Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika
I had that concept before but not until things started to happen in my life. One I had a dream I was in an Island and I had to leave, water had taken all my belongings. A week after I was told our office was closing down and we were given time to start packing. I don’t joke with my dreams.
 
Mkuu kwangu ndoto zina maana,mfano nikipotezana na ndugu au rafiki kwa miaka nikimuota kuna mambo mawili lazim yatokee nipate taarifa kwamba amefariki au ni mgonjwa.
 
Ukiota unatumbukizwa kwenye dimbwi la maji taka" unalo" kimbia kwa Mwamposa chapchap.
 
ndoto zina maana kaka usishikilie upande mmoja tu wa sayansi ya nyama nenda sayansi ya kiroho pia.
 
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
Kuna baadhi ya ndoto usizipuuzie hasa zikiwa zinajirudia rudia.nakupa mfano huu, mwanamama mmoja alikopa pesa sh 10000 kutoka kwa jirani yake, ikatokea yule mama akafariki kabla hajarudisha ile pesa sasa yule jirani ambae ndio amekopesha pesa akaacha bila kudai, cku moja akaota yule mama alimkopesha pesa anamwambia nenda kwa watoto wangu waambie wakupe pesa yako, yule jirani akapuuzia ikapita kama mwezi akaota tena yule mama yupo ktk jangwa alafu kuna kibanda kidogooo amekaa anamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako,yule mama akapuuzia tena ,mara ya 3 akaota yule mama yupo ktk jangwa kubwa jua linawaka kaliiii na hakuna kivuli amechoooka sana akamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako. Asubui palipokucha itabidi yule mama aende kwa mtoto mmoja wa wale wamama akawaelezea kisa chote walimlaumu sana wakaenda kwa shehe wakamwelezea atabidi yule mama alipwe pesa yake na ikafanywa dua pale baaada ya hapo hakuota teeeena . Je unasema ndoto haina maaana?
 
I had that concept before but not until things started to happen in my life. One I had a dream I was in an Island and I had to leave, water had taken all my belongings. A week after I was told our office was closing down and we were given time to start packing. I don’t joke with my dreams.
Probability (possibilities of events). Kimsingi mnaoamini ktk ndoto hamna utofauti na mtu anaye bet, akiloss mechi 5 akashinda moja anaamini kuna malaika wamemshukia
 
Mkuu kwangu ndoto zina maana,mfano nikipotezana na ndugu au rafiki kwa miaka nikimuota kuna mambo mawili lazim yatokee nipate taarifa kwamba amefariki au ni mgonjwa.
Ndoto ni useless, wewe unachofanya baada ya kuota ni kuanza kucheza na probability ukiona probability ni zero unahamishia imani kwenye tukio jingine ili uhalalishe unachokiamini
 
Kuna baadhi ya ndoto usizipuuzie hasa zikiwa zinajirudia rudia.nakupa mfano huu, mwanamama mmoja alikopa pesa sh 10000 kutoka kwa jirani yake, ikatokea yule mama akafariki kabla hajarudisha ile pesa sasa yule jirani ambae ndio amekopesha pesa akaacha bila kudai, cku moja akaota yule mama alimkopesha pesa anamwambia nenda kwa watoto wangu waambie wakupe pesa yako, yule jirani akapuuzia ikapita kama mwezi akaota tena yule mama yupo ktk jangwa alafu kuna kibanda kidogooo amekaa anamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako,yule mama akapuuzia tena ,mara ya 3 akaota yule mama yupo ktk jangwa kubwa jua linawaka kaliiii na hakuna kivuli amechoooka sana akamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako. Asubui palipokucha itabidi yule mama aende kwa mtoto mmoja wa wale wamama akawaelezea kisa chote walimlaumu sana wakaenda kwa shehe wakamwelezea atabidi yule mama alipwe pesa yake na ikafanywa dua pale baaada ya hapo hakuota teeeena . Je unasema ndoto haina maaana?
Imani potofu
 
Sijaona fact yoyote kutetea hoja yako, kuna ndoto za uhalisia/maono usikatae.
Ngoja niulize Swali km unavyotaka. .. unakuta kuna jambo unalifikiria au kuna mtu unalifikiria sana baada ya muda flani unakuta unaletewa ndoto juu ya jambo lile au mtu yule na Kupewa solutions ya nn ufanye au km ni mtu yuko vp kwako (mbaya/mzuri) Je hii hua inamaanisha nn?
 
Hakuna cha maono wala unabii

Ni kwamba ili uote kitu ni lazima kiwe kwenye kumbu kumbu ubongoni mwako, unapofikiria zaidi ubongo huwa unatanuka kwa kiasi kidogo sana na kujikunja ili uenee kwenye fuvu yaani unajibadirisha shape, mabadiriko hayo yanaambatana na kupata jawabu au njia nyingine ya kutatua ulichokuwa unakifikiria kitaalam inaitwa NEUROPLASTICITY. Wengine wanaita kufikiria nje ya BOX
339a0114dc7b4728c4f09fba64048617.jpg

Na ukuaji wa viungo vya mwanadamu hutokea pale anapokuwa usingizini mwili huzalisha growth factorambazo huactivate growth hormomes.

Unaswali lingine mkuu??
 
Ulimwengu unabadirika kila siku, sayansi na teknolojia inakuwa kwa kasi, inatakiwa tuishi ktk usasa sio kuishi ktk maandiko na story za kale za miaka 200 BC, mfalme anamtafuta mtu amtafsirie ndoto, sasa hivi tupo kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia.
LUCKYDUBE.

Kumbe ile ya MFALME Farao na Yusuf niliyokupa kwenye lile jukwaa UMEINYAKA Japo kule hujajibu, umeamua kuja kujibu huku... Ubarikiwe pia.

Ngoja nikuambie.. Ndoto huja kutokana na mambo mengi sana, machache kati yao ni haya yafuatayo.

1.Mungu anapotaka kuzungumza na wewe.. Mungu Mtakatifu huzungumza na wanadamu kwa njia nyingi, Maono, Njozi/Ndoto, Neno lake TAKATIFU, ama hata kwa njia ya hali ya hewa ama kutumia watu ama wanyama na ndege...

2.Ndoto huja kama sehemu ya kuonyeshwa hali yako ya kiroho, vita na changamoto upitiazo... Hapa hata shetani ana weza kukuonyesha UCHAFU wake kusudi akutie najisi (USIPOTUBU, kimekuganda hicho).

3.Ndoto huja kama sehemu ya shughuli nyingi ambazo mwanadamu anakua nazo...

Ni JUKUMU LAKO wewe uliyeota kuitafuta Maana na Chanzo cha hiyo ndoto...

Hivyo si kila ndoto ni ya kupuuzwa kama ulivyoniambia kwenye ule uzi kisha ukakimbia.

Karibu
 
Hakuna cha maono wala unabii

Ni kwamba ili uote kitu ni lazima kiwe kwenye kumbu kumbu ubongoni mwako, unapofikiria zaidi ubongo huwa unatanuka kwa kiasi kidogo sana na kujikunja ili uenee kwenye fuvu yaani unajibadirisha shape, mabadiriko hayo yanaambatana na kupata jawabu au njia nyingine ya kutatua ulichokuwa unakifikiria kitaalam inaitwa NEUROPLASTICITY. Wengine wanaita kufikiria nje ya BOX
View attachment 1913498

Na ukuaji wa viungo vya mwanadamu hutokea pale anapokuwa usingizini mwili huzalisha growth factorambazo huactivate growth hormomes.

Unaswali lingine mkuu??
Sawa jibu zuri....
Katika uislaam kuna nabii alioteshwa amchinje mwanae na mpaka leo kuna maadhimisho maalum inaitwa sikukuu ya kuchinja haya Hebu nipe uelewa wako kwenye hii ndoto ni ukweli au ndio ubongo ulikua umepumzika ukamuelekeza hvyo?
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukiota unaota matukio mengi mengi yaliyo ktk vipande vipande ambavyo havina uhusiano?

Mfano uote unakula walinyama na rafiki zako hapo hapo unaota unaendesha gali then baadae kidogo unaota umemaliza form six upo JKT mnapigishwa kwata, yaani matukio hayaleti maana.
Hujawai kuota ndoto yenye tukio moja ambalo ni kamilifu kabisa au limeishia njiani, lakini hakuna muingiliano wa tukio hilo na vipande vingine?
 
Sawa jibu zuri....
Katika uislaam kuna nabii alioteshwa amchinje mwanae na mpaka leo kuna maadhimisho maalum inaitwa sikukuu ya kuchinja haya Hebu nipe uelewa wako kwenye hii ndoto ni ukweli au ndio ubongo ulikua umepumzika ukamuelekeza hvyo?
Allahmdulilah.. aya ndio mambo yanakufaa sio zile mada za kimasihara sheikh wangu, TUMTUMIKIE MOLA WETU.
 
Back
Top Bottom