Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

Mungu ibariki sana Marekani iendelee kuwa taifa kubwa lenye nguvu duniani Ili Mungu aendelee kuitumia Marekani kutandika watesa wakristo na kuwanyima uhuru wa kuabudu popote duniani


Urusi ilitesa sana wakristo hata kuwa na Biblia ilikuwa kosa la kufungwa maisha

Marekani Mungu anaitumia kutandika waonea wakristo na wanyanyasaji wakristo kwenye nchi zao kuwanyima uhuru wa kuabudu

Marekani ana udhaifu kibao wa kiimani za Kidini lakini Mungu anaitumia kama Rungu lake la kutandika wanyanyasa wakristo


Russia anavuna akichopanda Wakiristi wengi sana wakikufa kwa mateso makubwa Russia

Ee Mungu endelea kuisaidia Marekan.
I
 
NATO na USA gani unayoizungumzia?? Bro. Naona moves za komando kipensi zimekuathiri sana
 
We kenge si ndiyo ulisema Putin akiiona 2023 ashukuru Mungu.
Unapiga story na dadako jikoni unakuja kutuandikia hapa
 
Ngoja sasa tuone kati ya Washington na Moscow wapi watu wanaishi kwa hofu sasa hivi
 
Unadhani Russia ni Zimbambwe?

Hahahahaaaaaaa unaota mchana kweupe
Mimi nafikiri wewe ndo unaota mkuu, maana hauna habari kama sasa hivi warusi na wao wanaanza kuishi chini ya mahandaki wakihofia dude linalotumwa na Marekani lisije kuwaangukia muda wowote.
 
Hivi zile s600 sijui s500 hazikuona au ilikuwaje?
Ikumbukwe Putin alikoswa koswa na drone miezi 2 iliyopita na hii ni mara ya pili πŸ˜πŸ‘‡
Huu wa kwako ni ushahidi mzuri sana. Mwenye macho haambiwi tazama maana wenyewe wanajionea.
 
uzi wako unatia hasira. lakini ndo ukweli wenyewe. hatuna jinsi warusi wenzang.
imbombo ngafu
Ni kweli haya yanayoendelea Russia yanatia hasira, lkn ndo hivyo inabidi warusi wa mwananyamala kwa manyanya mkubaliane na hali kwamba nyinyi mlimwaga mboga na Biden akamwaga ugali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa tunavyoongea sasa hivi ni mwendo wa makombora na vimuli muli huko Moscow. Kila mtu kajificha ndani kwake hahaha
 
Hapo sasa wamepiga nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hapo utasema kweli Urusi kashambuliwa
Kitendo cha Ukraine kufanikiwa kuingiza ndege zisizokuwa na rubani ndani ya ardhi ya nchi inayojiita yenye nguvu na teknolojia kubwa tena katika mji mkuu wao sio jambo dogo hilo yakhee.
 
Umenichekesha sana hapo kwa Putin kwenda kuomba hifazi China πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…