Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mi jana nimeota naolewa na michango ishatolewa lakin muoaji simuoni na simjui hata jina halaf watu wamejaaa wana shangweee,mi nikawa nashangaa mbona naolewa halaf mwanaune simjui wala simuoni mahala pa tukio,nikashtukaa .je maana yake nini1. Kuna mtego umetegewa huenda ukanasa, jitahidi kuwa makini na marafiki na watu wanaokuzunguka.