Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Mara nyingi kumpigia mtu missed call zizidi 2 ni kumtafutia kosa, kwani huyo mke ni daktari kusema kuna emergency au dereva wa ambulance?

Btw, Unaishije na mke ambaye anaonesha dalili zote za kutokukuheshimu? Aisee mengine mnajitafutia, hata kama kids are involved ya’ll can do better.

Watu wasiokuwa na akili wanachosha hata kuwafikiria sembuse kuishi nae.
binti kiziwi amua basi kama umeamua kutuchekesha au kuwa serious. 😁😁

Unanipa shida kuchagua reaction!
 
Mwamba katumia nguvu kubwa sana pasipo sababu. Kama kaliwa uroda ni kaliwa tu huwezi badilisha ilo jambo.

Hapo alitakiwa kufahamu kisa alafu apimie uzito na majibu ya ziada. Akiona hakieleweki, aanze utaratibu wa maisha mengine tu.

Ila jambo lingine vijana wengi wameoa wapenzi wa vijana wengine. Kamwe usitake kumuoa mwanamke, usioe mwanamke uliyekutana naye ghafla jipe muda angalau miaka 3 - 5.

Sasa mtu unakutana na binti kamaliza chuo unamrukia ghafla mara miezi mitatu ndoa, huko chuo alikuwa anaishi na mhuni wake kuanzia second year hadi final year, wewe unaokna umepata mk3 kumbe umenyang'anya mtu mpenzi wake.

Huyo lazima akachepuke tu, huna ujanja hapo na hayo ni umejitakia mwenyewe.
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

Hii hata mimi kwa ukulya wangu, siwezi kufanya hv, najua kugongewa inauma,lakini hii si sawa, sawa, mfukuze, mrudishe kwao, tafuta msambwanda mwingine.
 
Wanaosema mwanaume ni mnyanyasaji labda wao hajaolewa au kuoa au kufunga ndoa au hawajui matunzo ya mke au watoto na uchungu mwanaume anaopitia kuhakikisha familia inakula, kuvaa, na kulala. Kwa mtu aliefunga ndoa kihalali (kanisani/msikitini, sio za bomani) na anawajibika ipasavyo kwa familia na alimuamini mke wake hawezi kuona km anachofanya huyu bwana ni ukatili.

Kwa hiyo huyo mwanamke kutopokea sm Mara 16 kutoka kwa mume wake wa ndoa ndo siyo ukatili. Au huo ukatili ni kwa mwanamke pekee. Tusiendekeze kulea upuuzi kwa kigezo Cha ukatili. Huyo alitakiwa anyooshwe maana itakuwa hakukunjwa na wazazi.

Serious kweli missed call 16 with no response, MKE wa mtu tena usiku then unamtetea eti ananyanyaswa bora waachane. Hapo inatakiwa wanaachana lakini akiwa amebaki na utabulisho wa milele kwa ujinga aloufanya.
 
Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Jamaa yuko sahihi kabisa!....

Ukiisha kumnunua mwanamke.... Kwa currency-iitwayo MAHARI... Una haki ya kumfanya vile utakavyo!...!!!

Maana huyo ni wako... MAHARI yako iliyokuchagulia!!....!

Mama avumilie tu.. ya kawaida kabisa hayo huku Tarime!...

Kwanza naona kama jamaa anamchelewesha!!! Anampeti peti! Badala ya kumtengeneza!
 
Jamaa yuko sahihi kabisa!....

Ukiisha kumnunua mwanamke.... Kwa currency-iitwayo MAHARI... Una haki ya kumfanya vile utakavyo!...!!!

Maana huyo ni wako... MAHARI yako iliyokuchagulia!!....!

Mama avumilie tu.. ya kawaida kabisa hayo huku Tarime!...

Kwanza naona kama jamaa anamchelewesha!!! Anampeti peti! Badala ya kumtengeneza!
Upo sahihi aisee unavumilia ujinga hpo ni kutwanga kma unapiga mwizi mahari milioni 5 nisikuzibue na mibanzi hapana aisee
 
Back
Top Bottom