Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

Mkuu MziziMkavu nimeota nyoka mwenye makadilio ya futi 4, mwenye rangi ya cream akitoka ndani halafu baada ya dakika kadhaa akarudi tena ndani na kwenda kuota moto. Inaashiria nini hii kitu?
Inaonyesha wewe una mizimu aka mashetani ya ukoo katika familia yenu yana kufuata fuata.
 
je ukiota watu wanabadilika chatu na wanaanza kukukimbiza na wanameza watu kila mtu unayekutana nae anakimbia...hiyo inamaanisha nni....
 
mkuu mimi huwa haipiti mwezi bila kuota nyoka wa kijani tena wadogo wadogo, siku nyingine huwa naota hao hao nyoka wakijani wadogo wadogo wananikimbiza, pia huwa naota nawapenda sana paka kwenye ndoto huwa namfanya kama rafiki

Naomba nijue mkuu hizi ndoto huwa zina maana gani..!!!
Una andamwa na uaduwi jihadhari sana.
 
MziziMkavu.....ukimuona nyoka na mkawa mnatazamana...hakuna anaemzuru mwenzie na sehemu yenyewe kuna mchanganyiko wa majani ya kijani na km yamekauka fulani hivi...baadae kila mmoja akachukua njia yake maaana yake nini.
Ni dalili kuna shetani aliye kupenda anataka kukuingia mwilini mwako.
 
MziziMkavu mimi nimeota kuna nyoka amefukuzwa na watu huko ila alipofika karibu yangu akajificha nyuma yangu na mimi nikamtetea wasimpige nikawaambia mbona hana tatizo na kweli wakamuacha...
hiyo ndoto inamaana gani..!!!!
 
MziziMkavu mimi nimeota kuna nyoka amefukuzwa na watu huko ila alipofika karibu yangu akajificha nyuma yangu na mimi nikamtetea wasimpige nikawaambia mbona hana tatizo na kweli wakamuacha...
hiyo ndoto inamaana gani..!!!!
Ni dalili ya shetani anataka kuwa rafiki yako au unaye mwilini mwako.
 
Mimi huwa haipiti mwezi lazima niote nipo msikitini naswali,, lakini nakuwa either naswali tofauti na wenzangu? Au miguu inashindwa kusimama kwenye swala,,,au naota nasoma QUR'AN,, na Mimi 70% ya ndoto zangu huwa ni kweli..je hizi ndoto zina maana gani? MZIZI MKAVU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeota ndoto za nyoka kama mara 5 ivi,1, nyoka wawili wanenizunguka mapajani kisha wananitazama, 2,nyoka anapita kifuwani, 3, nyoka anakatiza shingoni kwa speed sana ,4 nyoka anapita miguuni ,5, nimegongwa na nyoka ila nikaanza kumtafuta nyoka mwenyewe alikuwa ametanuka sana zaidi ya cobra nikataka kumuuwa akanikimbia , nikajikuta nimezungukwa na chatu nikiwa mimi na baba yangu yule chatu alishambuliwa na maji ya mto akakimbia sifahamu aliye mwagia kuwa na mm au mtu mwengine , izo ndoto zinamaana gani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom