Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

MKUU WEWE NI MTAALAMU WA KUFASIRI NDOTO AU NI CHANGAMSHA GENGE TU??
 
Namuona msichana(mzungu) mpweke akiwa amekaa sehem km jukwaa hivi(yale ya zege), hilo eneo ni kama shule/chuo, yenye majengo mbali mbali... pemben kwa mbali namuona jamaa(masili ya mzungu) akifanya mazoezi ya kucheza muziki, ananivutia kumuangalia, naamua kujaribisha na kucheza move kadhaa... napogeuka kumuangalia yule binti, namuona nae akiwa katikati ya watu(mchanganyiko) wametengeneza duara nae wakicheza muziki vzuri sana.......
Nikiwa kwa juu nawaona watu(wazungu) kadhaa(km 8 hv) wakiwa kwenye magar mawili tofauti, moja likiendeshwa na mwanamke, yanasimama mwanamke anashuka na kuja kupanda hii gari lingine lakn siti ya nyuma, anakaa karibu na jamaa kisha wanakisi... baada ya muda haonekani ktk siti yake..... bado nikiona kwa juu.... naona wale watu wakiwa ktk nyumba(ina partition za vyumba) wale wengine siwaoni tena, ila naona katika hiki chumba chenye choo ndani jamaa akiwa chooni na yule mwanamke akiwa amakaa kitandani, anamuita kimapenzi, nawaona wakiwa kitandani, wanakis, mwanamke anapotea.
Naona km nikipita ktk vyoo vya mabweni, watu(mablack) wakioga(wanaume) napita mahali watu wakifanyiana ubabe(maeneo hayo hayo ya "camp") naamua kuondoka.... napita kwa nyuma ya majengo kushoto kwangu kuna shamba, mbele yangu kuna kilima kirefu yan kiko steep/km kinataka kusimama, naanza kupandisha ila kwa mbaali mbele naona kunatisha, naamua kurudi, ila nilivogeuka kuna watu(wako km kivuli) wananicheka, naamua kujikaza na kuanza kupanda kilima kwa mbwembwe kwa kukimbia, paada ya kuchoka naanza kupandisha kwa kutambaa km komando huku nikipata support ya vimiti na majan makubwa makubwa.
Baada ya muda nikiendelea kujikongoja, nahisi hakuna pa kushika, ni majani madogo sana, kuna upepo mkubwa, naogopa kuangalia nyuma kwa kuwa ni mbali sana, kanatokea katoto(mara nyingine km katuni) inafikia wakati nashindwa kuendelea, naogopa kushika pengine kwasababu kuna upepo, nakuja kugundua niko kwenye kilele cha bati la jengo refu la kichina(km yale mamaster wanafanyiaga mazoezi ya kumfuu) yule mtoto ananipa moyo tunasimama juu ya lile bati, baadae nagundua kumbe ni kawaida, naona watu wengine wakielea na kupita mbele yetu....... namuona MAGUFULI akiwa amevalia shati la kitenge lenye mchanganyiko wa rangi ya njano naa nyekundu....
Yule katuni ananielekeza tuondoke kwa kuwa yeye ana program nyingine.... mm naogopa kushuka, ananionesha namna ya kushuka, ni kushika vidude flani ivi vya njano vyenye kamba nyekundu, kisha kuna namna ya kujipindua iv unajikuta uko chini.
Baada ya kufika ardhini, namuona binti(nae mfano wa katuni) akiwa na yule mtoto wakiagana, mtoto akiwa na tabasamu anaondoka, binti anafikiria kwa muda na kumfuata katoto...... mbeleni najiona mimi na katoto, kananikabidhi kitambaa chenye rangi flan iv km kijivu/nyeupe ilofifia, kuna maneno kakaniambia(nimeyasahu) ila ya kutia moyo.

Nilipoamka nikawaza sana kwakuwa mara nyingi huwa naota ndoto za kupaa angani kila baada ya miaka kadhaa.

Wakati niko juu ya lile bati watu.wakipita kuna maneno mbali mbali niliyasikia ila nakumbuka neno moja tu "mock" sina hakika kama niko sahihi kuliandika.

Bila shaka kuna watu wanaweza kutumia muda wao na ujuzi wao kutafsiri hili.

Asante.

Nawasilisha.
 
Ndoto yako inaonyeshawewe una Shetani mahaba aka Jini mahaba ndilo linalo kusumbuwa na kukuharibia mambo yako ni ndoto ya Ki Shetani hiyo.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
kuna roho za maangamiz zinakufatilia.na hasa kiuchumi.katuni ni jini kibwengo.na kuwa juu huku ukiona ya chini ,ni ishara ya msaada wa kiroho unaotokea pindi maroho yanapokushambulia.hicho kitambaa si kizuri.mbeleni kitakuletea maafa.omba,kemea,kataa,jitakase,jitabirie ushindi
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom