Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Point kubwa na Geographical difficulties na sio umbali pekee..
Ingekuwa Ni umbali pekee,Wilaya ya Tunduru ingekuwa Mkoa.

Mwisho Morogoro lazima igawanywe na Mkoa wa Kilombero utakuwa sehemu ya Nyanda za Juu Kusini
We ni nani mpaka useme lazima ? Wenye nchi wakiamua itakuwa lakini usiseme lazima.
 
Siyo kweli Katavi kuna uchumi gani kuizidi Chato na maeneo yaliyopendekezwa ya Ngara, Kakonko, Biharamulo na Chato yenyewe ? Aidha, hiyo Njombe yenye watu wachache zaidi katika mikoa ya Tanzania bara ina nini cha ajabu zaidi ya miti ya mbao ? Uwe serious kidogo unapotoa hoja.
Unataka kujua Njombe Ina Nini? Ina vifuatavyo.
Makaa ya mawe,
Madini ya chuma,
Mazao ya misitu,
Mazao ya biashara na kilimo.kama chai ,
Viwanda vya kuzidi tuu Kama vya maziwa,Mazao ya misitu,kuongeza thamani Mazao,
Makao Makuu ya Majimbo/Dayosisi ya dini mbalimba,
Taasisi za Elimu za Kitaifa Kama shule na vyuo,
Na Ina mapato mengi kuanzia ya Halmashauri Hadi Ya TRA,
Mji wa Njombe una hadhi ya Makao Makuu ya Mkoa kuanzia Huduma na Makazi..

Mkoa wenu pendekezwa si Ni Kijiji tuu hicho.
 
Kwa hiyo Mpanda MC Ni sawa na hivyo Vijiji vyenu?
 
Ndio nakukatalia Sasa ,vigezo vya kuanzisha maeneo ni umbali/Ukubwa,nature of terrain,Idadi ya watu na Potential ya eneo kiuchumi/mapato.

Sasa Njombe ilikidhi vigezo vyote isipokuwa Cha Idadi ya watu lakini vingi ilikidhi..

Hivyo hivyo Katavi,Geita,Manyara nk.

Sasa Chato ya Nini hasa? Kwa vigezo gani? Chato Ni ya kulazimisha kwa sababu binafsi za Mwendazake.
Tatizo lako hujibu kwa hatua, kama ni umbali ndio kigezo, je, ni halali Simanjiro kuwa Manyara badala ya Arusha ?
 
Tatizo lako hujibu kwa hatua, kama ni umbali ndio kigezo, je, ni halali Simanjiro kuwa Manyara badala ya Arusha ?
Wewe ndo ujibu,Chato na Wilaya pendekezwa zimekidhi vigezo vipi? Ndio maana wenye Mikoa Yao wamekataa..

Kumbuka Mikoa mipya hasa ya Njombe na Katavi ,Songwe na Manyara iligawanywa ndani ya Mikoa husika bila kulazimisha kumega maeneo ya Mikoa mingine..

Chato hakuna vigezo ndio maana mnalazimisha kumega Mikoa mingine na wenye Mikoa Yao wamekataa Sasa.
 
Lile jitu lilikuwa libinafsi sana!
Ndio maana alitumia raslimali za Nchi hovyo bila kujali hazina umuhimu kwa wakati huo na ni hasara kwa Taifa
Uwanja wa ndege sasa hauna matumizi!
Mbuga ya wanyama (artificial) hovyo kabisa!
Mabenki yalijengwa na sasa yamekuwa nyumba za popo! nk
 
Unataka kujua Njombe Ina Nini? Ina vifuatavyo.
Makaa ya mawe,
Madini ya chuma,
Mazao ya misitu,
Mazao ya biashara na kilimo.kama chai ,
Viwanda vya kuzidi tuu Kama vya maziwa,Mazao ya misitu,kuongeza thamani Mazao,
Makao Makuu ya Majimbo/Dayosisi ya dini mbalimba,
Taasisi za Elimu za Kitaifa Kama shule na vyuo,
Na Ina mapato mengi kuanzia ya Halmashauri Hadi Ya TRA,
Mji wa Njombe una hadhi ya Makao Makuu ya Mkoa kuanzia Huduma na Makazi..

Mkoa wenu pendekezwa si Ni Kijiji tuu hicho.
Hiyo ni theory tu hakuna uhalisia. Kwanini Morogoro na Tabora hazikugawanywa wakati wanagawa Iringa ? Jibu ni rahisi tu hapakuwa na viongozi wakuu waliotokea mikoa hiyo wa kuitetea. Ndio maana bado iko hivyo hadi leo. Bora Mama Samia amekataa kugawagawa mikoa maana ni siasa tupu zinazotawala.
 
Wewe ndo ujibu,Chato na Wilaya pendekezwa zimekidhi vigezo vipi? Ndio maana wenye Mikoa Yao wamekataa..

Kumbuka Mikoa mipya hasa ya Njombe na Katavi ,Songwe na Manyara iligawanywa ndani ya Mikoa husika bila kulazimisha kumega maeneo ya Mikoa mingine..

Chato hakuna vigezo ndio maana mnalazimisha kumega Mikoa mingine na wenye Mikoa Yao wamekataa Sasa.
Hakuna wenye mikoa wa kukataa ni kwamba mamlaka iliyo kuu( Rais ) akiamua hakuna wa kukataa. Wewe endelea kufuga fisi huko Sumbawanga usilete ngojera uchwara eti wenye mikoa.
 
Hiyo ni theory tu hakuna uhalisia. Kwanini Morogoro na Tabora hazikugawanywa wakati wanagawa Iringa ? Jibu ni rahisi tu hapakuwa na viongozi wakuu waliotokea mikoa hiyo wa kuitetea. Ndio maana bado iko hivyo hadi leo. Bora Mama Samia amekataa kugawagawa mikoa maana ni siasa tupu zinazotawala.
Theory z Chato ziko wapi? 🤪🤪
 
Wakati mnaigawa Rukwa Magufuri alikuwa Rais ? Au wakati mnaifanya Njombe yenye watu laki nane kuwa mkoa ni Magifuri ndiye aliyeidhinisha ?
Unaijua Njombe? Ujue Njombe ni ya pili kwa per capita baada ya Dar. Chato ni ya ngapi? Unafahamu umbali wa kutoka Iringa mpaka Njombe (230km), Mbeya mpaka Njombe (236km), Songea mpaka Njombe (228km), Morogoro mpaka Njombe (525km)? Haya niambie umbali wa kutoka Geita mpaka Chato, Bukoba mpaka Chato.

Tusishabikie mambo ya kijinga. Fikra za Chato kuwa mkoa zilikuwa za kijinga kabisa. Hayo ni kati ya mambo ambayo yalisababishia kutilia mashaka juu ya utimamu wa afya ya akili ya marehemu.

Chato kama yalivyo maeneo mengine ya nchi, ina haki ya kuwa na huduma za kijamii, lakini huduma za kiutawala lazima zifuate vigezo vya kitaifa. In short, he was not a leader. Ameligharimu sana Taifa katika mambo mengi kuanzia uwekezaji, ajira, utawala wa kisheria, demokrasia, n.k. Tunashukuru utawala wake ulidumu kwa muda mfupi, japo hatufurahii kifo chake, kama ambavyo hatuwezi kufurahia kifo cha binadamu mwingine yeyote.
 
fafanua acha kuropoka
Wewe ndio unapayuka, Chato Haina vigezo vya kuwa mkoa hata kuwa wilaya peke yake yalikuwa ni makosa kutokana na uhuni wa Magufuli kupitia kwa shoga yake mkapa kama walivyouza nyumba za serikali! Uwili wa kishetani na kifisadi! Nyau we!
 
Back
Top Bottom