Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
ndoto za kweli zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoto za kweli zipo
Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzikaNot really, ingawa alikuwa mtu mzima sana. Lakini ilishanitokea kwa mjomba wangu pia. Huwa ninakuwa alerted two weeks prior msiba.
Usalama wa taifa kazini.Ndoto ni useless
Kwanini mkuu?Usalama wa taifa kazini.
I had that concept before but not until things started to happen in my life. One I had a dream I was in an Island and I had to leave, water had taken all my belongings. A week after I was told our office was closing down and we were given time to start packing. I don’t joke with my dreams.Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika
Kuna baadhi ya ndoto usizipuuzie hasa zikiwa zinajirudia rudia.nakupa mfano huu, mwanamama mmoja alikopa pesa sh 10000 kutoka kwa jirani yake, ikatokea yule mama akafariki kabla hajarudisha ile pesa sasa yule jirani ambae ndio amekopesha pesa akaacha bila kudai, cku moja akaota yule mama alimkopesha pesa anamwambia nenda kwa watoto wangu waambie wakupe pesa yako, yule jirani akapuuzia ikapita kama mwezi akaota tena yule mama yupo ktk jangwa alafu kuna kibanda kidogooo amekaa anamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako,yule mama akapuuzia tena ,mara ya 3 akaota yule mama yupo ktk jangwa kubwa jua linawaka kaliiii na hakuna kivuli amechoooka sana akamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako. Asubui palipokucha itabidi yule mama aende kwa mtoto mmoja wa wale wamama akawaelezea kisa chote walimlaumu sana wakaenda kwa shehe wakamwelezea atabidi yule mama alipwe pesa yake na ikafanywa dua pale baaada ya hapo hakuota teeeena . Je unasema ndoto haina maaana?Habari wakuu,
Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293
Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,
Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.
Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.
Nakaribisha maswali.
Probability (possibilities of events). Kimsingi mnaoamini ktk ndoto hamna utofauti na mtu anaye bet, akiloss mechi 5 akashinda moja anaamini kuna malaika wamemshukiaI had that concept before but not until things started to happen in my life. One I had a dream I was in an Island and I had to leave, water had taken all my belongings. A week after I was told our office was closing down and we were given time to start packing. I don’t joke with my dreams.
Ndoto ni useless, wewe unachofanya baada ya kuota ni kuanza kucheza na probability ukiona probability ni zero unahamishia imani kwenye tukio jingine ili uhalalishe unachokiaminiMkuu kwangu ndoto zina maana,mfano nikipotezana na ndugu au rafiki kwa miaka nikimuota kuna mambo mawili lazim yatokee nipate taarifa kwamba amefariki au ni mgonjwa.
Wajinga ndio waliwaoUkiota unatumbukizwa kwenye dimbwi la maji taka" unalo" kimbia kwa Mwamposa chapchap.
Roho ni nini?ndoto zina maana kaka usishikilie upande mmoja tu wa sayansi ya nyama nenda sayansi ya kiroho pia.
Imani potofuKuna baadhi ya ndoto usizipuuzie hasa zikiwa zinajirudia rudia.nakupa mfano huu, mwanamama mmoja alikopa pesa sh 10000 kutoka kwa jirani yake, ikatokea yule mama akafariki kabla hajarudisha ile pesa sasa yule jirani ambae ndio amekopesha pesa akaacha bila kudai, cku moja akaota yule mama alimkopesha pesa anamwambia nenda kwa watoto wangu waambie wakupe pesa yako, yule jirani akapuuzia ikapita kama mwezi akaota tena yule mama yupo ktk jangwa alafu kuna kibanda kidogooo amekaa anamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako,yule mama akapuuzia tena ,mara ya 3 akaota yule mama yupo ktk jangwa kubwa jua linawaka kaliiii na hakuna kivuli amechoooka sana akamwambia nenda kawaambie wanangu wakupe pesa yako. Asubui palipokucha itabidi yule mama aende kwa mtoto mmoja wa wale wamama akawaelezea kisa chote walimlaumu sana wakaenda kwa shehe wakamwelezea atabidi yule mama alipwe pesa yake na ikafanywa dua pale baaada ya hapo hakuota teeeena . Je unasema ndoto haina maaana?
Hakuna cha maono wala unabiiSijaona fact yoyote kutetea hoja yako, kuna ndoto za uhalisia/maono usikatae.
Ngoja niulize Swali km unavyotaka. .. unakuta kuna jambo unalifikiria au kuna mtu unalifikiria sana baada ya muda flani unakuta unaletewa ndoto juu ya jambo lile au mtu yule na Kupewa solutions ya nn ufanye au km ni mtu yuko vp kwako (mbaya/mzuri) Je hii hua inamaanisha nn?
LUCKYDUBE.Ulimwengu unabadirika kila siku, sayansi na teknolojia inakuwa kwa kasi, inatakiwa tuishi ktk usasa sio kuishi ktk maandiko na story za kale za miaka 200 BC, mfalme anamtafuta mtu amtafsirie ndoto, sasa hivi tupo kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia.
Sawa jibu zuri....Hakuna cha maono wala unabii
Ni kwamba ili uote kitu ni lazima kiwe kwenye kumbu kumbu ubongoni mwako, unapofikiria zaidi ubongo huwa unatanuka kwa kiasi kidogo sana na kujikunja ili uenee kwenye fuvu yaani unajibadirisha shape, mabadiriko hayo yanaambatana na kupata jawabu au njia nyingine ya kutatua ulichokuwa unakifikiria kitaalam inaitwa NEUROPLASTICITY. Wengine wanaita kufikiria nje ya BOX
View attachment 1913498
Na ukuaji wa viungo vya mwanadamu hutokea pale anapokuwa usingizini mwili huzalisha growth factorambazo huactivate growth hormomes.
Unaswali lingine mkuu??
Hujawai kuota ndoto yenye tukio moja ambalo ni kamilifu kabisa au limeishia njiani, lakini hakuna muingiliano wa tukio hilo na vipande vingine?Ulishawahi kujiuliza kwanini ukiota unaota matukio mengi mengi yaliyo ktk vipande vipande ambavyo havina uhusiano?
Mfano uote unakula walinyama na rafiki zako hapo hapo unaota unaendesha gali then baadae kidogo unaota umemaliza form six upo JKT mnapigishwa kwata, yaani matukio hayaleti maana.
Allahmdulilah.. aya ndio mambo yanakufaa sio zile mada za kimasihara sheikh wangu, TUMTUMIKIE MOLA WETU.Sawa jibu zuri....
Katika uislaam kuna nabii alioteshwa amchinje mwanae na mpaka leo kuna maadhimisho maalum inaitwa sikukuu ya kuchinja haya Hebu nipe uelewa wako kwenye hii ndoto ni ukweli au ndio ubongo ulikua umepumzika ukamuelekeza hvyo?