Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

Nimeota nyoka mdogo sn km mnyoo ameniingia kwenye kidole changu cha mkono ila nikiwa ndotoni bado nikapata hofu kuwa nyoka huyo mdg atakuwa mkubwa sana badae itakuwajee sasa wkt Yupo kidoleni mwangu, hii ndoto ina maana gani mkuu ?
 
Nimeota natokewa na nyoka maeneo ya nyumbani akatokea mtu simjui vizuri alikuwa nani ila akampiga yule nyoka ila akamkosa Yule Nyoka akakimbia speed siyo yakawaida. Mala tuka ona vinyoka vingine vidogovidogo tukawa tunavifagia tuna vitowa nje. Je na hii ndoto inamaana gani
 
Kawaida yangu nikilala naomba dua, sasa kutokana na kazi kuwa nyingi mda mwengine nikifika nyumbani nikijiegesha tu najikuta nimeshalala kwa saa kadhaa. Kwa hiyo dua huwa zinanipita kushoto kwa mtindo wa namna hiyo.

Wiki iliyopita nilijiegesha sebuleni baada ya kutoka kazini kwa ghafla usingizi ukanichukua kutokana na uchovi. Nikashangaa mahali nilipo lala kwenye kochi naamshwa, tena anayeniamsha ananiamsha kwa upole tuu. Nikashtuka! nikamuangalia, akaniambia amka, kuna watu wanaingia nyumbani mwako nenda hapo jikoni utawaona. Kufika jikoni nawaona ndiyo wanaanza kuingia cha ajabu hawajapitia mlangoni ila ndiyo wanaingia na walikuwa ni wawili mwanamke na mwanaume. Nikataja jina la Mungu halafu nikawashika wote, wakawa wanarudi kwa nyuma ili nisiwaone. Katika ile purukushani kuna fimbo fulani walikuwa wameishika wakanichoma nayo kwenye tumbo ubavuni mwa kulia, nilihisi maumivu makali. Nikawaacha.

Kwa ghafla tena nikashituka! Kumbe nilikuwa kwenye ndoto lakini ajabu ile sehemu ya tumbo waliyonipiga nilikuwa nahisi maumivu yale yale kama ya kwenye ndoto. Kuvua shati kujiangalia( kwa sababu kwa rangi Mimi ni maji ya kunde) aisee! Ile sehemu yenye maumivu nikajikuta nina alama ya kupigwa, pamekuwa pekundu na maumivu nayaugulia.

Halafu ilikuwa ni saa 10 ya usiku.
 
Oa mkuu ungekuwa na mke yote yasingekukuta
 
Nimeota nyoka mkubwa anafika mita3 kwaurefu mweusi ananikimbia afu mumi namuendea yeye ananikimbia. Sasa hii naomba tafsiri yake.
 
Doooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu natamani kujua Nini kiliendelea kwenye maisha harisi katika eneo ambalo ulipigwa na hiyo fimbo (ndotoni) afu ukaona kuwa katika maisha harisi unaskia maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaonyesha utapatwa na maradhi na utauguwa sana na kupona ndoto yako.
Mkuu nimeota nilikuwa baharini nimejipumzisha tu, polepole nikaona maji yanajitenga na inatokea njia yakupita kwa miguu nilipoanza kuifuata nikastuka naomba maana yake.

Nyingine Kuna muda marara kwa Mara nimekuwa nikiota mkewangu ananifanyia ukatili wakuniua mfano alinisukuma juu gorofani pili alizuia watu wasiniokoe nilipo kuwa nazama baharini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto yako ina ashiria ufanye ibada kam ni muislam swali na usome Qur'an na pia uwe unawasaidia masikini kw akutoa sadaka unatakiwa ufanye mema na ibada.
 
Una pepo mchafu na ukugongw ana nyoka utapatwa na amradhi sehemu ya mwili uliyo gongwa jihadhari sana
 
Una shetani mwilini mwako amekupenda.
 
Ni dilili ya uaduwi unaokuandama utaushinda.
 
Mi nimeota nyoka black alikuwa katika mti pembeni ya nyumba kisha akaingia ndani nikaanza kumfukuza. Akachomoka mbio akaingia nyumba ya jirani nako akafukuzwa akaingia shimoni.

Niliporudi nikakuta katika mti ule ule jirani na ninapoishi kuna nyoka wa kijani nikaanza kumfurusha tena akaanza kupiga kelele vibaya mno. Alipodondoka chini ya mti tu nikastuka. MziziMkavu naomba tafsiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…