Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 348
DuuhUmofia kwenu wakuu,
Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao.
Nimeona ni jambo jema kukusanya mada ambazo zimeshawahi kujadiliwa kwa kina humu JF kuhusiana na Ndoto na Tafsiri zake, ili kuweka urahisi kwa wale ambao wanataka kujua tafsiri ya ndoto zao walizoota, pasi na kuwa na haja ya kuanzisha uzi mpya kuulizia kitu cha aina moja kila uchwao..
Zifuatazo ni mada zenye maswali na majibu kuhusu ndoto mbalimbali ambazo zimeshawahi kujadiliwa humu JF;
Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako..
Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?
Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?
Msaada: Nimeota nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho
Ndoto za Mapenzi zinanitesa, nifanyeje?
Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?
Naomba tafsiri ya hii ndoto: Nimeota nimekufa na kuwekwa ndani ya jeneza
Naomba mnitafsirie hii ndoto
========
NB: Kama kuna uzi ambao ushawahi kujadiliwa kwa kina kuhusu ndoto na haupo kwenye hiyo orodha hapo juu, tafadhali tukumbushane ili niuongeze hapa.
Wasalaam..
Amani iwe juu yenu
leo nawapa tafsiri ya ndoto hii ya kupaa au kuruka na kwenda hewani
Ndoto hii huotwa sana na watu wenye ustaarabu au wapole na wenye dalili za mafanikio au wenye mipango mikubwa inayokwama
Kuota unapaa kama wewe ni mtegemeaji kazi za vibarua na kazi za kuitwa ukiiota mara moja ndoto hii utaitwa kazini au kibaruani
Kuota ndoto hii mara moja ni dalili ya kufanikiwa
Kuiota mara kwa mara ni dalili ya kusumbuliwa na jini subiani mbaya na huyu huwa katika kundi la jini mahabba na hapa ndo utaona mambo hayaendi yamekwama kila ufanyalo huishia kupata hasara
Ndoto hii pia huiota mtu mwenye kuumwa mara kwa mara na hasa wale wanaoumwa sana vichwa miguu na mikono
Ndoto hii unapoiota unakimbizwa kisha ukapaa ni dalili ya kumshinda mpinzani wako au adui yako
Kadhalika kuiota unakimbizwa na mbwa au simba ni dalili ya uadui lakini utaushinda uadui huu
Ndoto hii ni ndoto nzuri na mbaya
Nzuri ukiiota mara moja moja
Mbaya ukiiota mara kwa mara.
Zaidi ya mara moja mkuu muone dokta tafadhali akuepusheMimi nimeshaota napaa zaidi ya maramoja
Are you serious ndugu yangu ukiota unapaa ni mikosi
Yaani ulichoandika kama kinanilenga hasa suala la upole
naam, hivyo ndvyo mambo yalivyo mkuuMimi nimeshaota napaa zaidi ya maramoja
Are you serious ndugu yangu ukiota unapaa ni mikosi
Yaani ulichoandika kama kinanilenga hasa suala la upole
We madam hulali?Mimi kila siku naota nipo shule tena secondary tafsiri yake huwa ni nini
Nimeamka, najiandaa kuwahi kwa gwajima 😀We madam hulali?
Daah,andaa bas lesson plan ya jumatatuNimeamka, najiandaa kuwahi kwa gwajima 😀
Nshavurugwa mie muda na lesson plan sina, sijui hata ilipotelea wapiDaah,andaa bas lesson plan ya jumatatu
Hahaa,muhudumie shemala basi..maana mida mizur saana hiiNshavurugwa mie muda na lesson plan sina, sijui hata ilipotelea wapi
Half timeHahaa,muhudumie shemala basi..maana mida mizur saana hii
Dokta yupi maana mi nipo karibu na nkinga hospital nimuone nani paleZaidi ya mara moja mkuu muone dokta tafadhali akuepushe
Tafsiri yake ni kuwa uko shule na unapenda sana kula chipsi yai sasa acha kwa kuwa madhara ya chipsi ni mimbaaaaaaMimi kila siku naota nipo shule tena secondary tafsiri yake huwa ni nini