Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Wapumbavu kama wewe wanazidi kuongezeka Tanzania. Mwelekeo wa nchi kutokana na huu utitiri wa Wapumbavu si mzuri hata kidogo.
umeshakuwa brainwashed siwezi kukusaidia lolote.kwann waseme some na si zote,wanajaribu janjajanja ili wapige pesa kwa baadhi ya wajinga kama wewe pindi mnapoota ndoto mbaya muende kutafsiriwa ili wawatandike za uso .
 
Wapumbavu kama wewe wanazidi kuongezeka Tanzania. Mwelekeo wa nchi kutokana na huu utitiri wa Wapumbavu si mzuri hata kidogo.
mimi nisiyeamini hizo porojo ndio mpumbavu au mpumbavu ni yule mpuuzi anayeamini ukiota umeokota hela kesho utaokota kweli.majinga hayataisha milele waganga na wachungaji waongeze vilinge tu mipoyoyo haiishi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Siku ukitia akili kichwani utaelewa ukweli ni upi na labda kujiondoa kwenye huo utitiri wa Wapumbavu nchini.

haya nenda kwa mwamposa katabiriwe ndoto yako hiyo uliyoota unamla wema sepetu
 
Angalia unavyoonyesha ujuha wako hadharani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wapi nilipoandika kuhusu huyo ndaza!?
haya nenda kwa mwamposa katabiriwe ndoto yako hiyo uliyoota unamla wema sepetu
 
Mkuu sijui kama tunaelewana ndio maana unanipeleka huku kwengine kabisa, nimekwambia polisi wanafanya uchunguzi sasa hizo memory kama CCTV na sijui kifungo yanapatikana ukifanya uchunguzi, hivyo kitu tofauti na nachozungumzia mimi hapa,bila kufanya uchunguzi ni vp polisi atapata hiyo memory kama kujua sura ya suspect ambayo imenaswa kwenye CCTV au kwenye camera ya simu ya mtu? labda sasa unielimishe kuhusu memory kwa mtu ambaye ameweza kujua wapi kilipo kitu kilichopotea kwa kutumia ndoto hali ya kuwa hakuwa akijua kabisa ni wapi kilipopotelea hicho kitu?
Nitakujibu siku nyingine nikipata muda nishaelewa swali lako.
 
Ndoto ni mawasiliano Muhimu sana ktk ulimwengu wa roho. Kama wewe unaona hazifai basi potezea kivyako2 siyo uwashawishi wengine! Mimi binafsi zinanissidia.
 
Mleta mada mtazamo wake kuhusu ndoto umejikita zaidi kuwalenga waumini wa dini ila kasahau au hajui kuwa kuna mitazamo tofauti kuhusu ndoto hadi wanasaikolojia nao wana mtazamo wao kuhusu ndoto katika fani yao, na katika mambo ambayo bado yanasumbua vichwa ni kuhusu ndoto ila mleta mada yeye karahisisha sana jambo la ndoto.
 
Nmefurahi sana kukutana na hii Mada leo japo nmechelewa kidogo. Mm mwanzoni nilikuwa nikiamini kuwa ndoto Ni useless km mtoa Mada. Lakini kuanzia mwaka 2014 nimekuwa nikiota ndoto fulani ambayo imekuwa ikijirudia rudia hadi leo hii. Maisha yangu yameharibika kabisa hadi leo mafikiri ni kwa sababu ya hizi ndoto. Nomekuwa nikiota nipo Kati Kati ya kinyesi cha binadamu, ni uchafu usiyomithilika. Kila nikiota ndoto hii haichukui Zaidi ya siku 3 napatwa na balaa kubwa sana. Nakuwa sijui Ni balaa aina ipi inakuja ili nichukue tahadhari. Lkn najua ni balaa na inatokea. Mambo yangu mengi yamevurugika sana. Kila nikiota hii ndoto napatwa na majonzi huku nikisikilizia balaa gani linakuja. Na kweli, kabla ya siku 3 linanikumba balaa kubwa.
Naomba maelezo ya mtu yeyote mwenye ufahamu wa hili, ili anisaidie. Namna ya kuepuka hizi ndoto labda balaa nazo zitaisha.
NDOTO SIYO USELESS kwa wengine km mm ambao tunaface reality ya hizo ndoto. Natamani haya yanayonitokea nimhamishie mleta Mada ili afikiri mara 2. Naombeni msaada ndugu zangu.
 
Nasubiri kwa hamu maelezo na ufumbuzi Wa jinamizi hili maishani mwangu.
 
Ndoto ni ukuda na upuuzi tu, imagine jana nilikuwa na stress zangu, nikachelewa kupata usingizi, maana nililala sa kumi na moja. Mara naota napigana,mara naota nasex, mara naota napga stories, nikigeuka ndoto inabadilika, mara naota nappa mara mang'amung'amu, yawning ni ujinga tu ila nikajiuliza mbona nikilalaga mapema huwa siotioti ovyo?
 
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
Wengine tukiota jambo linatokea kama lilivyo...hata kama nilisahau ndoto...jambo likikaribia kutokea fasta naikumbuka ile ndoto...
 
Ndoto ni ukuda na upuuzi tu, imagine jana nilikuwa na stress zangu, nikachelewa kupata usingizi, maana nililala sa kumi na moja. Mara naota napigana,mara naota nasex, mara naota napga stories, nikigeuka ndoto inabadilika, mara naota nappa mara mang'amung'amu, yawning ni ujinga tu ila nikajiuliza mbona nikilalaga mapema huwa siotioti ovyo?
Sasa hapo huoni mkuda na mpuuzi ni wewe mwenyewe.

Unajichoresha.
 
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
Mwezi January 2024 niliota jirani yetu kijijini amefariki, kesho yake nikampigia mzee wangu kupiga naye story nione kama taarifa yoyote, nikaona kimya, nikajua itakuwa useless, baada ya siku nne taarifa ikaja yule jirani kweli kafa
ndoto yangu ilitangulia kama siku 5 hivi
halafu unasema ndoto ni useless
Labda
 
Ndoto ni ukuda na upuuzi tu, imagine jana nilikuwa na stress zangu, nikachelewa kupata usingizi, maana nililala sa kumi na moja. Mara naota napigana,mara naota nasex, mara naota napga stories, nikigeuka ndoto inabadilika, mara naota nappa mara mang'amung'amu, yawning ni ujinga tu ila nikajiuliza mbona nikilalaga mapema huwa siotioti ovyo?
Dah hili neno mkuda umenikumbusha mbali sana
 
Haoa mambo nilishayatolea ufafanuzi mwaka 2021 mtanichosha tu bure kuna uzi nmeelezea nukta kwa nukta.
 
Habari wakuu,

Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba kumi n.k
View attachment 1912293

Puuza hizo ni ndoto tu hazina maana yeyote, usihangaike kutafuta mtu akutafsirie atakujaza ujinga na imani mbovu mbovu,

Mtu anayeamini ktk ndoto hana utofauti na yule anayeamini kuwa dunia ni bapa, hana utofauti na mtu anayeamini kuwa ukiwa vitani ukitamka neno maji risasi zinazopigwa kuelekea kwako zitageuka kuwa maji.

Hii thread itaendeshwa kwa njia/mtindo wa maswali, maana nikisema nianze kueleza kila kitu ni ngumu sana kumaliza kueleza mambo yote maelezo ni mengi sana, ila maswali yataniguide na nitafafanunua kiundani zaidi (deep) kila mtu ataelewa vizuri kabisa.

Nakaribisha maswali.​
Ndoto ni Ulimwengu wa Kiroho, so kama haujui, maana yake haujaanza kuishi bado
 
Back
Top Bottom