Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto yako inaonyeshawewe una Shetani mahaba aka Jini mahaba ndilo linalo kusumbuwa na kukuharibia mambo yako ni ndoto ya Ki Shetani hiyo.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Kama unaweza naomba unieleweshe hapa...... jini mahaba ndo linaharibu mambo yangu?
 
Km unaamini katika Mungu na Yesu Kristo jitahidi upate tafsiri halisi ya hiyo ndoto. Kwenye kitabu cha Mwanzo nimesahau ni sura ipi ila wakati Yusuf yupo gerezani kuna watu wawili waliota ndoto kila mmoja ya kwake ndipo walipotafuta tafsiri yake wakifikiri binadamu anaweza kutoa tasfiri, lkn Yusuf aliwaambia kuwa kutasfiri ndoto ni kazi ya Mungu mwenye. Kwaiyo kama unataka kujua maana yake ni vizur umtafute mtumishi wa Mungu unayemwamini akusaidie kuomba kwa Mungu ili upate tafsiri yake.
Jambo la msingi usidharau hiyo ndoto maana hayo uliyoyaeleza (inaonesha tu kuna mambo ambayo sio mazuri yanaweza kuja kukusonga mbeleni) kwaiyo ni vizuri kuyajua na kujua namna ya kutoka.
Nimekuambia ivo kwa sababu nakumbuka nliwahi kuota ndoto kuwa nitapata shida kupata malazi pindi ntakapoenda chuoni (wakati huo nlikuwa nasubiri kwenda chuo miezi michache ijayo) nliipuuzia ile ndoto cha ajabu nlipofika tu chuoni na nlikuwa nimeshasahau hilo nlijikuta nahangaika km ilivyokuwa kwenye ndoto baadae nlipoikumbuka ile ndoto nlishangaa sana, so unapooneshwa jambo ni vema kulifuatilia kabla ya madhara hayajakupata. Na ukitaka kujua zaidi kuhusu ndoto tafuta mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege kuhusu ndoto alifundisha dodoma unaweza kuyapata ustream kwa kuandika Christophermwakasege(manaministry) au visit Facebook kwenye page yake Christopher and Diana Mwakasege (Mana Ministry) tafuta masomo yanayohusu ndoto
 
Asante sana mkuu.... nalifanyia kazi
 
  • Thanks
Reactions: cdc
1• Unamwona msichana mzungu mpweke

Maana yake ni kwamba kuna jambo linakuzuia kufanya maamuzi au uchaguzi na huyo msichana ni sehemu ya personality yako ikimaanisha mambo hayo yanayokuzuia yanakufanya uwe mpweke.

2 • Jamaa unayemuona anacheza muziki

Hapo pia inamaanisha sehemu ya personality yako kwamba kuna jambo jipya unatamani kulifanya na unalifurahia jambo hilo.

3• Unawaona watu katika nyumba yenye partition

Hapo maana yake ni kwamba vyumba tofauti inamaanisha different aspects of your personality. Chooni inaashiria mambo yako ya ndani unayoyafanya kwa siri. Kuna mambo unafanya kwa siri unafurahia lakini hupendi watu wafahamu

4• Unapita unaona watu wanafanyiana ubabe

Hii maana yake unajaribu kufanya/kutimiza jambo fulani lakini hilo jambo linakuumiza na usingependa uendelee nalo

5• Kilima kirefu unashindwa kupanda

Maana yake unajaribu kufikia lengo fulani lakini kuna ugumu sana. Unaogopa na hauna uhakika kufanikisha jambo hilo

6• Anatokea mtoto

Maana yake mabadiliko ya kutumainia yanatokea kwenye maisha yako. Lakini hujafahamu sana namana hili jambo linavyoteka. Japo unaamini lakini wasiwasi wa kuendelea nalo umekushika

7• Unamwona Magufuli

Hapa inaashiria wewe kuweza kuongoza maisha yako mwenyewe.

8• Unamwona binti akiagana na mtoto na huyo mtoto anakukabidhi kitambaa

Maana yake unaouwezo wa kuongoza maisha yako na unaaminiwa pia kuongoza mambo ya kawaida ya jamii. Unahitaji kutiwa moyo au kuwa self motivated ili uwe bora katika majukumu mapya

Hope this help.
 
Hii imenipa mwangaza, maana kuna vitu umegusia ni kweli kabisa....

Asante sana.
 
Habari GT wa JF,

Naombeni mnifafanulie juu ya mambo haya ambayo yamekua yakinisumbua kwa muda mrefu..

1. Nikilala yaani ile naanza kufumba macho naona niko nadumbukia kwenye shimo refu lenye giza kubwa mpaka inabidi nashituka kwanza.

2. Nikisinzia au kuanza kusinzia na sikia kama mtu kanitega mguu au kanipiga mtama nakua nasikia kama vile naanguka chini.

3. Ndoto za kupaa.
Hii sasa imenisumbua toka muda mrefu, nakumbuka imenianza bado sijaanza darasa la kwanza mpaka leo bado naziota mara ya mwisho ilikua jana.

4. Nikilala mwili wote unakufa ganzi nashindwa hata kutikisa kidole na hata kama nimesinzia usingizi upi lazima niwe macho lakini siwez kuongea wala kutikisika halafu hua nasikia kama kuna watu nyuma yangu na nyeele zinasisimka.

5. Huwa nasikia kuanzia kwenye mabega hadi kichogoni kichwa kizito kama nimebeba mizigo.
Ni hayo tu naombeni wajuvi mnifahamishe.

Wakuu Mzizi mkavu mshana jr @Pasco NDUKI..

Mwaweza nisaidia.
 
Zimekuanza lini? Au ni baada ya kusoma nyuzi za humu ndani kuhusu Meditation na Astral projection?
 
1• Unamwona msichana mzungu mpweke

Maana yake ni kwamba kuna jambo linakuzuia kufanya maamuzi au uchaguzi na huyo msichana ni sehemu ya personality yako ikimaanisha mambo hayo yanayokuzuia yanakufanya uwe mpweke.

2 • Jamaa unayemuona anacheza muziki

Hapo pia inamaanisha sehemu ya personality yako kwamba kuna jambo jipya unatamani kulifanya na unalifurahia jambo hilo.

3• Unawaona watu katika nyumba yenye partition

Hapo maana yake ni kwamba vyumba tofauti inamaanisha different aspects of your personality. Chooni inaashiria mambo yako ya ndani unayoyafanya kwa siri. Kuna mambo unafanya kwa siri unafurahia lakini hupendi watu wafahamu

4• Unapita unaona watu wanafanyiana ubabe

Hii maana yake unajaribu kufanya/kutimiza jambo fulani lakini hilo jambo linakuumiza na usingependa uendelee nalo

5• Kilima kirefu unashindwa kupanda

Maana yake unajaribu kufikia lengo fulani lakini kuna ugumu sana. Unaogopa na hauna uhakika kufanikisha jambo hilo

6• Anatokea mtoto

Maana yake mabadiliko ya kutumainia yanatokea kwenye maisha yako. Lakini hujafahamu sana namana hili jambo linavyoteka. Japo unaamini lakini wasiwasi wa kuendelea nalo umekushika

7• Unamwona Magufuli

Hapa inaashiria wewe kuweza kuongoza maisha yako mwenyewe.

8• Unamwona binti akiagana na mtoto na huyo mtoto anakukabidhi kitambaa

Maana yake unaouwezo wa kuongoza maisha yako na unaaminiwa pia kuongoza mambo ya kawaida ya jamii. Unahitaji kutiwa moyo au kuwa self motivated ili uwe bora katika majukumu mapya

Hope this help.
Na hilo la kuota anapaa mkuu kwani hata mimi kila mara huwa naota napaa.
 
Back
Top Bottom