Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

Mi naota nimemuona nyoka mpaka nashtuka usingizini na usingizi unakata.
Na huwa ninakuwa na wasiwasi sana, sometime naweza nikawa na imagination ya kumuona nyoka reality of which si kweli. Sipendagi habari za nyoka.
Naweza nikaota kabisa hii leo kwa kusoma hii tu.
 
Kuota nyoka mara kwa mara ni dalili ya wewe una Jini mahaba ana kuandama mwilini mwako ukiwa ni Mwanamme utakuwa una jini Mwanamke anaye kuharibia nguvu zako za kiume na kukuharibia kazi na maisha yako yanakuwa ni magumu kila unacho kifanya hakiwi. Ukiwa ni Mwanamke unaota kila mara nyoka ni dalili ya wewe kuwa una jini Mwanamme Jini Mahaba anaye kutia mikosi na kukuharibia Wanaume na kizazi chako na maisha yako fanya umtoe haraka.
 
Mzizi mi juzijuzi nimeota kobra ananifata nikawa namrushia mchanga nilipiga kelele kumuita ndugu yangu aje anisaidie lakini hakuja . yule nyoka alinitishia mwisho akaondoka zake. Mi nilikuwa namrushia mchanga tu.
Kumuota Kobra anakufuata unandamwa na maaduwi zako kwa ubaya jihadhari sana.
 
Namtoaje sasa??
 
Namtoaje sasa??
Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Niliwah kuota napiga story na nyoka ety tunaongea kabisa yeye yuko juu ya tawi la mti mimi nimekaa chini ya mti af ni mtoto wa nyoka nyoka mkubwa katoka kaniacha na mtoto tunapiga story... N nini Maana yake?
 
Mi niliota nyoka mkubwa kaingia ndani nilipolalq na kuinua kichwa anataka kunigonga nikamuwahi nikamshika shingo yake nikashtuka
 
Zamani nilikuwa naota ndoto hizo sana. Nyoka wananikimbiza ila baadae nikaanza kuwa naota nawapiga vibaya kwa shoka nawakatakata vipande. Saa zingine naota nyoka anawakimbiza watu wengi ili awameze halafu Mimi naingilia kati namkimbiza joka huyo hadi mlimani namuua.
 
Mkuu MziziMkavu mimi kama mwezi mmoja uliopita niliota nyoka mkubwa anarangi ya kama majani Makavu ananikimbiza maeneo ya msasani(ndiko nilikokulia) Alinikimbiza mpaka tukafika barabara ya lami, Mimi nikadandia daladala ya Kariakoo na kumuacha yeye akihangaika kwenye lami pale na nikashtuka kutoka usingizini.

Jana, yaani usiku wa kuamkia Leo, nimeota nakimbizwa na Nyoka mweusi, mnene, mfupi, kadri nilivyokua nakimbia ndivyo alivyozidi kusogea, mwisho wa siku alipokaribia kabisa kugusa miguu yangu nikarukia juu kwenye kenchi lililokua mbele yangu, akapitiliza, hapo hapo nikashtuka kutoka usingizini, Ila sikujua Ni maeneo gani ingawa kulikua na milima milima kama kijiji flani hivi kilichochangamka.

Tafadhali nifumbulie fumbo hili Mkuu.
 
Ndoto Ni Km Unavyotasfiri Ww Mwenyewe Na Ku_control Unachokiota,,,mfano Mm Nikiota Nyoka Mweusi Anataka Kunigonga Inamana Kesho Yake Lazima Nitagombana Na Mtu,nikiota Nyoka Mweusi Amenigoga Mguu Inamana Kesho Yake Nikiamka Kunadalili Za Shari Ila Haitatokea,nikiua Nyoka Inamana Km Kuna Jambo Lipo Mbele Yangu Kibaya Basi Nitakuwanieupuka Au Kushnda,kwhyo Ndoto Niww Mwenyewe Kucontrol Nakuitasfiri
 
Kuna mdogo wangu aliota amemkatakata nyoka akamchemsha soup akamla nyoka wote sasa sijui maana ya hiyo ndoto
 
Daa yaani watanzania wanandoto nyingi kumbe ndio maana watu wanaongea vitu vipya vipya tu mpaka unawashangaa kumbe wanaota usiku mzima mnakimbizwa na majoka asee hebu mkatengeneze na koo zenu muache kutusumbuwa mjin
 
Mkuu MziziMkavu nimeota nyoka mwenye makadilio ya futi 4, mwenye rangi ya cream akitoka ndani halafu baada ya dakika kadhaa akarudi tena ndani na kwenda kuota moto. Inaashiria nini hii kitu?
 
Mkuu ukiota nyoka anakutazama alafu amezibwa na kitambaa inamaanisha nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…