Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

Una jini mahaba njoo nikusomee Dua ya dafaa-llbalaa
 
U ongo mtup
 
huyo mpenzi bado mnawasiliana ?
No zaidi ya miaka 11 ,ilitokea mwezi uliopita tuligongana mahali na kila mmoja alikua na furaha na mwenzake tukaongea just kujuliana hali Kama dakika 5 hivi then tukaagana safi tu.
Hizo Ndoto za kujirudia ilikua ni kabla hatujaona mwez uliopita tarehe 7.
 
Ni nyege tu zinakua zimekuzid,kwamba hujafanya mapenz siku nyingi
 
Msisahau Kuna ndoto za alfajiri na ndoto za mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…