Pierina Vicka
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 173
- 290
Naweza pata tiba yake?una shetani pepo mchafu anaye kufuata au kwenu kuana mizimu jaribu kufuatilia familia yako watakwambia ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza pata tiba yake?una shetani pepo mchafu anaye kufuata au kwenu kuana mizimu jaribu kufuatilia familia yako watakwambia ukweli.
...na ukifatilia sana huu uzi lazima uote nyoka.
Kwanini Mkuu?...na ukifatilia sana huu uzi lazima uote nyoka.
Ni Dalili ya kuonyesha umeweza kumshinda aduwi yako kuna mtu anakufuata kwamambo ya uchawi umemshinda.Mi nimeota nyoka black alikuwa katika mti pembeni ya nyumba kisha akaingia ndani nikaanza kumfukuza. Akachomoka mbio akaingia nyumba ya jirani nako akafukuzwa akaingia shimoni.
Niliporudi nikakuta katika mti ule ule jirani na ninapoishi kuna nyoka wa kijani nikaanza kumfurusha tena akaanza kupiga kelele vibaya mno. Alipodondoka chini ya mti tu nikastuka. MziziMkavu naomba tafsiri mkuu
Ni Dalili una shetani anaye kufuata ukiwani Mwanamme basi una shetani wakike anaye kufuata . Na ukiwani mwanamke una shetani wa kiume anaye kufuata kila unapo kwendami kila nnapotembea huwa nahisi nyoka yupo pembeni yangu........itakua ni nn hiyo?
Una shetani mzuri mwilini mwako au una mambo ya kwenu mambo ya mzimu inayokufuata wewe .Nenda kamuulize Babu aliye mzaa mama au babu aliye mzaa baba atakwambia ukweli wa mambo.mkuu mimi huwa haipiti mwezi bila kuota nyoka wa kijani tena wadogo wadogo, siku nyingine huwa naota hao hao nyoka wakijani wadogo wadogo wananikimbiza, pia huwa naota nawapenda sana paka kwenye ndoto huwa namfanya kama rafiki
Naomba nijue mkuu hizi ndoto huwa zina maana gani..!!!
Dalili inaonyesha kuna uadui unakufuata na umeushinda kuna mtu anakuandama na mambo ya kiuchawi swali sana na muombe Mungu akulinde na hao maaduwi zako ikiwezekana si,ku ya alkhamisi weka pesa kwenye mto wakulala ikifika ijumaa asubuhi nenda kawape pesa hio masikini kw ania ya mungu akuepushe na maaduwi zako pesa usiweke kwenye mto pesa ya noti weka pesa ya chuma.Mzizi mi juzijuzi nimeota kobra ananifata nikawa namrushia mchanga nilipiga kelele kumuita ndugu yangu aje anisaidie lakini hakuja . yule nyoka alinitishia mwisho akaondoka zake. Mi nilikuwa namrushia mchanga tu.
Ulikuwa una uaduwi unakuandama lakini yule mtu aliyeko mbele yako amekuokoa na huo uaduwi ulikuwaMiaka ya nyuma nilikuwa naota nyoka sana wakinikimbiza.
Kuna siku niliota nakimbizwa na nyoka wengi, kila wakitaka kunigonga nawakwepa. Katika kukimbia huko, mbele yangu namkuta Mtu ninayemjua, ananitazama, yule mtu hakunisemesha. Ndoto ikaishia hapo. Miaka kama 7 iliyopita
unaweza kujitengenezea ndoto moja kadiri unavyosoma comments, ukachanganya ukajiotea nyoka wako moja matata sana.Kwanini Mkuu?
Acha uoga Mkuu basi leo hii usiku uote unazungumza na Beyonce au Rihana unaonaje mkuu?unaweza kujitengenezea ndoto moja kadiri unavyosoma comments, ukachanganya ukajiotea nyoka wako moja matata sana.
hapo safi mkuu, ila ningeota J-Lo enzi zake ingependeza.Acha uoga Mkuu basi leo hii usiku uote unazungumza na Beyonce au Riyana unaonaje mkuu?
Mkuu MI Mara nyingi Sana huwa naota wanyama tofauti Kwanzaa simba Mara nyingine mamba Mara nyingine nyoka Mara ya mwisho kuota ni nyoka ananikimbiza na nyoka ni Mara nyingi zaidiAcha uoga Mkuu basi leo hii usiku uote unazungumza na Beyonce au Rihana unaonaje mkuu?
Ni Dalili una shetani anaye kufuata ukiwani Mwanamme basi una shetani wakike anaye kufuata . Na ukiwani mwanamke una shetani wa kiume anaye kufuata kila unapo kwenda
Anakufuata amekupenda na anaweza pia kukuharibia maisha yako. ukawa mtu mwenye mikosi ya kufukuzwa kazi au kugombana na watu pasipo na sababu kutokuwa na pesa kukutia umasikini inategemea amekusudia kitu gani kwako huyo pepo.Kunifata kwake ni kwa malengo gani....ni vitu gani vinapelekea yeye kunifata mim......anataka nin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeota nimepiga nyoka wawili vichwani na wamekufa kwa kutunia jiwe hii ina maana gani mmoja alikuwa wakijani anatoka kama pangoni mwingine mweupe alikuwa akitaka kuingia ila anasita kwa kuwa anamuona wa kijani anatoka pangoni ila hawakupigana wao kwa waoKuota Unakimbizwa na nyoka wengi maana yake ulikuwa unakimbizwa wachawi maaduwi zako sasa yule mtu aliye mbele yako ndio aliye kuku okowa na hao wanao kukimbiza kwa nia mbaya ya kutaka kukudhuru wewe.
kuna dili la pesa nyingi au mafanikio yanakuja kupitia nyota ya mwanamke uliye nae usimdharauMi nimeota nyoka black alikuwa katika mti pembeni ya nyumba kisha akaingia ndani nikaanza kumfukuza. Akachomoka mbio akaingia nyumba ya jirani nako akafukuzwa akaingia shimoni.
Niliporudi nikakuta katika mti ule ule jirani na ninapoishi kuna nyoka wa kijani nikaanza kumfurusha tena akaanza kupiga kelele vibaya mno. Alipodondoka chini ya mti tu nikastuka. MziziMkavu naomba tafsiri mkuu
unawindwa na jiniMkuu MI Mara nyingi Sana huwa naota wanyama tofauti Kwanzaa simba Mara nyingine mamba Mara nyingine nyoka Mara ya mwisho kuota ni nyoka ananikimbiza na nyoka ni Mara nyingi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app