kwamba unataka kusema ishu ya kutembea mtu akiwa amelala inakua fiction sio real?Mkuu hii hutokea mara chache sana kuna sakati upande wa ubongo unaohusika na kutembea ukijiwasha ukiwa usingizini wkati huo huo sehemu zingine zikijiwasha na kuzima utajikuta unatembea kama huyo dogo,
Kuna wengine huwa wanaota wanafanya malenzi (means kumbu kumbu ya ufanyaji mapenzi imejiwasha) na kufika kileleni kabisa yaani wanapiga bao.
Belief + belief = perceptionUkipozingua ni hiyo story ya majimaji acha ujinga huo unaamini story za wazungu kuwa wazee wetu walisema maji
Usitake kubadilisha maneno . Mimi siamini katika ndoto ila kusema sijui wazee wetu walienda vitani kupigania kutotawaliwa kwa kusema maji ni ujinga ntupuBelief + belief = perception
Pengine nimegusa vitu unavyo amini ndio maana unaona nmezingua unasahau kuwa huo ni mfano na wala sijataja vita vya maji maji
Ni real mkuu pengine umenielewa vibayakwamba unataka kusema ishu ya kutembea mtu akiwa amelala inakua fiction sio real?
Wrwe kwa akili yako unadhani risasi ikifyatuliwa kuelekea usawa wako ukitamka maji risasi kweli itageuka kuwa maji??? Jibu ndio au hapanaUsitake kubadilisha maneno . Mimi siamini katika ndoto ila kusema sijui wazee wetu walienda vitani kupigania kutotawaliwa kwa kusema maji ni ujinga ntupu
Kwanza kabisa ili uote kitu ni lazima kiwe kwenye kumbu kumbu zako (akili/ubongo) either ulikisikia sehu, ulikisoma mahali au kuona kwenye movie ila wahusika sio lazima wawe uliowaota, then baadae ukilala sehemu iliyotunza hizo kumbu kumbu ikajiwasha ukiwa usingizini kweli utaota raisi kafariki na nchi inaongozwa na mwanamkeMwaka 2014 mwezi wa nne, niliota Rais atafia madarakani na nchi kuongozwa na mwanamke, nilisubiri kutimia kwake, na nilipoona inachelewa kutimia, nikaanza kuipuuzia na kuipa tafsiri tofauti. Mwaka 2019 Magufuli alipozushiwa kifo nikajua ndoto inatimia, lakini siku ya tatu akajitokeza hadharani. Hata Rais aliye madarakani nafahamu atakavyouishi urais.
hivyo, nimekupuuza mwandishi, inawezekana unaota ndoto za kufukuzwa na simba na nyoka pekee.
Kwanza kabisa nimefurahi kuona unauelewa kidogo kuhusu mambo ya mind hasa hasa aya yako ya kwanza,Siamini kwenye kutafsiriwa ndoto.
Siamini kwenye utabiri wa ndoto nje ya muotaji mwenyewe na mambo yake binafsi.
Na yes ndoto nyingi hazina maana ni sehemu ya human consciousness kupumzika huku subconscious ikiendelea kufanya kazi
Mimi ni shahidi kwenye hili kwamba kuna baadhi ya ndoto unaota ambazo zinakuonyesha baadhi ya vitu muhimu kwako ambavyo vinakwenda kutokea baadae "in the future".
Isipokuwa vyenyewe vinakuwa kwenye mafumbo ambayo mtu binafsi pekee ndio anaweza kufumbua.
Bila shaka kuna siri kubwa juu ya uwepo wa binadamu chanzo chake na mengi tusiyoyajua kuhusu the universe its existence and its creation.
Bila shaka kutakuwa na part ya mind ya binadamu ambayo ipo connected na higher dimensions beyond our 3rd dimensional space where we're limited on how we perceive time.
But in higher dimensions where time can exist simultaneously in the present.
Kwa ambao hawajaelewa.
Yaani kuna uwezekano wa kwamba kuna sehemu ya mind ambayo ipo connected na dimensions za juu nje kabisa ya dimension yetu ya tatu.
Ambapo kwenye hizo dimension za juu time (muda) unaexist ndani ya present (sasa hivi) kwa kujumuishwa yaani past(zamani) present (sasa hivi) na future (baadae).
Hivyo labda binadamu anapolala mind yake mara chache inakuwa connected na higher dimensions labda the 4th dimension.
Ambapo muda unaexist simultaneously in the present hivyo binadamu anapata hinsts juu ya nini kinatokea in the future.
Sababu kinachotokea na kitakachotokea tayari vyote vimeshatokea.
Yes zinakuwa off ktk mtindo wa bulb inayofifia mwanga lakini ikitokea ziko on ambayo ni mara chache mtu atatembea akiwa usingizinimimi nimechallenge pale uliposema mtu akilala physical activities kama kutembea zinakua off
Sina access na mkubwa yeyote. Kiufupi, hakuna mtu aliyewahi kuniambia, si jambo hilo pekee bali kila nililoliota. Ni sawa na stori ya nabii Elisha na washami ambao kila walipokuwa wakitaka kuvamia Israeli, Elisha alimtahadharisha mfalme wa Israeli kuwa asipite njia flani na hivyo akajiepusha na mashambulizi ya washami.Kwanza kabisa ili uote kitu ni lazima kiwe kwenye kumbu kumbu zako (akili/ubongo) either ulikisikia sehu, ulikisoma mahali au kuona kwenye movie ila wahusika sio lazima wawe uliowaota, then baadae ukilala sehemu iliyotunza hizo kumbu kumbu ikajiwasha ukiwa usingizini kweli utaota raisi kafariki na nchi inaongozwa na mwanamke
Kwa vile ni jambo zito utalitilia maanani na kusahau yale ya kawaida uliyoyaota then ikitokea probability kweli tumepata msiba kama ule wa juzi utaanza kujiita nabii
Thought proceses za kwenye ubongo ni command, huu command mwili, anythought means recall of memmory,unaota unakojoa, afu ukawa unakojoa kweli. Hiyo ndoto ni useless sio ukweli?
To make it short, biblia ni masimulizi ya ndoto ambazo watu walikuwa wakiota, siamini ktk ndoto unaponipa facts kwa kurejea ndoto hizo hizo unakuwa hujajibu wala kufafanua chochote.Sina access na mkubwa yeyote. Kiufupi, hakuna mtu aliyewahi kuniambia, si jambo hilo pekee bali kila nililoliota. Ni sawa na stori ya nabii Elisha na washami ambao kila walipokuwa wakitaka kuvamia Israeli, Elisha alimtahadharisha mfalme wa Israeli kuwa asipite njia flani na hivyo akajiepusha na mashambulizi ya washami.
Ukiwa karibu na Mungu, hatakuficha lolote. na hilo la Rais kufia madarakani, Mungu alinionyesha kama uthibitisho wa mwisho kuwa, kila aliloniambia kuhusu maisha yangu ni la kweli,
yaani kwamba, kama siamini, basi nikiona hilo jambo limetokea, kama nina akili timamu nitajua hata mambo yanihusuyo aliyoniambia, yalikuwa sahihi hata kama niliyapuuzia.
Ndoto ni useless,Huwa ninapata ujumbe mzito unaohusu maisha yangu kupitia ndoto. Nilioteshwa kifo cha mzee wangu wiki mbili kabla hakijatokea.
Ni real namaanisha unatembea kweli, ni sawa na yule anaye ejaculate in real kwa kuota na hicho nilichokielezea ni mechanism yake, umenielewa mkuu????kwamba unataka kusema ishu ya kutembea mtu akiwa amelala inakua fiction sio real?
Naishia hapa. Natamani upate nafasi ya kuambiwa hata kitakachotokea wiki moja mbele kupitia ndoto. Kwa sasa nitaeleweka kwa mtu aliyewahi kupewa iwe maonyo, taarifa, n.k kupitia ndoto na kikatokea kama alivyokiota.To make it short, biblia ni masimulizi ya ndoto ambazo watu walikuwa wakiota, siamini ktk ndoto unaponipa facts kwa kurejea ndoto hizo hizo unakuwa hujajibu wala kufafanua chochote.
Not really, ingawa alikuwa mtu mzima sana. Lakini ilishanitokea kwa mjomba wangu pia. Huwa ninakuwa alerted two weeks prior msiba.Ndoto ni useless,
Kwa vile umeota jambo zito mengine yote uliyoyaota ukayasahau, ikitokea probability kweli mzee kafariki utasema roho mtakatifu alikushukia,
I bet wakati unaota mzee wako alikuwa mgonjwa?
Ndoto ni uselessNaishia hapa. Natamani upate nafasi ya kuambiwa hata kitakachotokea wiki moja mbele kupitia ndoto. Kwa sasa nitaeleweka kwa mtu aliyewahi kupewa iwe maonyo, taarifa, n.k kupitia ndoto na kikatokea kama alivyokiota.