Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Naamini nikisema nikuelezee deep utachanganyikiwa tu bure mkuu labda kwa kukusaidia pitia uzi huu Akili ya binadamu unisome kwajza ndio urudi hapa kuuliza swali lako

NB hakikisha unasoma uzi wote
Mkuu huwezi ku nichanganya wejibu tu maswali yangu tutaenda vizuri, kwanini unipe rejea wakati we mwenyewe upo? Hujamini?
 
Mkuu huwezi ku nichanganya wejibu tu maswali yangu tutaenda vizuri, kwanini unipe rejea wakati we mwenyewe upo? Hujamini?
Mkuu labda pengine sikuelewi hebu kuwa specific uliza straight to the point
 
Give me 3 sources of human knowledge?
Mkuu mimi sizijui labda wewe ueleze hizo source ni zipi na zinahusikaje na huu uzi

NB sibishani ili kushinda mjadala nabisha pale nnapoona mtu analeta hoja isiyo ya kweli
 
Mkuu mimi sizijui labda wewe ueleze hizo source ni zipi na zinahusikaje na huu uzi

NB sibishani ili kushinda mjadala nabisha pale nnapoona mtu analeta hoja isiyo ya kweli
Hapana mkuu haya sio mabishano umeleta academic presentation ume-quote theories, za ma philosophers, ikanibidi namimi ni ku-disprove academically.
in academics tuna msemo kwamba "we always agree to dis agree"...... ..mimi sioni ubaya kukuuliza sources of human knowledge unazo kubali na unazo pinga ukizitaja unazo amini tutapata homony discussion, sita quote nje ya hizo sources zako za knowledge ku-kuprove kwamba some dreamz are reality others are due to fatigue of daily brain work.
Kumbuka kurlmarx aliseme katika theory yake kwamba there is know existence of God but what exist is law of nature...wa kamuuliza to prove it, kwa kutumia his source of knowledge that he believes......hi story ni ndefu.
 
HUJUI LOLOTE KUHUSU NENO LA MUNGU, PEPO LA UJUAJI NA KIHEREHERE NYAMAZAAAA.

HUJUI LOLOTE TULIA nikupashe.

Neno la MUNGU limepatikana kwa njia zote, ila njia kubwa ni MAONO (Maono ni tofauti na Njozi/Ndoto), njia nyingine ni Ndoto, Mungu kuwasiliana moja kwa moja na manabii (Kama Musa na Elisha) Lakini pia Maisha halisi.. mfano wana waisraeli KUTOKA utumwani kama ilivyoelezwa katika kitabu cha KUTOKA.

Hujui kitu
Wacha mungu hizi mada mkae nazo mbali zinahitajika hoja za kiutafiti sio kunena Kwa lugha
 
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
Usidanganye watu wewe..binafsi nilisha lala pale Shinyanga miaka fulani,ili nipande bus(Mombasa Raha bus) kwenda Mwanza asubihi,usiku nikaota bus hilo limepasua tyre ya mbele na likaenda mpaka kingo ya daraja likasimama na halikuanguka japo watu walipata taharuki

Asbh nilipoamka nikakuta Mohamed trans imeondoka na imebaki Mombasa Raha bus. Nikapanda bila kua na kumbukumbu na ile ndoto. Kiufupi nilichoota kilienda kutokea baada ya kupita mpaka wa Mwanza na Shinyanga

Niambie uongo wa ndoto uko wapi??
 
Hapana mkuu haya sio mabishano umeleta academic presentation ume-quote theories, za ma philosophers, ikanibidi namimi ni ku-disprove academically.
in academics tuna msemo kwamba "we always agree to dis agree"...... ..mimi sioni ubaya kukuuliza sources of human knowledge unazo kubali na unazo pinga ukizitaja unazo amini tutapata homony discussion, sita quote nje ya hizo sources zako za knowledge ku-kuprove kwamba some dreamz are reality others are due to fatigue of daily brain work.
Kumbuka kurlmarx aliseme katika theory yake kwamba there is know existence of God but what exist is law of nature...wa kamuuliza to prove it, kwa kutumia his source of knowledge that he believes......hi story ni ndefu.
Niliweka list ya vitabu ni kwamba nimepata maarifa kwa kusoma vitabu mbali mbali, yaani ni sawa na wewe uamue kusoma certificate au diploma ya memmory kienyeji usome ukiwa nyumbani kwa kupitia vitabu,

Kwahiyo ukiniuliza mambo ya philosophy utakuwa hunitendei haki labda uende direct kwenye target
 
Usidanganye watu wewe..binafsi nilisha lala pale Shinyanga miaka fulani,ili nipande bus(Mombasa Raha bus) kwenda Mwanza asubihi,usiku nikaota bus hilo limepasua tyre ya mbele na likaenda mpaka kingo ya daraja likasimama na halikuanguka japo watu walipata taharuki

Asbh nilipoamka nikakuta Mohamed trans imeondoka na imebaki Mombasa Raha bus. Nikapanda bila kua na kumbukumbu na ile ndoto. Kiufupi nilichoota kilienda kutokea baada ya kupita mpaka wa Mwanza na Shinyanga

Niambie uongo wa ndoto uko wapi??
Wewe akili yako ilicheza na probability ya tairi kupasuka, kama unaamini ktk ndoto kwanini mambo yote unayoyaota hayatokei?
 
Kivipi swali hili liwe key ya kuonesha some ndoto ni uhalisia ebu tueleweshe how does it relate?
Ni kama vile ana knowledge ya philosophy ila hajui kuitumia, ni sawa na mtu anamiliki gari ila hajui ku drive.
 
Miezi mitatu iliopita nilibet jackpot sportpesa, usiku wa kuamkia jmosi nikaota nipo juu ya mti, baada ya kushuka kwenye ule mti nikaona hela nyingi sana kwenye lile shina la mti, zile hela zilikuwa zimemwagwa njia nzima kuanzia pale kwenye mti hadi nyumbani.

Nilivyoamka asubuhi nikatabasamu kwanza, nikasema "God let it be" mechi ya kwanza tu kuchezwa nikapoteza, daaah nilipanic sana. Nakumbuka siku ya jpil yake dogo mmoja hivi akatangazwa kuwa ni mshindi wa ile jackpot, mimi nilipata mechi 6 tu.
 
Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika usizitilie maanani zitakuchanganya na kukujengea imani potofu
 
Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika usizitilie maanani zitakuchanganya na kukujengea imani potofu
Nakubali aisee, pia sometimes ukikiwazia sana kitu fulani, basi huchangia kutokea kwa ndoto
 
Ubongo unasiri kubwa sana, sema hatujui tu kuutumia. Imagine unakuotesha upo semu fulani nzuri mno yaan mazingira ni ya kijani, halafu upo peke yako. Cha ajabu toka uzaliwe hujawahi kufika/kuona sehemu hiyo.

Ifike tu mahali baada ya ndoto kuisha tuuambie ubongo hebu nipeleke live kule ulikonionesha. Shenz type
 
Mkuu hapa umechemka kidogo,binafsi naaamini kuwa ndoto Zina maana kubwa sana,kwa upande wangu asilimia 70 ya ndoto zangu huwa Ni kweli,Kuna Kaka yangu aliota ndoto mwaka 2010 akaniambia kuwa nimeota Tanzania imetawaliwa na mwanamke,binafsi nilimpinga na niliona kuwa haiwezekani lakini ukweli umekuja kuonekana,Leo hii tuko chini ya utawala wa mwanamke!!!

Juzi tu Kaka yangu kaniambia ameota kuwa nchi yetu viongozi wa juu wote,yaani prime minister,makamu wa rais na rais mwenyewe wote watakuja kuwa wa wakiume na akadai kuwa mpango ambaye Ni makamu wa rais atakuwa rais hili bado narisubiria,

Lakini akadai kuwa yote hayo yatatokea katika Hali ya sintofahamu.

But tuzidi kumwomba Allah atupishilie mbali Mambo haya!!!!
 
Back
Top Bottom