Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
UNA JIDHARIRISHA MBONA.Unajua ni kwanini biblia haijaandikwa ktk mtililiko, pia ukisoma kifungu au mstari mmoja au miwili ile inayofuata haihusiani na mingine inabidi uunganishe na mstari wa kwenye kurasa zingine ili upate maana??? Tueleze sababu??
Je unajua kwanini ukiota unaota kwa vipande vipande ambavyo ukiviunganisha havihusiani wala kuleta maana, tunaomba ujibu?
Je unaelewa nini kuhusu ndoto?
Je unaelewa nini kuhusu probability? Mfano mimi nikiota nimekutana na mzungu halafu kesho yake nikaenda mjini ktk mizunguko nkakutana na mzungu je hapo malaika waliniotesha??? Kwanini mambo yote unayo yaota hayatokei?
Sikutegemea uwe na ID's mbili.. maana hii uki-quote jina lina kuja LUCKDUBE.. Japo nilihisi hiki kitu ndio maana nikakuambia mapema kwenye komenti yangu ya kwanza.
PILI nikajuwa wewe ndiye mwenye KNOWLEDGE kuwa watu wakuulize maswali, cha kushangaza unajiuliza na kujijibu kwa ID nyingine tena, yaani una ID zaidi ya mbili..
Umesema utajibu maswali, lakini wewe ndo umekuwa wa kwanza kuuliza maswali... NILICHOGUNDUA NI KUWA HUNA MAARIFA YOYOTE JUU YA NDOTO, SASA UNATAKA HAYO MAARIFA KWA KIVULI CHA KUANZISHA HII MADA..
Wewe Bwana mdogo ni WA KUPUUZWA, HUJITAMBUI BADO.