Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #41
Inaonyesha wewe una mizimu aka mashetani ya ukoo katika familia yenu yana kufuata fuata.Mkuu MziziMkavu nimeota nyoka mwenye makadilio ya futi 4, mwenye rangi ya cream akitoka ndani halafu baada ya dakika kadhaa akarudi tena ndani na kwenda kuota moto. Inaashiria nini hii kitu?
hahahahahahahahahaha......kwa maana hiyo anajiandaa kuwa mgangaInaonyesha wewe una mizimu aka mashetani ya ukoo katika familia yenu yana kufuata fuata.
Una shetani aka jini mahaba anaye kufuata kwa nyuma yako.mi kila nnapotembea huwa nahisi nyoka yupo pembeni yangu........itakua ni nn hiyo?
Unaandamwa na maaduwi zako kwa ubaya wa uchawi jihadhari sana.je ukiota watu wanabadilika chatu na wanaanza kukukimbiza na wanameza watu kila mtu unayekutana nae anakimbia...hiyo inamaanisha nni....
Una andamwa na uaduwi jihadhari sana.mkuu mimi huwa haipiti mwezi bila kuota nyoka wa kijani tena wadogo wadogo, siku nyingine huwa naota hao hao nyoka wakijani wadogo wadogo wananikimbiza, pia huwa naota nawapenda sana paka kwenye ndoto huwa namfanya kama rafiki
Naomba nijue mkuu hizi ndoto huwa zina maana gani..!!!
Ni dalili kuna shetani aliye kupenda anataka kukuingia mwilini mwako.MziziMkavu.....ukimuona nyoka na mkawa mnatazamana...hakuna anaemzuru mwenzie na sehemu yenyewe kuna mchanganyiko wa majani ya kijani na km yamekauka fulani hivi...baadae kila mmoja akachukua njia yake maaana yake nini.
Ndoto yako ina maanisha umemshinda aduwi yako ingawa amekudhuru kidogo .Kitendo cha huyo nyoka kukutafuna ndio kukudhuru kwenyewe huko.Ukiota unapigana na nyoka akakungata na ukafanikiwa kumuua,inamaana gani@mzizimkavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dalili ya shetani anataka kuwa rafiki yako au unaye mwilini mwako.MziziMkavu mimi nimeota kuna nyoka amefukuzwa na watu huko ila alipofika karibu yangu akajificha nyuma yangu na mimi nikamtetea wasimpige nikawaambia mbona hana tatizo na kweli wakamuacha...
hiyo ndoto inamaana gani..!!!!
Ndoto yako ina maanisha umemshinda aduwi yako ingawa amekudhuru kidogo .Kitendo cha huyo nyoka kukutafuna ndio kukudhuru kwenyewe huko.[/QUOTE]Nimekuelewa asanteSent using Jamii Forums mobile app