Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Sio zote mkuu, Mwaka jana mwezi kumi nilikua naota karibia kila siku kwamba napata ajali ya gari nikiwa naendesha yaaani nikilala naota gari yangu imengia kwenye machaka nashituka, mwezi wa 11 nilipata ajali inayo fanana na ndoto kwa asilimia zote. na sijaota tena ile ndoto.
 
Watu wanaota matukio na matukio yanatokea halafu unasema ndoto zipuuzwe? Mfano mtu anaota ndugu yake A kapata ajali na kufa na kweli inatokea halafu unasema zipuuzwe!? 😳😳😳
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
 
Acha kupotosha watu, uchawi upo, wenzako wamezindikwa na vitu au watu wabaya huwa wanaviota Kama ndoto. Niliwahi ota ndoto jamaa ofisi moja na mimi ananipa chakula nilie chooni. Umeelewa tafsiri yake? Ndoto ya pili jamaa mwingine alikuwa anasubiri kula chakula alichopika mama yangu . Upo? Acha kufananisha baadhi ya ndoto na uchovu wa ubongo sikatai zipo ndoto zinatokana na uchovu
 
Ni kawaida kabisa kwa mtu asiye na nguvu katika ulimwengu wa roho kuona ndoto hazina maana.

Mpuuzieni huyu maana kinga yake ni ndogo
 
kuna jama yuko muhumbili alipata ajali..na amepoteza kumbu kumbu zote isipokuwa maneo mawili...Nyasubi na kahama ndio anayotamka..huyu unamzungumziaje mkuu..
Mkuu huenda kijisehemu kilichokuwa kimehifadhi hizo taarifa hakikuharibika, kimsingi ubongo wa mbele umeharibika ndio unaohusika kutunza kumbu kumbu za muda mrefu, hapo kuna uwezekano wa kutokumkumbuka yeyote hata ukionana naye leo kesho ukienda hatakukumbuka

Na huyu kuna uwezekano hataweza kuota chochote
 
Acha kupotosha watu, uchawi upo, wenzako wamezindikwa na vitu au watu wabaya huwa wanaviota Kama ndoto. Niliwahi ota ndoto jamaa ofisi moja na mimi ananipa chakula nilie chooni. Umeelewa tafsiri yake? Ndoto ya pili jamaa mwingine alikuwa anasubiri kula chakula alichopika mama yangu . Upo? Acha kufananisha baadhi ya ndoto na uchovu wa ubongo sikatai zipo ndoto zinatokana na uchovu
Tatizo linaanzia kwenye imani uliyonayo wewe itakuwa ngumu sana kukuelewesha sababu mambo ya kiimani yapo kwenye kumbu kumbu zako za kudumu
 
Sio zote mkuu, Mwaka jana mwezi kumi nilikua naota karibia kila siku kwamba napata ajali ya gari nikiwa naendesha yaaani nikilala naota gari yangu imengia kwenye machaka nashituka, mwezi wa 11 nilipata ajali inayo fanana na ndoto kwa asilimia zote. na sijaota tena ile ndoto.
Imani potofu
 
Watu wanaota matukio na matukio yanatokea halafu unasema ndoto zipuuzwe? Mfano mtu anaota ndugu yake A kapata ajali na kufa na kweli inatokea halafu unasema zipuuzwe!? 😳😳😳
Kwanini yatokee machache yasitokee yote uliyoota?
 
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
ni kweli mara kiboa nimeota nipo mbele na watu wa kubwa kina anorld shwaziniger mara rick ross au naoiga ngumi balaa na hakuna kinachonidhuru hata nikianzisha agi na watu 1000 lazima nashinda kuna siku moja nimeota nimetumwa kama secret agent kwenye kambi ya kijeshi ambayo kuna rafiki zangu ...hahahaahii i baada ya kuangalia moie
 
Kuna watu watakuambia malaika amekushukia soon utakuwa secret agent na utaingia vitani na akina Arnold Schwziniger
 
Sasa wewe uliyeandika ndoto ZIPUUZWE tu hukujua kama kuna watu wanaota na ndoto zao huwa kweli!? Acha KUKURUPUKA.
Kwanini yatokee machache yasitokee yote uliyoota?
 
😂😂😂😂😂😂😂 KAKURUPUKA huyu Mkuu.
Kumbe hata hilo hujui sasa ni nini kimekufanya uje na mada ngumu hivyo bila kuwa na research ya kutosha??

Ubishi wa kurithi au???
 
Unaelewa maana ya kuuliza? Nataka nijue unaelewa nini kuhusu nguvu ya roho, jibu swali mkuu
 
Back
Top Bottom