Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

Watu mnasahau kwamba Russia walishapigwa na hayo ma patriot zamani sana na huyo mmarekani.
Ndio uchumi wote ukadondoka pwaa.
Sasa leo Putin atavalishwa kibwebwe tu achezeshwe mdundiko.
Na hiyo vita haipo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha Mkuu Marekani siku zote anapotaka kufanikisha jambo lake, huwa hajali wala kuangalia hasara anayopata kwa muda fulani.

Ndio maana nikakwambia hata lile shambulizi la Sep 11 ni wao ndio waliolipanga.

Kweli walipata hasara kwa kupoteza mamia ya raia, mali na vitu mbali mbali. Lakini matokeo yake wamerudisha hasara na faida juu kwa kupitia njia ya uwani (vita vya Osama)

Sasa hii hasara unayoiona wewe leo usidhani kuwa bunge la Marekani, FBI, CIA, wasomi wao na serikali kwa ujumla hawaioni au hawakuijua kama itapatikana. Walijua sana kama hasara itapatikana aidha kwa mwaka au miaka, lkn wanajua mwisho wa siku watafanikiwa wanachokilenga kwa sababu vita hiyo haiwazuii kuendelea na shughuli zao za ndani hata kwa miaka 10 ijayo.

Swali je ikitokea sasa hiyo vita ikapiganwa hiyo miaka 10 ijayo, hali ya kijeshi, kiuchumi na kimaisha huko Urusi itakuaje?
 
Kuna thread inayohusiana na vita hii. Mkuu nakukaribisha kwenye thread hiyo ili uje upate uelewa zaidi wa vita hii. Achana na ushambenga huu!!
Kote huko nishapita na kusoma habari mbali mbali kuhusiana na vita hiyo, lakini wewe subiri kuna siku nitarudi huku kukuambua usome tena nilichoandika hapa.
 
Kote huko nishapita na kusoma habari mbali mbali kuhusiana na vita hiyo, lakini wewe subiri kuna siku nitarudi huku kukuambua usome tena nilichoandika hapa.
Hili shambulio liliathiri vipi urusi?hakuna athari yoyote na bado Ukraine wanaendelea kupigwa mpka makao makuu yao kwa hiyo acha mihemuko
 
Marekani hawakwenda Vietnam kuteka vijiji
 
Nilikuambia it is useless attack hukutaka kusikia usiwe na mihemko
 
Inategemea na aina ya masilahi. NATO na Marekani wanavamia kwa lengo la kujipatia tu rasilimali za nchi husika kama vile mafuta, madini nk.

Lakini Urusi inavamia kwa lengo la kuteka na kuchukua ardhi ya wengine.
Wapi Russia kwingine alikovamia na kuchukua maeneo? Hayo maeneo aliochukua hapo Ukraine, zipo asbabu za msingi sana
Utawala wa Zelensky ulikowa wa kikatili sana kwa watu wa maeneo hayo kwasababu tu wana asili ya urusi na ndio watu waliopinga sana maponduzi yaliyofanywa kwa, mwongozo wa marekani mwaka 2014 ya kumuondoa rais alali

Russia sio kama kayachukua hayo maeneo kwa nguvu. Watu wa maeneo hayo wameitakaa kuwa chini ya Zelensky na Ukraine na kutaka wao kwa hiari yao wenyewe kujiunga na Russia. Alichofanya putin ni kuwakubalia ombi lao

Marekani mwenuewe anachukua maeneo ya nchi nyingi tu kwa kisingizio cha kuweka military base. Na akisha weka mahali base yake, basi msahau kabisa hilo eneo.

Miaka ya tisini wajapani walitaka marekani aondoe base yake ktk nchi yao. Waliandamana sana na kufanya juhudi nyingi lakini marekani ameweka kigingi mpaka kesho
 
Hayo ni mawazo yake kilinngana na upeo wako. Kama ingekuwa hibuo unavyofikiri marekani as hasingekuwa anahaha hapo Ukraine
Hivi umesikia kuwa leo drone imemkosa kosa katika makazi yake madogo (ikulu ndogo) huko Moscow?

Wewe huwajui vizuri Marekani mkuu, nakushauri uendelee kufuatilia haya yanayoendelea huko vitani, mwisho wa siku utakuja kuona nani anaeomba poo kati ya Marekani na Urusi.
 
Ok nimekuelewa mkuu
 
Hili shambulio liliathiri vipi urusi?hakuna athari yoyote na bado Ukraine wanaendelea kupigwa mpka makao makuu yao kwa hiyo acha mihemuko
Kila kitu huanza hatua kwa hatua, mfano mtoto huzaliwa, hukaa, hutambaa, husimama na hatimae kutwmbea. Pia wanasemaga kuwa mbuyu ulianza kama mchicha.

So usiwe na pupa, kwa vile tayari Biden ashafanikiwa kuwaingizia kirusi ndan ya nchi yao, basi usubiri kuona yale yatakayokuwa yanafanyika kila siku, wiki au mwezi.

Hii ya jana ilikuwa ni ya kujaribu mitambo tu, ili kuona jamaa anaweza kurushiwa drone juu au vipi. So kwa vile drone imefanikiwa kurushwa na kushambulia sehemu, basi ngoja uone mchezo ambao hautaki hasira unavyochezwa.
 
Vita ina mwaka 1 na nusu. Yani kama mechi sasa ni kipindi cha pili na team kubwa ishaanza kushambuliwa katika uwanja wake.
Sasa mbona unaonekana kuhitimisha na kuanza kumtangaza mshindi kabla ya dakika 90.
 
Sasa mbona unaonekana kuhitimisha na kuanza kumtangaza mshindi kabla ya dakika 90.
Hapana sikuhitimisha mkuu, bali ni maono ya kile kinachokwenda kutokea siku za usoni huko Urusi.
 
Hapa umezungumza ujinga mwingi sana. Ukraine ilikuwa inapambana na kikundi cha waasi kilichokuwa kinaungwa mkono na Urusi ili kuiondoa Serikali halali madarakani. Hii hoja eti Urusi kaenda kusaidia raia walio na Urusi ni mfu kabisa, wale ni raia wa Ukraine.


Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bora ukae kimya tu maana huna unachokijua katika hii vita.
 
Ndyo ulipoiashiaa kufikiriaa ivi nyie mnaichkulia Russia kam taifaa LA kitoto tu endelea kufurahisha jukwaa
 
Yani lleo hii unaifananisha rusiaa na Iraq kwamba walinzi wakiongwaa milioni kumi au milioni 200 watamuuzaa raissi wao unaisi wao hawana intelegencia nzuri kama yaa wamarekani unaisi wao ni kama nchi za daraja lenu kweli vichaa ni wengi nchii hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…