Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Nipe tafsiri yandoto hii. Naota nipo sokoni… kuna mtu anagawa pesa kwasiri polisi wasijue. Ilipofika zam yangu nikapokea pesa. Hapohapo polisi wakatokea wakaanza kunifukuzia. Ila chakushangaza nilikua nakimbia ila sitoki kwenye nipo. Najiraidi kukimbia ila sitoki chini. Nipe tafsiri ya iyo mkuu.
 
Kiukweli ndoto namba 3 kwangu imekuwa kiwazo katika maendeleo yangu,mimi mimemaliza degree yangu ila mara nyingi nikiota nafanya mtihani wa kidato cha nne na sijui lolote lile au kuna mtihani unakuja wasomo fulani alafu sijawahi kusoma hilo somo au kuingia katika kipindi cha hilo somo basi haitochukua miezi kadhaa nitafukuzwa kazi hii imetokea mara mbili, mara yakwanza niliota then baada ya miezi miwili nikafukuzwa kazi kwakosa ambalo silo langu kabisa ila sikuelewa au kuunganisha ndoto na matokeo ya kufukuzwa kazi, mara yapili niliota na nikafukuzwa kazi ndipo hapo nilipoelewa ile maana ya ndoto ila kwamara ya pili nilianza kujiandaa mapema kwani nilianza kuhisi uhusiano wandoto na maisha yangu ya kazi, hivyo naomba mtu ambaye anaweza kujua njia ya kuicontrol ndoto ili iweze kuibadilisha kwenda kwenye matakwa yangu
 
Mimi kuna siku niliota nipo katika shamba kubwa lililozingirwa na sengenge(uzio wa waya) likiwa na walinzi wenye silaha,upande wa pili kulikua na soko watu walikua wakiuza na kununua ghafla ilitokea kitu kama kunyakuliwa watu kutoweka ghafla na kuacha mavazi yao. badhi ya watu walipotea na wengine wakabakia.
kisha ndege za kivita zikapita zikilipua watu walihangaika kujitetea na kuokoa maisha yao.wengi waliuwawa mimi nililala chini na kutembea na tumbo na kupita katika uzio kuelekea walipokua wale walinzi waliokua wakishambulia kwa silaha watu nilipotoka nilikimbilia nami ghafla nikapotea nakujikuta sehemu yenye amani,watu wakiwa na furaha sana.

ndoto ya pili.
Niliota nipo na mwanamke mjamzito nampeleka Hospital tukiwa tunatembea niligeuka nyuma na kuona jitu linalotisha likitufata nililishinda jitu ilo kwa sala niliponyoosha mkono likaungua na moto,kisha ikanyanyuka ngome ya ajabu kubwa pembeni ya njia tuliyokua tunapita yakawa yapo mengine nilinyoosha mkono zikashuka radi kubwa yenye miali ya moto mbele ikiwa kama jiwe kubwa liwakalo moto na miale ya Shoti ya umeme,yakashuka na kupiga ile ngome na kuivunja vunja yote hadi ikawa mavumbi wala hapakua na jiwe lililobaki. nikashtuka katika ndoto nilihisi kama mtu anaongea nami akatasema utavunja ngome zote. kisha pakawa kimya.
 
HABARI, NIMEOTA NINA URAFIKI NA JAJI NINI TAFSIRI YAKE
 
Umofia kwenu wakuu,

Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao.

Nimeona ni jambo jema kukusanya mada ambazo zimeshawahi kujadiliwa kwa kina humu JF kuhusiana na Ndoto na Tafsiri zake, ili kuweka urahisi kwa wale ambao wanataka kujua tafsiri ya ndoto zao walizoota, pasi na kuwa na haja ya kuanzisha uzi mpya kuulizia kitu cha aina moja kila uchwao..

Zifuatazo ni mada zenye maswali na majibu kuhusu ndoto mbalimbali ambazo zimeshawahi kujadiliwa humu JF;

Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako..

Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

Msaada: Nimeota nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho

Ndoto za Mapenzi zinanitesa, nifanyeje?

Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?

Naomba tafsiri ya hii ndoto: Nimeota nimekufa na kuwekwa ndani ya jeneza

Naomba mnitafsirie hii ndoto
========

NB
: Kama kuna uzi ambao ushawahi kujadiliwa kwa kina kuhusu ndoto na haupo kwenye hiyo orodha hapo juu, tafadhali tukumbushane ili niuongeze hapa.

Wasalaam..
Duuh
 
Amani iwe juu yenu

leo nawapa tafsiri ya ndoto hii ya kupaa au kuruka na kwenda hewani

Ndoto hii huotwa sana na watu wenye ustaarabu au wapole na wenye dalili za mafanikio au wenye mipango mikubwa inayokwama

Kuota unapaa kama wewe ni mtegemeaji kazi za vibarua na kazi za kuitwa ukiiota mara moja ndoto hii utaitwa kazini au kibaruani

Kuota ndoto hii mara moja ni dalili ya kufanikiwa

Kuiota mara kwa mara ni dalili ya kusumbuliwa na jini subiani mbaya na huyu huwa katika kundi la jini mahabba na hapa ndo utaona mambo hayaendi yamekwama kila ufanyalo huishia kupata hasara

Ndoto hii pia huiota mtu mwenye kuumwa mara kwa mara na hasa wale wanaoumwa sana vichwa miguu na mikono

Ndoto hii unapoiota unakimbizwa kisha ukapaa ni dalili ya kumshinda mpinzani wako au adui yako

Kadhalika kuiota unakimbizwa na mbwa au simba ni dalili ya uadui lakini utaushinda uadui huu

Ndoto hii ni ndoto nzuri na mbaya

Nzuri ukiiota mara moja moja

Mbaya ukiiota mara kwa mara.
 
Mimi nimeshaota napaa zaidi ya maramoja
Are you serious ndugu yangu ukiota unapaa ni mikosi
Yaani ulichoandika kama kinanilenga hasa suala la upole
 
Mimi nimeshaota napaa zaidi ya maramoja
Are you serious ndugu yangu ukiota unapaa ni mikosi
Yaani ulichoandika kama kinanilenga hasa suala la upole
Zaidi ya mara moja mkuu muone dokta tafadhali akuepushe
 
Msiopata usingizi saa hizi mwambie mwenzi wako akupe "Valium au piriton" aka mashindo mmoja mkimaliza tu kila mmoja chali mtaanza kukoroma
 
Wewe umesha pewa valium? mbona ujakoroma
 
Mimi kila siku naota nipo shule tena secondary tafsiri yake huwa ni nini
Tafsiri yake ni kuwa uko shule na unapenda sana kula chipsi yai sasa acha kwa kuwa madhara ya chipsi ni mimbaaaaaa

Back
Top Bottom