Ndoto tunazoota na tafsiri zake

1. Kuna mtego umetegewa huenda ukanasa, jitahidi kuwa makini na marafiki na watu wanaokuzunguka.
Mi jana nimeota naolewa na michango ishatolewa lakin muoaji simuoni na simjui hata jina halaf watu wamejaaa wana shangweee,mi nikawa nashangaa mbona naolewa halaf mwanaune simjui wala simuoni mahala pa tukio,nikashtukaa .je maana yake nini
 
Kama ni ndoto itokayo kwa Mungu, inamaanisha Jambo hilo Mungu alitimiza kwa upesi na amelithibitisha.. La sivyo unakuta ni ndoto tu ambazo zinasababishwa na mawazo au shughuli zako za kila siku
 
mimi naotaga sana mambo ya shule ya msingi kabisa...
ila nafikiri ni mkusanyiko wa mawazo ya shule ya mchana kutwa
..
maana mm binafsi nmeshindwa kuendelea na shule kwahiyo nakua naumia ndo mana naota ota
Hiyo ni ndoto mbaya,,, unaoneshwa namba ambavyo maisha yako hayakui kimafanikio,, umebaki eneo moja kwa mida mrefu
 
Hata mimi ndoto ya shule inajirudia siku ya leo nitamuomba YEHOVA anivushe
 
Mizimu ya kwao inamsumbua,,, ukifanya mchezo hiyo ndoa itavunjika very soon
 
ukiota bdo uko shule ya msingi na sekondar unasoma na ili hali ulishapita ngaz hiyo ya elimu ulishamaliza hadi chuo...na kujirudia kila mara...

tafsir yke nn???
 
ukiota bdo uko shule ya msingi na sekondar unasoma na ili hali ulishapita ngaz hiyo ya elimu ulishamaliza hadi chuo...na kujirudia kila mara...

tafsir yke nn???
Umekwama kimaisha,,, haufikii malengo uliyoyakusudia,,,, kiingereza wanaita procrastination
 
mtu anaumwa na ukaota amefariki...tena anazikiwa maana yke nn???
 
ukiota bdo uko shule ya msingi na sekondar unasoma na ili hali ulishapita ngaz hiyo ya elimu ulishamaliza hadi chuo...na kujirudia kila mara...

tafsir yke nn???
SOMA COMMENTB YANGU HAPO JUU
 
Hata mimi ndoto ya shule inajirudia siku ya leo nitamuomba YEHOVA anivushe
NAOMBA ISIWE NI MAOMBI YA SIKU MOJA MAANA KWANGU ILICHUKUA MDA SANA MPAKA MUNGU ALIPONIDHIBITISHIA KABISA NIMEVUKA. MIMI HAIKUWA TUU KUWA MAZINGIRA YA SHULE NIMEMALIZA CHUO ILA NAJIONA NIKIFANYA MITIHANI NAFELI SANA JAPO NIMEMALIZA CHUO KWA HIYO KWA MIEZI ZAIDI YA MITANO NILIKUWA NAFANYA YA STAILI HIYO MPAKA NILIPOVUKA. UWAOMBE NA WENGINE WAKUBEBE KWENYE MAOMBI, KAMA HUTAJALI NI PM TUBEBEANE HUO MZIGO PAMOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…