We ni nani mpaka useme lazima ? Wenye nchi wakiamua itakuwa lakini usiseme lazima.Point kubwa na Geographical difficulties na sio umbali pekee..
Ingekuwa Ni umbali pekee,Wilaya ya Tunduru ingekuwa Mkoa.
Mwisho Morogoro lazima igawanywe na Mkoa wa Kilombero utakuwa sehemu ya Nyanda za Juu Kusini
Unataka kujua Njombe Ina Nini? Ina vifuatavyo.Siyo kweli Katavi kuna uchumi gani kuizidi Chato na maeneo yaliyopendekezwa ya Ngara, Kakonko, Biharamulo na Chato yenyewe ? Aidha, hiyo Njombe yenye watu wachache zaidi katika mikoa ya Tanzania bara ina nini cha ajabu zaidi ya miti ya mbao ? Uwe serious kidogo unapotoa hoja.
Morogoro imekidhi vigezo kitambo na Ni lazima itagawanywaWe ni nani mpaka useme lazima ? Wenye nchi wakiamua itakuwa lakini usiseme lazima.
Kwa hiyo Mpanda MC Ni sawa na hivyo Vijiji vyenu?Siyo kweli Katavi kuna uchumi gani kuizidi Chato na maeneo yaliyopendekezwa ya Ngara, Kakonko, Biharamulo na Chato yenyewe ? Aidha, hiyo Njombe yenye watu wachache zaidi katika mikoa ya Tanzania bara ina nini cha ajabu zaidi ya miti ya mbao ? Uwe serious kidogo unapotoa hoja.
Tatizo lako hujibu kwa hatua, kama ni umbali ndio kigezo, je, ni halali Simanjiro kuwa Manyara badala ya Arusha ?Ndio nakukatalia Sasa ,vigezo vya kuanzisha maeneo ni umbali/Ukubwa,nature of terrain,Idadi ya watu na Potential ya eneo kiuchumi/mapato.
Sasa Njombe ilikidhi vigezo vyote isipokuwa Cha Idadi ya watu lakini vingi ilikidhi..
Hivyo hivyo Katavi,Geita,Manyara nk.
Sasa Chato ya Nini hasa? Kwa vigezo gani? Chato Ni ya kulazimisha kwa sababu binafsi za Mwendazake.
Unaijua igunga vizuri!!?..ungesema nzegaBora masasi, Lushoto, kahama, Igunga, n k viwe mkoa ila sio Chato
Wewe ndo ujibu,Chato na Wilaya pendekezwa zimekidhi vigezo vipi? Ndio maana wenye Mikoa Yao wamekataa..Tatizo lako hujibu kwa hatua, kama ni umbali ndio kigezo, je, ni halali Simanjiro kuwa Manyara badala ya Arusha ?
Hiyo ni theory tu hakuna uhalisia. Kwanini Morogoro na Tabora hazikugawanywa wakati wanagawa Iringa ? Jibu ni rahisi tu hapakuwa na viongozi wakuu waliotokea mikoa hiyo wa kuitetea. Ndio maana bado iko hivyo hadi leo. Bora Mama Samia amekataa kugawagawa mikoa maana ni siasa tupu zinazotawala.Unataka kujua Njombe Ina Nini? Ina vifuatavyo.
Makaa ya mawe,
Madini ya chuma,
Mazao ya misitu,
Mazao ya biashara na kilimo.kama chai ,
Viwanda vya kuzidi tuu Kama vya maziwa,Mazao ya misitu,kuongeza thamani Mazao,
Makao Makuu ya Majimbo/Dayosisi ya dini mbalimba,
Taasisi za Elimu za Kitaifa Kama shule na vyuo,
Na Ina mapato mengi kuanzia ya Halmashauri Hadi Ya TRA,
Mji wa Njombe una hadhi ya Makao Makuu ya Mkoa kuanzia Huduma na Makazi..
Mkoa wenu pendekezwa si Ni Kijiji tuu hicho.
Hakuna wenye mikoa wa kukataa ni kwamba mamlaka iliyo kuu( Rais ) akiamua hakuna wa kukataa. Wewe endelea kufuga fisi huko Sumbawanga usilete ngojera uchwara eti wenye mikoa.Wewe ndo ujibu,Chato na Wilaya pendekezwa zimekidhi vigezo vipi? Ndio maana wenye Mikoa Yao wamekataa..
Kumbuka Mikoa mipya hasa ya Njombe na Katavi ,Songwe na Manyara iligawanywa ndani ya Mikoa husika bila kulazimisha kumega maeneo ya Mikoa mingine..
Chato hakuna vigezo ndio maana mnalazimisha kumega Mikoa mingine na wenye Mikoa Yao wamekataa Sasa.
Imekukata hiyo endelea kuuguliaHakuna wenye mikoa wa kukataa ni kwamba mamlaka iliyo kuu( Rais ) akiamua hakuna wa kukataa. Wewe endelea kufuga fisi huko Sumbawanga usilete ngojera uchwara eti wenye mikoa.
Theory z Chato ziko wapi? 🤪🤪Hiyo ni theory tu hakuna uhalisia. Kwanini Morogoro na Tabora hazikugawanywa wakati wanagawa Iringa ? Jibu ni rahisi tu hapakuwa na viongozi wakuu waliotokea mikoa hiyo wa kuitetea. Ndio maana bado iko hivyo hadi leo. Bora Mama Samia amekataa kugawagawa mikoa maana ni siasa tupu zinazotawala.
Mungu hakupenda hilo jambo lifanikiweMagufuli angeendelea kuishi chato ingekuwa makao makuu ya nchi by 2025!
Tunachofurahia sisi watanzania ni kuwa chato sasa hivi itabakia kuwa kijiji tuUnaijua igunga vizuri!!?..ungesema nzega
Hakuna kiongozi aliyewahi kuwaswaga wananchi waliomchagua kama mbuziyule jamaa angejenga hadi IKULU ya nchi kule, hakuwa na mshipa wa woga wala aibu.
Unaijua Njombe? Ujue Njombe ni ya pili kwa per capita baada ya Dar. Chato ni ya ngapi? Unafahamu umbali wa kutoka Iringa mpaka Njombe (230km), Mbeya mpaka Njombe (236km), Songea mpaka Njombe (228km), Morogoro mpaka Njombe (525km)? Haya niambie umbali wa kutoka Geita mpaka Chato, Bukoba mpaka Chato.Wakati mnaigawa Rukwa Magufuri alikuwa Rais ? Au wakati mnaifanya Njombe yenye watu laki nane kuwa mkoa ni Magifuri ndiye aliyeidhinisha ?
Wewe ndio unapayuka, Chato Haina vigezo vya kuwa mkoa hata kuwa wilaya peke yake yalikuwa ni makosa kutokana na uhuni wa Magufuli kupitia kwa shoga yake mkapa kama walivyouza nyumba za serikali! Uwili wa kishetani na kifisadi! Nyau we!fafanua acha kuropoka
Hivi mkoa wa Lindi ni mkubwa hadi kuhutaji kugawanywa?Morogoro,Lindi na Tabora hiyo ndiyo mikoa yenye uhitaji wa kugawanywa.........huko Chato ilikuwa usumbufu tu