Back kwa hao wanandoa: inaonyesha ndoa yao ina kutoaminiana, yaani mume anahisi mkewe anachepuka. Na ndoa ikishafika kwenye stage hii vi-ugomvi vidogo vidogo haviishi.
 
Ni ngumu sana mke achepuke na heshima kwa mumewe iendelee kuwepo. Kwanza kitendo cha kuchepuka kinaonyesha kuwa ameshakudharau. Angekuwa anakuheshimu hawezi.
 
Ila ni mambo ya kuchekesha 😂😂😂

Jamaa masaa 4 tu kawa mbogo.

Mbona urimbo wa warembo (gari) anao. Sasa huko kumkaba mkewe hadharani ni ili amdhalilishe au niaje.

Ila wabongo nao jau sana, majitu yote hayo yameshindwa kumtoa jamaa hapo, ko mke angeuawa hivihivi tu.
 
Hapo kweli alizingua maana hamna excuse anaweza kutoa akaeleweka.

Lakini msitupige wala msitufukuze bana.😔
Makofi mawili ni ya kuagana.Ndiyo maana tunachepukaga,mchepuko call moja tu amejibu yaani baby una maisha marefu nilikuwa nawaza kukupigia nimekumiss na uwongo mwingi na tunafahamu tunaibiwa lakini kwa akili siyo dharau.
 
Makofi mawili ni ya kuagana.Ndiyo maana tunachepukaga,mchepuko call moja tu amejibu yaani baby una maisha marefu nilikuwa nawaza kukupigia nimekumiss na uwongo mwingi na tunafahamu tunaibiwa lakini kwa akili siyo dharau.
Kama hivi ehhhh.....😁😁
Your browser is not able to play this audio.


Basi tutajitahidi maana hatupendi mkichepuka!!!!
 
Ni ngumu sana mke achepuke na heshima kwa mumewe iendelee kuwepo. Kwanza kitendo cha kuchepuka kinaonyesha kuwa ameshakudharau. Angekuwa anakuheshimu hawezi.

Ila akiweza kuchepuka bila kuvuruga tabia zake zilizompelekea kupendwa na mume bas ni ngumu mume kugundua kua mke anachepuka achilia mbali kuhisi kua anagongewa, shida inanzia kwenye tabia.
 

Nah! That ain’t it.

Hakuna haja ya kupoteza nishati yako kwa mtu ambaye unaona/ unahisi/ au unadhani si mwaminifu kwako.

Mapenzi ni hiari. Mapenzi si shurti.

Najua inakera, lakini kudundana si sawa.

Ni bora tu jamaa aendelee na maisha yake bila huyo mwanamke.
 
bomani sio ndoa?
kivipi?
anyways
 
Ndio ameamua ayamalize hivyo, wengine tunakutana na makubwa zaidi ya hayo ila pia tunatumia njia tofauti kuyamaliza.

Hakuna a universal approach ya kutatua changamoto za ndoa. Ni busara ya mazingira yako husika.

Kila mtu na ashinde mechi zake.
 
Wewe kwako ni dada..ila huyo huyo mwamba ndio anamla k ambayo wewe hawez kukupa kwahiyo tulia wanandoa wayamalize..ikikuuma sana na wewe kaolewe nae il msaidiane
ukiwa umelelewa kwenye vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu huwez kuelewa hii kitu kwamba ukimtendea ukatili wa waz sista angu nikaona bas sehemu zako za haja kubwa zitakua rehani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…