OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #101
Mkuu ulishawahi kuona mchoro wa tembo mwenye mabawa?Ubongo unasiri kubwa sana, sema hatujui tu kuutumia. Imagine unakuotesha upo semu fulani nzuri mno yaan mazingira ni ya kijani, halafu upo peke yako. Cha ajabu toka uzaliwe hujawahi kufika/kuona sehemu hiyo.
Ifike tu mahali baada ya ndoto kuisha tuuambie ubongo hebu nipeleke live kule ulikonionesha. Shenz type
Hii inaitwa Arts
Yaani unatoa, kuongeza au kupunguza rangi au kiungo cha idea ya kitu flani unakipachika kwenye kitu kingine, lakini kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,
Ubongo unauwezo wa kufanya hiyo kitu mtu akiwa ktk hali ya usingizi au ndoto yaani ina extend idea ya kitu flani