storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Kama unaweza naomba unieleweshe hapa...... jini mahaba ndo linaharibu mambo yangu?Ndoto yako inaonyeshawewe una Shetani mahaba aka Jini mahaba ndilo linalo kusumbuwa na kukuharibia mambo yako ni ndoto ya Ki Shetani hiyo.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Chakula kinachangia mtu kuota ndoto za namna hiyo??Ulikula nini? kwa kiasi gani
Ndio hasa km umelala ukiwa umeshiba sana tena magimbiChakula kinachangia mtu kuota ndoto za namna hiyo??
Hii ni kitu gan mkuuDéjà vu
Asante sana mkuu.... nalifanyia kaziKm unaamini katika Mungu na Yesu Kristo jitahidi upate tafsiri halisi ya hiyo ndoto. Kwenye kitabu cha Mwanzo nimesahau ni sura ipi ila wakati Yusuf yupo gerezani kuna watu wawili waliota ndoto kila mmoja ya kwake ndipo walipotafuta tafsiri yake wakifikiri binadamu anaweza kutoa tasfiri, lkn Yusuf aliwaambia kuwa kutasfiri ndoto ni kazi ya Mungu mwenye. Kwaiyo kama unataka kujua maana yake ni vizur umtafute mtumishi wa Mungu unayemwamini akusaidie kuomba kwa Mungu ili upate tafsiri yake.
Jambo la msingi usidharau hiyo ndoto maana hayo uliyoyaeleza (inaonesha tu kuna mambo ambayo sio mazuri yanaweza kuja kukusonga mbeleni) kwaiyo ni vizuri kuyajua na kujua namna ya kutoka.
Nimekuambia ivo kwa sababu nakumbuka nliwahi kuota ndoto kuwa nitapata shida kupata malazi pindi ntakapoenda chuoni (wakati huo nlikuwa nasubiri kwenda chuo miezi michache ijayo) nliipuuzia ile ndoto cha ajabu nlipofika tu chuoni na nlikuwa nimeshasahau hilo nlijikuta nahangaika km ilivyokuwa kwenye ndoto baadae nlipoikumbuka ile ndoto nlishangaa sana, so unapooneshwa jambo ni vema kulifuatilia kabla ya madhara hayajakupata. Na ukitaka kujua zaidi kuhusu ndoto tafuta mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege kuhusu ndoto alifundisha dodoma unaweza kuyapata ustream kwa kuandika Christophermwakasege(manaministry) au visit Facebook kwenye page yake Christopher and Diana Mwakasege (Mana Ministry) tafuta masomo yanayohusu ndoto
Hii imenipa mwangaza, maana kuna vitu umegusia ni kweli kabisa....1• Unamwona msichana mzungu mpweke
Maana yake ni kwamba kuna jambo linakuzuia kufanya maamuzi au uchaguzi na huyo msichana ni sehemu ya personality yako ikimaanisha mambo hayo yanayokuzuia yanakufanya uwe mpweke.
2 • Jamaa unayemuona anacheza muziki
Hapo pia inamaanisha sehemu ya personality yako kwamba kuna jambo jipya unatamani kulifanya na unalifurahia jambo hilo.
3• Unawaona watu katika nyumba yenye partition
Hapo maana yake ni kwamba vyumba tofauti inamaanisha different aspects of your personality. Chooni inaashiria mambo yako ya ndani unayoyafanya kwa siri. Kuna mambo unafanya kwa siri unafurahia lakini hupendi watu wafahamu
4• Unapita unaona watu wanafanyiana ubabe
Hii maana yake unajaribu kufanya/kutimiza jambo fulani lakini hilo jambo linakuumiza na usingependa uendelee nalo
5• Kilima kirefu unashindwa kupanda
Maana yake unajaribu kufikia lengo fulani lakini kuna ugumu sana. Unaogopa na hauna uhakika kufanikisha jambo hilo
6• Anatokea mtoto
Maana yake mabadiliko ya kutumainia yanatokea kwenye maisha yako. Lakini hujafahamu sana namana hili jambo linavyoteka. Japo unaamini lakini wasiwasi wa kuendelea nalo umekushika
7• Unamwona Magufuli
Hapa inaashiria wewe kuweza kuongoza maisha yako mwenyewe.
8• Unamwona binti akiagana na mtoto na huyo mtoto anakukabidhi kitambaa
Maana yake unaouwezo wa kuongoza maisha yako na unaaminiwa pia kuongoza mambo ya kawaida ya jamii. Unahitaji kutiwa moyo au kuwa self motivated ili uwe bora katika majukumu mapya
Hope this help.
Acha kabisa mm hua ikinitokea automatically naanza kupiga baba yetu haraka haraka linanitesa sana hilo tatizo..Namba 4 ilinisumbua sana ila maombi ndio yalinitoa sikia kwa mwenzako..weka mbali ns watoto
Hivyo vya Sijui astra nini mm sivielewi.Zimekuanza lini? Au ni baada ya kusoma nyuzi za humu ndani kuhusu Meditation na Astral projection?
Na hilo la kuota anapaa mkuu kwani hata mimi kila mara huwa naota napaa.1• Unamwona msichana mzungu mpweke